1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki.
2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki.
3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini Nairobi, alikatwza watu kumchangia damu na alikataza watu kumuombea. Alinuka mpk akafariki.
4. Mbowe aliyejaribu kumng'oa Lisu chadema kwa hila, amenuka kiasi kwamba anaogopa hata kusalimiana na watu. Mtu aliyekuwa prominent figure amegeuka kuwa kichekesho.
5. Samia kabla ya kumkamata Lisu na kumbambikia kesi uchwara ya uhaini alikuwa ni kiongozi anayezungumzika. Lkn baada ya kufanya hila hizo Samia amenuka, tena amenuka kweli kweli kiasi kwamba mpk ndani ya chama chake hawamtaki. Soon, very very soon Samia atageuka kuwa kituko.
Membe (rip) alijipachika jina la NIGUSE NINUKE, lakini huyu Lisu apachikwe jina la NIGUSE UNUKE.