imekukumbusha wapi mkuu hebu tushirikishe
inanikumbusha kwa bibi anampika huyo kuku kwa kutumia chungu na kuni halafu ubwabwa anaupika kwa chungu huku chini kabla hajaweka mchele anatanguliza jani la mgomba anaupika huo wali unakuwa hauna ukoko, na hapo kwenye kuku anatandika chini vifito vya majan ya mgomba anakamulia mafuta ya mawese yaliyotwangwa kwenye kinu mchuzi wake unakuwa mzito balaa. Aisee ni bonge la chakula.