mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Tunaumizwa sana na matendo ya wanadamu wenzetu wawe viongozi au wanausalama.
Mungu ametuumba na mapungufu makubwa lakini akikosekana mwanafalsafa kiongozi badi ni taabu na mateso makubwa.
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu sana. Cha ama kujenga ama kubomoana. Ieleweke kuwa Tanzania sio Marekani. Yote yanayofanyw leo akija kiongozi mwehu atayafuta na kuanza yake.. Hivi hizo taabu atazipata nani tena?
Nape akapata jazba, Malima, nk Kuna waandishi kukwaruzwa na wanasiasa na viongozi ama kwa kujengewa hasira mioyoni mwao.
Kitwanga haieleweki alilewa akatwangwa nje ya mfumo. Kuna makandokando mengi nchini..Kiuchumi wananchi wanapigika vya kutosha.
Labda nieleze kitu kimoja. Serikali mahakama na Bunge vinapaswa visiigiliane...
Kuna wajibu mkubwa wa serikali kwa wananchi wake ambao hawa ni Raia. Serikali itashika kodi si kwa raia tu! La! ni kwa vyanzo vyote lakini lengo kuu ni kuwasaidia wananchi. Serikali ni watu, eneo na mipaka yake, utawala na uongozi uliobora. Kazi pekee ni kuwalinda wananchi wake na kuhakikisha mahitaji yote ya lazima yanapatikana. Chakula, nyumba bora na mahitaji ya huduma za afya, barabara zinazopitika.. Cha ajabu serikali nyingi nch maskini zinawanyonya raia wake kwa kuwafanya migodi ya kuchimba gharama za kuendeshea nchi..hili ni kosa kubwa.
Haiwezekani nchi yenye mali zote kama bahari, maeneo makubwa ya kilimo, mbuga za wanyama, madini, bandari tatu(mtwara,dsm na tanga) nikitaja vichache bado inakomba vijisenti vya raia. Kunawafanya biashara wakubwa, makampun mengi ya kuyafyeka kodi lakini bado deni la taifa linapaa.
Wabunge kazi yao kufanyia kazi vyama vyao badaka ya maendeleo ya nchi. Mahakama haitendi haki na Rais haonyeshi unyenyekevu na uadilifu kw raia wanaotaabika..ni kosa watu wanapopata maafa serikali ionyeshe nia ya kuhurumia si kwa kuwapa lakin kwa kuhamasisha misaada.
kila kitu kina mwisho wake na Mwl hayupo, Mkapa hayupo Kikwete hayupo pia. Zaidi ya haya yote ni kusubiri mwisho wake ufike. Kwa matatizo ya maisha yanayowakumba wananchi...yanazidi kutia uchungu kwenye madonda, madonda ya ahadi zinazotolewa ambazo wananchi hawazibaini kwa mabadiliko chanya, badaka yake..ni taabu na shida..kusomesha watoto shida, usafiri shida, afya tiba shida, barabarani mitaani hazipitiki,huku mifumo ya maisha miji mipangilio ya maisha katika mitaa ni taabu..haiwezekani watu wasubiri nvua wazibue vyoo! Haiwezekani bado wazazi wapeleke watoto tution. No way.
Usafiri shida angalia ubungo, standi ya Taifa kubwa kuliko zote....kama ubungo palishindikana kujenga hadi mkaamua kupeleka mbezi, hiv? wazungu hawana akili? Ubungo ingeungwa ile , ikawa stand ya kisasa kabisa na magari yakaazia au kupitia kwenye terminal kubwa ya ubungo..lakini leo pita, fujo fujo usipime. Ubungo ingeweza kuwa standi ya train, mabasi....leo watu wanakula kodi na ushuru wananenepa. yaani nchi haina utaratibu..kisa ni kukataa katiba mpya ya wananchi. Ingevyoosha watu ile.!
Mh Rais kama inawezekana anania nzur, lakini watendaji wake wahuni..sioni waziri au yoyote mwenye azma kama ya Magufuli.. angalia RC Makonda anavyoifanya dsm anaipenda kuliko sis, ataongeaje maneno kama yale, utamchapa nani kiboko?!...mh mecky sadiki asingeweza kufanya kazi katika dunia ya akina Paul. hata kidogo! Kusoma na kuelimika maana yake ni falsafa inayofanya kazi kwa raia, kama angekuwa na wisdom/hekma asingekuwa natamka maneno yake yale..namuelewa ni mchapakazi...bado angefanya vzr tu...lakini huwezi kuwa na mchapakaz muhuni, mkaidi, kiburi, jeuri, mungu, malaika..s isahihi.
sipendi drugs, sipendi uzembe, sipendi uvivu...Mr Paul yuko sahihi kusimamia hizi... lkn hekma ni kiongozi mkuu
Mh. Mwakyembe hajifunzi? kuwa yeye kama alivyoondoka sita/marehemu nk asingeweza kutamka maneno yale bungeni kuhusu Richmond---? who is lowasa by the way? anavyokuwa mkali na richmond...escrow je...kama kuna mapambano ya viongozi wenyewe kwa wenyewe sisi wananchi inatuhusu nini....? leo watoto wakizaliwa ukiwapa matatizo ya lowasa ya 2000s atakushangaa, hivi uov ni Lowasa tuuu! kwangu mm tangu nimuone kwenye kampeni, ni mtu mzur au mbaya mm sijui..mzur ni nani? Nape? Kibajaji? Makonda? Job? ama Tulia? Bunge linaingia wahini, angalia mtoto wa marehemu Selina..mama alikuwa na busara sana...nilimpenda..bungeni ameingia mwanae anaongea upuuzi nchi inamsikiliza eti anauhuru? lisu hana uhuru wala nape ama bashe..
Busara haipo hekima na kusahau kuwa Kila jambo lina mwisho wake.
Watu muhimu katika nchi kuendelea kuwakandamiza, madaktar, walimu, mahakimu nk bado siasa inashika hatamu kwa kusahau hawa watu wakisahau hawa ndio chachu ya kila mnachotaka kukifanya. Mnataka viwanda walimu, mnataka nchi ya watu wanaofata sheria mahakimu, manataka watu wasionung'unika wanaiamini serikali yao ni uhakika wa kuishi kiafya nk...watoto wetu wanapoumwa wanapona chupuchupu tu, wake zetu wakiumwa uchungu ushenzi wa hosptakini hausemeki. nchi hii inachukuliwana huyu mara yule kila mtu ana kuja na lake hatuna misingi na dira moja. Badala yake mateso makuwa kwa wananchi...
Nitoe mfano wa swari...kwa nini lipumba alipigwa wakati flan? kwa nini lowasa anashutumiwa utadhani ameua au kala deal peke ake.? Kwa nini polisi wasijue wajibu wao kuwa si kutetea upande mmoja? JE Jeshi litakapo kuja huko litakuwaupande gani?
Tufanye sisa tukia haya maisha hayadumu milele
Asanteni Sana