Kila anayemgusa Lisu kwa ubaya, "ANANUKA".

1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki.
2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki.
3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini Nairobi, alikatwza watu kumchangia damu na alikataza watu kumuombea. Alinuka mpk akafariki.
4. Mbowe aliyejaribu kumng'oa Lisu chadema kwa hila, amenuka kiasi kwamba anaogopa hata kusalimiana na watu. Mtu aliyekuwa prominent figure amegeuka kuwa kichekesho.
5. Samia kabla ya kumkamata Lisu na kumbambikia kesi uchwara ya uhaini alikuwa ni kiongozi anayezungumzika. Lkn baada ya kufanya hila hizo Samia amenuka, tena amenuka kweli kweli kiasi kwamba mpk ndani ya chama chake hawamtaki. Soon, very very soon Samia atageuka kuwa kituko.

Membe (rip) alijipachika jina la NIGUSE NINUKE, lakini huyu Lisu apachikwe jina la NIGUSE UNUKE.
Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida
 
Kifaru kwa lugha ya nyumbani kwao ana balaa.

2020 wakati wa uchaguzi ,akiambatana na Mbowe alifika Mbeya nami nilikua Mbeya ,so akitoke mbalizi alifika Nzovye kufungua Msingi ,mimi nilikua mbele , ndugu zangu ,alipo fika kumuona tu mwili ulinza kutetemeka , nikajirudisha nyuma .

Kwa sie watu wa Mungu nikajua upako upo juu sana .

Nawaurumia askari Magereza wanaoishi naye huko Ukonga hii sio kwa utani huyu Ndugu nimemuona katika roho mtakatifu sio wengi wanaweza jua ,hasa wabwabwaji
Aisee ni kweli kuna siku nilitaka kumpa mkono ghafla mkono wangu kama ukawa unatembea shoti ya umeme lakini bodyguard wake alinizuia 😂😂😂
 
Kwa zile risasi huwezi kupona kama sio mpango wa Mungu.
Hata wale waliomshambulia kama wapo hai bado wanajiuliza aliponaje?

Kuna watu kwenye dunia hii siyo wakufanyia ubaya.

Tatizo viongozi wetu wengi wamepofushwa kama alivyopofushwa farao.
Ili Mungu akupige tukio la kiburi.

Lissu hana makosa anawatetea wananchi wake hakuna pesa wala malipo ya kumlipa kwa anachokifanya.

Anafanya yote kwa mapenzi ya Taifa letu
 
1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki.
2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki.
3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini Nairobi, alikatwza watu kumchangia damu na alikataza watu kumuombea. Alinuka mpk akafariki.
4. Mbowe aliyejaribu kumng'oa Lisu chadema kwa hila, amenuka kiasi kwamba anaogopa hata kusalimiana na watu. Mtu aliyekuwa prominent figure amegeuka kuwa kichekesho.
5. Samia kabla ya kumkamata Lisu na kumbambikia kesi uchwara ya uhaini alikuwa ni kiongozi anayezungumzika. Lkn baada ya kufanya hila hizo Samia amenuka, tena amenuka kweli kweli kiasi kwamba mpk ndani ya chama chake hawamtaki. Soon, very very soon Samia atageuka kuwa kituko.

Membe (rip) alijipachika jina la NIGUSE NINUKE, lakini huyu Lisu apachikwe jina la NIGUSE UNUKE.
Huyo askari alichomwa kisu wapi na amefariki lini?!!
 
Back
Top Bottom