kikwetukwetu

Hahaha kwenu wapi? Watu wanatembea kama wapo beach lol
 
Hahahhhhahha watatu kutoka kushoto ilo pozi hhahaha na chululu inaning'inia
 
Ha ha ha ha jamani hii olimpiki ya wapi?
 
wanajufunza marathon. wanaanza hivyo then wakishajua watavaa nguo. hujui kuwa nguo ni nzito?
 
Da hii kweli kikwetu kwetu, zero stress, maisha mepesiiiii
 
Kwa mfano ukiambiwa ni wabunge wetu wako JKT utaweza kunitajia majina yao? Huyo wa kwanza angekua nani?
 
Hawa walikuwa safarini kwenda TOHARA nini???
 
nafikiria kwann walaiamua kujipiga hyo picha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…