Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Wahenga walisema, kila aguswaye na pendo huwa mshairi,
na leo nipo hima, kulitoa la moyoni kamwe lisiwe siri,
kwa shauku ninahema, ka nilietoka kubikiri,
heri siku kuzaliwa, mwandani wa wangu moyo!!!
HAPPY BIRTHDAY ladyfurahia....u r just like fine wine, matures with age!!! Nilipokuona leo asubuhi, u mzuri kama siku niliyo lay my eyes on you kwa mara ya kwanza kule kijijini kwenu nilipokuja kikazi na bosi wangu! Nikakupenda na sikuchelewesha kukujulisha nia na haja ya moyo wangu kwako..nikakuoa na kukuweka ndani na hata sasa...hata sasa bado ninakupenda na u mzuri mwenye sura ya binti mchanga!!!
Nakutakia heri na fanaka katika siku yako hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako...Upate furaha tele na May God grant you all your heart's desires..this day and throughout the year!!!
HAPPY BIRTHDAY MPENDWA WA MOYO WANGU.
Hiyo ni signature na sio avatar, hata mimi naipenda hiyo signature yangu ndio maana niliichagua na kuiweka hapo, nafurahi kusikia toka kwako ya kwamba unaipenda pia. Kama unaipenda sana nawe waweza kuitumia pia, na mimi naweza kutafuta nyingine kama hautataka tuitumie wote. ama unaweza kunipa assignment ya kukutafutia/kukuchagulia signature lakini yenye mlengo wa kujenga kiimani na familia ya Mungu.
Kama sijakuelewa ulichomanisha, unaweza kufafanua zaidi hapa ama pm.
Uwe na siku njema mpendwa ladyfurahia.
ladyfurahia hivi tuko wangapi jamani??? Mimi sikubali
Cc: Mrembo by Nature, naumia mie!!!
hoo! nilisahau nilitaka kusema hivyohivyo signature lakini mkono ulitereza katika kutype, ila naomba tushare hiyo kama hutojali
MAMA NIMETOKA SELLO HAHHAHAHAH
Wahenga walisema, kila aguswaye na pendo huwa mshairi,
na leo nipo hima, kulitoa la moyoni kamwe lisiwe siri,
kwa shauku ninahema, ka nilietoka kubikiri,
heri siku kuzaliwa, mwandani wa wangu moyo!!!
HAPPY BIRTHDAY ladyfurahia....u r just like fine wine, matures with age!!! Nilipokuona leo asubuhi, u mzuri kama siku niliyo lay my eyes on you kwa mara ya kwanza kule kijijini kwenu nilipokuja kikazi na bosi wangu! Nikakupenda na sikuchelewesha kukujulisha nia na haja ya moyo wangu kwako..nikakuoa na kukuweka ndani na hata sasa...hata sasa bado ninakupenda na u mzuri mwenye sura ya binti mchanga!!!
Nakutakia heri na fanaka katika siku yako hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako...Upate furaha tele na May God grant you all your heart's desires..this day and throughout the year!!!
HAPPY BIRTHDAY MPENDWA WA MOYO WANGU.
Oooh how sweet...! Happy birthday ladyfurahia
happy birthday ladyfurahia! hongera Mentor! nawaasa muendelee kupendana zaidi na zaidi! kila birthday ya mmoja wenu ifikapo, ifanyeni iwe ni mwanzo mpya ya maisha yenu ya furaha, ya kale yenye kuudhi na yasahaulike kabisa!!
Wahenga walisema, kila aguswaye na pendo huwa mshairi,
na leo nipo hima, kulitoa la moyoni kamwe lisiwe siri,
kwa shauku ninahema, ka nilietoka kubikiri,
heri siku kuzaliwa, mwandani wa wangu moyo!!!
HAPPY BIRTHDAY ladyfurahia....u r just like fine wine, matures with age!!! Nilipokuona leo asubuhi, u mzuri kama siku niliyo lay my eyes on you kwa mara ya kwanza kule kijijini kwenu nilipokuja kikazi na bosi wangu! Nikakupenda na sikuchelewesha kukujulisha nia na haja ya moyo wangu kwako..nikakuoa na kukuweka ndani na hata sasa...hata sasa bado ninakupenda na u mzuri mwenye sura ya binti mchanga!!!
Nakutakia heri na fanaka katika siku yako hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako...Upate furaha tele na May God grant you all your heart's desires..this day and throughout the year!!!
HAPPY BIRTHDAY MPENDWA WA MOYO WANGU.
miss neddy ndo rais wa wambea wote MMU.