Kila eneo lililo wazi nchi hii ni la ccm?

BJEVI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
1,359
Reaction score
251
Mnamo tarehe 3/2/2013 pale mjini dodoma maeneo ya mwanga bar,lilitokea tukio la kurushiana maneno kati ya wafuasi wa ccm na chadema pia kupigana kwa mawe kama tulivyoshuhudia akiana mh.rage na wafuasi wengine wakimpiga kwa mawe fuasi wa chadema sababu haswa walikuwa wakigombania sehemu ya kuweka bendera zao.ikumbukwe kuwa pale dodoma, ccm wamejimilikisha uwanja wa jamhuri na sehemu kubwa tu kuzunguka makao makuu ya ccm iko wazi kwa ajili ya mikutano mbalimbali ya kichama tofauti na eneo la taxi pale mwanga bar.

Je! Kuacha kutumia sehemu ziliainishwa kuwa ni mali ya ccm na kutafuta sehemu zenye bendera za vyama vingine vya siasa inaashiria kuwa kila eneo lililowazi katika taifa hili ni mali ya ccm.?

Naomba kujua....
 
MMU inakua sasa, mpaka tunaombwa kutatua matatizo ya ardhi!!!!!!!!
 
Huko si kuna warembo kibao labda jamaa katupia kitu ili iwe MTAMA KWA WATOTO,,, Valentine bado siku mbili tu so mnajadiliana ardhi halafu jamaa anatupia kaneno hapo. Jamaa ni smart sana
 
Mnamo tarehe 3/2/2013 pale mjini dodoma maeneo ya mwanga bar,lilitokea tukio la kurushiana maneno kati ya wafuasi wa ccm na chadema pia kupigana kwa mawe kama tulivyoshuhudia akiana mh.rage na wafuasi wengine wakimpiga kwa mawe fuasi wa chadema sababu haswa walikuwa wakigombania sehemu ya kuweka bendera zao.ikumbukwe kuwa pale dodoma, ccm wamejimilikisha uwanja wa jamhuri na sehemu kubwa tu kuzunguka makao makuu ya ccm iko wazi kwa ajili ya mikutano mbalimbali ya kichama tofauti na eneo la taxi pale mwanga bar.

Je! Kuacha kutumia sehemu ziliainishwa kuwa ni mali ya ccm na kutafuta sehemu zenye bendera za vyama vingine vya siasa inaashiria kuwa kila eneo lililowazi katika taifa hili ni mali ya ccm.?

Naomba kujua....
Ndio. kila eneo la wazi ni la CCM. Au wewe unaona tofauti?
 
mods hii thread mbona sio pake mmeiacha!?
Inakuwaje nyingne fasta mnazihamisha!?
 
Back
Top Bottom