Kila jambo lina maandalizi

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Imekuwa ni desturi yangu kusikia watu wakizungumza juu ya kuoa/kuolewa. Lakini,katika hali ya kushangaza tunasikia wimbi kubwa hasa la vijana wa kike,kulalamika kuacha na wachumba zao.Hii hutokea tu pale
1.Mmojawapo hususani wadada kuachwa.Hali hii hutokea tu pale,mwanamke anapokuwa hajatulia.Wewe ni binti unategemewa kuolewa,kwa nini huandai mazingira ya kuwa mke wa mtu? Kushindwa kuandaa mazingira ndicho kinachowaponza wadada wengi sana.Wewe una mchumba wako,tulia,andaa mazingira ya kuwa mama,sio leo na huyu kesho na yule,siku nyingine yule.Hii ndicho chanzo cha wanaume wengi kukosa mke mwema anayefaa.
2.kuingiliana kimwili kabla ya ndoa.Hii ndicho chanzo kikubwa cha kuachana. Ukikuta mvulana anakutaka kimapenzi,wakati alishakuahidi kukuoa,tambua kuwa huyo siye mchumba sahihi.Huyo anampango wa kukuchezea na kukuacha na si zaidi.wangapi tumeshuhudia wakiachwa baada tu ya kufanya mapenzi,bila shaka ni wengi.
Ukitaka kujua kuwa huyu ndie mchumba wa kweli,huwa hana haraka na tendo la ndoa,huwa tayaari kukutambulisha kwa mdugu,jamaa na marafiki.pia hupenda kuzungumzia maisha ya wanandoa,hufurahi akiona watoto,hujitahidi kuwafahamu ndugu zako(ndugu wa binti).Hivyo,binti tumia akili zako na ufahamu wako kumsikiliza kwa makini huyo mtu wako ili ikusaidie kujua kama ana mapenzi ya dhati kwako.
 
Wasichana wengi sana hata uwahubirie namna gani ni kazi bure,yaani utafikiri waliumbwa wadanganywe tu.Tena ukikuta mdada keshafika 30-35 wengi sana wanakuwa desparate hata kama wameokoka ama wana maisha yao.Kuna dada jirani yangu very beautifull but she is 32 kusema ukweli ameamua kufunga ndoa ili na yeye aseme alikuwa ameolewa maana there is no future pale,jamaa aliemuoa ana watoto kila mtaa unaoujua na kila mtoto ana mama yake,just imagine siku anakwenda kutoa mahari kwa dada huyo jana yake alikuwa amezaliwa mtoto wake kwa kimada wake
 
kaka hapo kwenye Red Nomaaaaaaaa huyo jamaaaa si mchezo
 
Ni vizuri kuendelea kupiga kelele pengine kuna watakaobadilika pindi wasomapo ushauri huu. Hii dunia sijui hata imeelekea wapi tu
 
Habari za siku,

Ya ni kweli wapo wanaoweza pata ushauri mzuri na kuufanyia kazi na mabo yao yakawa vema, ila hao watu wa hivyo ni wachache sana, wengine ndiyo life style hata huo ushauri wa mtoa thread wanaushangaa na kushangaa yeye binafsi na kuhisi yuko dunia yake mwenyewe.

Any way Mungu yupo pamoja na watu wake.
 
Nzuri kaka yangu, vipi wewe mzima. Ni kweli wapo wanaoushangaa ushauri huu lkn tutashukuru hata akiguswa mmoja au ukiwekwa akiba mioyoni mwao. Hii dunia sijui hata inaelekea wapi tu. Yaani dhambi imekua ushujaa na ni kiburudisho. Halafu maadili yanapoporomoka huanza taratibu mwanzoni inakua ajabu lkn baadae huwa kawaida na mwisho hugeuka kua desturi. Mpaka watu wanaulizana je bado wapo waaminifu kwenye ndoa zao , na walio wengi wanasema ndoa zote hakuna mwaminifu. Inahuzunisha hii jamii ilikofika ni mbali sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom