M Madewa JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 467 Reaction score 192 Dec 1, 2013 #1 Waungwana habari zenu... Nimetokea kuwaza msemo wa KILA CHENYE MWANZO,HAKIKOSI KUWA NA MWISHO WAKE... Nikajaribu kuufikiria mwisho wa JF na MMU kwa ujumla... Kwako wewe mwana MMU,umeshaliwaza hili? Tafakuri njema!
Waungwana habari zenu... Nimetokea kuwaza msemo wa KILA CHENYE MWANZO,HAKIKOSI KUWA NA MWISHO WAKE... Nikajaribu kuufikiria mwisho wa JF na MMU kwa ujumla... Kwako wewe mwana MMU,umeshaliwaza hili? Tafakuri njema!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Dec 1, 2013 #2 mkuu Mwisho wake ni wewe kuaga dunia na kubaki na ID yako tu hapa jamvini!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Dec 1, 2013 #3 mwisho wake ni wewe kuacha kutumia na sisi tukaendelea na jf yetu ...