Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Imekuwa ni desturi yangu kusikia watu wakizungumza juu ya kuoa/kuolewa. Lakini,katika hali ya kushangaza tunasikia wimbi kubwa hasa la vijana wa kike,kulalamika kuacha na wachumba zao.Hii hutokea tu pale
1.Mmojawapo hususani wadada kuachwa.Hali hii hutokea tu pale,mwanamke anapokuwa hajatulia.Wewe ni binti unategemewa kuolewa,kwa nini huandai mazingira ya kuwa mke wa mtu? Kushindwa kuandaa mazingira ndicho kinachowaponza wadada wengi sana.Wewe una mchumba wako,tulia,andaa mazingira ya kuwa mama,sio leo na huyu kesho na yule,siku nyingine yule.Hii ndicho chanzo cha wanaume wengi kukosa mke mwema anayefaa.
2.kuingiliana kimwili kabla ya ndoa.Hii ndicho chanzo kikubwa cha kuachana. Ukikuta mvulana anakutaka kimapenzi,wakati alishakuahidi kukuoa,tambua kuwa huyo siye mchumba sahihi.Huyo anampango wa kukuchezea na kukuacha na si zaidi.wangapi tumeshuhudia wakiachwa baada tu ya kufanya mapenzi,bila shaka ni wengi.
Ukitaka kujua kuwa huyu ndie mchumba wa kweli,huwa hana haraka na tendo la ndoa,huwa tayaari kukutambulisha kwa mdugu,jamaa na marafiki.pia hupenda kuzungumzia maisha ya wanandoa,hufurahi akiona watoto,hujitahidi kuwafahamu ndugu zako(ndugu wa binti).Hivyo,binti tumia akili zako na ufahamu wako kumsikiliza kwa makini huyo mtu wako ili ikusaidie kujua kama ana mapenzi ya dhati kwako.