Kila anayenitongoza siwezi kumkatalia nifanyaje?

Huyo mdada mbona namuhisi kama akili yake haiko sawa? amesema hawawahi kufanya mapenzi na mwanamme yoyote yet anapata ushujaa wakuomba number ya simu ya mwanmme nakumuita kwake nyumbani na kulampa ukumbini,ivi anajua siku yakwanza unavyoingiliwa unaumwaje? asituchoshe sie kama anatafuta soko kwako aseme hala lolote..
 
Nianze kwa kukili kuwa kwa nyakati tofauti nimetoa ushahuri kwa watu mbali mbali ,kulingana na ushahuri uliokuwa unahitajika na hii inachangiwa zaidi na nature ya kazi yangu kwani nimezungukwa na vijana wengi.

Lakini leo nimekwama ,nikaamua kusubirisha ili anipe muda ili niweze kufikiri ni kitu gani ni mshahuri,ndipo nikaamua niwashirikishe mnishahuri ili nami ni mshahuri .Ushahuri wenyewe unahitajika katika hili.

Leo jioni saa 10 nilipigiwa simu na binti mmoja akiniomba nimjulishe nilipo ili tukutane kwani alikuwa na shida na anaamini nitaweza kumtatulia shida hiyo.Ndipo nilipo muelekeza sehemu ya kukutana.Alipofika alinitaka radhi kwanza Kisha akaanza kuniomba nimpe ushahuri kwa hili lililomkuta.

Nanukuu:"Kaka mimi nina tatizo na sijui nifanyeje, kama unavyojua nimehamia hapa yapata miezi 7 iliyopita lakini Kabla sija hamia hapa nilikuwa na mpezi wangu ambae nilitegemea Kuwa atakuwa mme wangu,lakini Kwasababu ya maisha nimehamia hapa na nimekosa mawasiliano nae yapata miezi sita.

Lakini naomba ujue pamoja na urafiki na huyo kaka sijawahi kushiriki nae tendo la ndoa na sikuwahi pia kushishikiana na mwanaume yeyote Kabla ,lakini chakushangaza mwezi mmoja uliopita nilikutana na mvulana mmoja aliekuwa kaka wa rafiki yangu ,siku ya kwanza tumekutana tulikumbatiana ki kawaida kwani siku hiyo walikumbatiana na dada yake Kisha akakumbatiana nami pia.

lakini kitu cha ajabu mwili wangu uliishiwa nguvu nikaingia kwenye hisia mbaya za mapenzi Kisha tuliondoka mimi na rafiki yangu tukarudi nyumbani lakini jambo Hilo lilinitesa sana ,ndipo nilipo amua kumuomba rafiki yangu namba ya simu ya kaka yake ,nilipigia simu nikaomba tukutane tuweze kuongea.

Siku hiyo alikuja kwangu alipoingia tu sebuleni kama alivyofanya siku hile alinikumbatia tena niliishiwa nguvu tena nikaendelea kumshikilia mpaka akanichukua na kunikalisha kwenye kochi ndipo nae akaona udhaifu niliokuwa nao tulifanya tendo la ndoa hapo sebuleni ,ingawa siwezi kusimulia mengine ,lakini baada ya wiki mbili alikwenda zake Zambia kimasomo,tukiwa bado kwenye mahusiano.

Sasa baada ya hapo nimeshangaa kila mwanaume anaenitongoza sina uwezo wa kumkatalia kwani mpaka sasa nimetembea na wanaume nane na naona hii hali inaninyima raha na sijui ni nini kimenikuta. Naomba ushahuri wako kaka sijielewi" mwisho wa kunukuu.

Wana Jf ingekuwa ni wewe ungempa ushahuri gani.
Duuuh
 
Hii ni hatari kiafya.Huyu dada atakuwa na zile staili za mama huruma.Jitajidi uwe busy na mambo ya maisha/kazi zaidi kuliko mahusiano.Ukishidwa olewa uzae utulie na familia yako
 
Pole dada umesharushiwa jina mahaba kichwani usipowahi kufanyiwa maombezi litoke utagawa mji wote hao wanane ni cha mtoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom