Kikwete's Stooge Foreign Policy?

Ili ujue unafiki wa Waingereza na wenzi wao, walipokuwa wanamsifia na hatimaye kumpa uKnighthood, hayo ya Matebeleland yalishatokea na hawakusema lolote. Alipochukua ardhi na kuigawa, mbingu zikafunguka na sifa zake zikayeyuka.

Hawa watu watakupenda kama hutawazuia kutumbua vitu wanavyovitaka.

Kumkataa Mugabe hakuna maana ya kukataa kwamba Waingereza ni wanafiki.

Wote wanafiki, wote wanasiasa, hata Morgan naye ana unafiki wake kama alivyosema Willie Stark.Tunatafuta afadhali tu.
 
Kumkataa Mugabe hakuna maana ya kukataa kwamba Waingereza ni wanafiki.

Wote wanafiki, wote wanasiasa, hata Morgan naye ana unafiki wake kama alivyosema Willie Stark.Tunatafuta afadhali tu.

Hata kama uchaguzi ukifanyika tena kwa usalama, lakini kama MDC hawatashinda, basi matokeo yake hayatatambuliwa na wakubwa na vikwazo havitaondolewa.
 
kama ningekua mtu nisiyependa kusoma na kuskiliza history na current affairs ungeweza kuni-fool, but u cant do that, in 1997, a dollar was equivalent to 73 zim dollars, do yo know what happened next, go back to references to see what happened na chanzo cha proposal za structural programmes za IMF
 
$700 million si lelemama, ndo sasa tunaona hizo pesa zilikuwa za nini??

Kikwete watakugeuza kama chapati kwa vile wameshatoa pesa zao. na mlango umeshafungwa na huna ujanja wa kurudisha.

Jamani tusiwe omba omba , maana mwishowe utageuzwa kama wapendavyo.
 
kama ningekua mtu nisiyependa kusoma na kuskiliza history na current affairs ungeweza kuni-fool, but u cant do that, in 1997, a dollar was equivalent to 73 zim dollars, do yo know what happened next, go back to references to see what happened na chanzo cha proposal za structural programmes za IMF

Ndio maana nakuambia kuanguka kwa uchumi wa Zimbabwe hakuhusiani kwa kiasi kikubwa na Mugabe, bali ni vikwazo walivyowekewa. Wewe niambie inakuwaje Zim Dollar ianguke thamani overnight mara elfu kadhaa kama vile wamepigwa bomu la nyukilia?

Hii ndio shida ya chumi tegemezi. Kama ulishawahi kufika Zimbabwe, kabla ya 2002, hivi unaweza kuamini kuwa wanaweza kuwa na inflation kubwa kuliko say Somalia na Congo? Hebu jiulize ni kwa nini?
 
For the first time in the history of Tanzania, our brothers in South Africa and Angola decided to boycot a gathering championed by Tanzania.

What does it tell us on our current foreign policy? Are we realy advocating for the region or we are driven by cheap fame and handouts?

Frankly, Kikwete and Membe are pushing our country into stooge foreign politics that are not compatible with our identity. It is unfortunate that even the charismatic MPs likes Zitto are supporting these ugly moves. We are in a pit, shouldn't we advise each other to stop digging instead of chearing the diggers?

Leaders boycott Sadc summit on Zimbabwe

Herald Reporters
Kubwajinga,
Tangu lini umeanza kusoma herald ya Zimbabwe? hilo gazeti ni kama Uhuru lile la CCM; unafikiri wataandika nini? Katika miaka yangu yote ya kusoma herald sijawahi kuona la muhimu. Kama umesoma hilo umewahi kusoma The Dailynews kabla halijafungiwa? Au Zim Online? Tuache ushabiki, the boy (Kikwete) on foreign policy is at best! Hawa kina Mbeki, mugabe, hata Dos Santos bado wamo kwenye usingizi na ndoto za upigania uhuru; that will go by time!
 
Thanks to who?

Thanks to no one. They will never stop meddling with the Zimbabwean people untill either they get Mugabe to the Hague or the Zimbabwean court like Sadaam, or if the Africans rise up with a single voice and force them to stop from sabotaging Zimbabwe.
 
Kubwajinga,
Tangu lini umeanza kusoma herald ya Zimbabwe? hilo gazeti ni kama Uhuru lile la CCM; unafikiri wataandika nini? Katika miaka yangu yote ya kusoma herald sijawahi kuona la muhimu. Kama umesoma hilo umewahi kusoma The Dailynews kabla halijafungiwa? Au Zim Online? Tuache ushabiki, the boy (Kikwete) on policy is at best! Hawa kina Mbeki, mugabe, hata Dos Santos bado wamo kwenye usingizi na ndoto za upigania uhuru; that will go by time!

Naitumia Herald mara nying kufanya comparison maana ripoti za Zimbabwe siku zote zinakuwa biased upande mmoja. Lakini hata na uhuru nao siku moja moja si unajua wanafanya vitu vya maana.... Ila hapa focus yangu ilikuwa ni hiyo ripoti ya huo mkutano alioitisha Kikwete, maana western media baada ya kuona umefeli, hawakuupa tena umuhimu. Fanya search ya hiyo topic uone reporting yake ilivyo.
 
[I said:
Kubwajinga;It is unfortunate that even the charismatic MPs likes Zitto are supporting these ugly moves. We are in a pit, shouldn't we advise each other to stop digging instead of chearing the diggers[/I]?

Niliwahi kusoma mahali kwamba Zitto alikwenda Marekani kuhudhuria mkutano fulani unaohusu mambo ya Usalama. Bila shaka alinyweshwa 'kasumu' fulani!
 
yaani... hamjaona Spin iliyotokea hapo au hadi ikodoe macho. Hilo gazeti lilioandika hivyo ni la nani?

Mkuu hiyo ni uhuru ya Zimbabwe, kwa wanaoijua Zimbabwe..we know who even wrote it!

Watu mtaspin tuu kwamba tunaosupport Jk tumenyweshwa sumu na wa USA na Brits..lakini ukweli uko pale pale...Ni nchi gani isiyotegemezi?

Mbeki is just an embarrasment to our continent. Ngoja labda wampe Zuma he can be better! Africans we are still stuck in politics za 1960? Nani hakutawaliwa na wazungu? Germany, JAPAN..ZOTE ZILIKUWA HUMILIATED KAMA MBWA AFTER WWII..but they had a vision. Sisi hapa tunang`ang`na na siasa za mkoloni..what a shame! Ardhi, Ardhi..mpaka lini? sisi Tanzania ambao hatuna hao masettlers...mbona tunategemea msaada wa chakula wa Umoja wa mataifa?

Mbeki , Dos Santos ni sore losers tuu..politicians of yesterday..sasa hivi ingebidi uenyekiti wa AU akabidhiwe Kagame akina Mbeki wangeshika adabu!
 
yaani... hamjaona Spin iliyotokea hapo au hadi ikodoe macho. Hilo gazeti lilioandika hivyo ni la nani?

Mkuu MJJ,
Ina maana pia tusisome Uhuru, D.News, Tanzania Daima n.k., kwa vile tu yana ukaribu na vyama husika? Fact zinabaki pale pale na msomaji ndie atakayepima lipi abebe kwenye ubongo wake. Kilichotokea hapa ni kuwa Kikwete alijikuta peke yake mkutanoni.

Hivi Lesotho ni Karibu zaidi na TZ kuliko nchi nyingine za SADC? Ni kwamba viongozi wengine hawakubaliani na Kikwete na waliamua kugomea mkutano wa Kikwete aliyetumwa na wafadhili wake kwenda kutumia Troika ili kusimamisha uchaguzi usiendelee.

Nimeatach communique ya hiyo Troika ufananishe na kilichoripotiwa.
 
Attachments

  • Organ TroikaSummitCommuniqueJune202008English.pdf
    310.7 KB · Views: 58
yaani... hamjaona Spin iliyotokea hapo au hadi ikodoe macho. Hilo gazeti lilioandika hivyo ni la nani?

sasa hapa spin ni kwamba jamaa wanasema uongo kwamba wakuu walikuwa na bilateral au nini? jamaa hawekwenda mkutanoni naamini hiyo ni fact. sasa tafsiri ya huko kutokuhudhuria tunaweza tofautiana lakini ukweli unabaki pale pale
nao ni "mkutano haukuhudhuriwa na viongozi wote waliotegemewa/takiwa kuhudhuria"
 
Wenzetu wengine habari ni ile tu ya AP, BBC,NYT n.k. Badala ya kusoma na ku-weigh hiyo habari wanaangalia tu ilikotoka.
 
Africans urge Zimbabwe poll delay

BBC News
20:00 GMT, Wednesday, 25 June 2008 21:00 UK

_44778921_mugabe_afp226b.jpg

President Robert Mugabe has vowed
to go ahead with Friday's vote

An emergency summit of southern African countries has called for Zimbabwe's run-off presidential election to be postponed because of recent violence.

The governments of Swaziland, Tanzania and Angola said conditions would not permit a free and fair election.

Former South African leader Nelson Mandela spoke in London of "the tragic failure of leadership" in Zimbabwe.

Meanwhile, the South African foreign ministry said about 300 Zimbabweans had sought refuge at its embassy in Harare.

A spokesman for the ministry told the BBC that the South African ambassador was in talks with the group, alleged to be MDC supporters, in an effort to resolve the situation.

Britain has also said it is to withdraw an honorary knighthood granted to President Robert Mugabe.

Mr Mugabe is the first foreigner to be stripped of the award since Romanian dictator Nicolae Ceausescu in 1989, the day before his execution.

US President George W Bush said the election planned for Friday appeared "to be a sham" because the opposition had not been able to campaign without fear of intimidation.

Time for action

Zimbabwe's opposition leader Morgan Tsvangirai had earlier urged intervention by the African Union and neighbouring states to resolve the country's political crisis.

The summit of southern African leaders urged the two sides to hold talks aimed at finding a compromise.

The time for actions is now, the people and the country can wait no longer - we need to show leadership
Morgan Tsvangirai

The statement followed a day-long meeting in the Swazi capital, Mbabane, of the three countries from the regional Southern African Development Community (Sadc) responsible for overseeing peace and security in the region.

The leaders said they were concerned and disappointed by Morgan Tsvangirai's withdrawal on Sunday from the vote.

But they said that holding the election under the present circumstances might undermine the credibility and legitimacy of its outcome.

They also said the people of Zimbabwe deserved a "cooling-off period".

The opposition Movement for Democratic Change (MDC), says some 86 of its supporters have been killed and 200,000 forced from their homes by militias loyal to the ruling Zanu-PF party. The government blames the MDC for the violence.

Asked what would happen if Mr Mugabe went ahead with the election, the leaders said: "Let's wait and see."

They said they had invited South Africa's President Thabo Mbeki, the regional mediator over Zimbabwe. Although he was absent, they said, he had briefed them by phone.

They insisted there were no divisions over Zimbabwe.
 
Hiyo ni spin tu ya Mugabe kutumia gazeti lake la Herald. (ambalo hata hawezi kulisoma tena)
 
Ni yeye Mugabe ndiye anataka kuonesha kuwa kuna kugongana katika SADC... hata viongozi wote wa SADC wangekuwepo angesema mbona "wake zao hawapo?"!
 
Ukisikia spin ndio hiyo ya BBC. Angola wala haikuwapo na Communique wala haisemi kitu chochote kuhusu Mbeki kuwa-brief. Isome iko attached na hapo chini nimeipaste.

COMMUNIQU
É

THE SADC ORGAN
TROIKA OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENT
25 JUNE 2008
LOZITHA PALACE, KINGDOM OF SWAZILAND

1. At the invitation of His Majesty King Mswati III of the Kingdom of Swaziland

and Deputy Chairperson of the Organ, the SADC Troika of the Organ on

Politics, Defence and Security Cooperation met on this day of 25

th June 2008, at Lozitha Palace, Manzini, Swaziland. His Majesty King Mswati III of the Kingdom of Swaziland, who is the Deputy Chairperson of the Organ, chaired the meeting. The meeting was attended by the President of theUnited Republic of Tanzania, His Excellency President Jakaya Mrisho Kikwete.

2. The meeting was also attended by the Right Honourable Absalom Themba Dlamini, M.P., Prime Minister of the Kingdom of Swaziland, and theExecutive Secretary of SADC, Dr. Tomaz Augusto Salomão.

3. The main objective of the meeting was to consult on the latest politicaldevelopments in Zimbabwe and the political situation in Malawi.

4. The SADC Organ Troika Summit was convened on the recommendations
of the Ministerial Troika of the Organ, at their meeting held in Lilongwe,
Malawi, on 17th June, 2008. The recommendations of the Ministerial Troika
were reiterated by the Ministers of Foreign Affairs on June 23rd, 2008 at the29th Session of the Inter State Politics and Diplomacy Committee of theOrgan. The Summit received and discussed the reports of the two
Ministerial Committees

5. In his opening remarks, His Majesty King Mswati III welcomed His
Excellency President Jakaya Mrisho Kikwete and other delegates to the
consultative meeting. His Majesty reaffirmed SADC Organ’s commitment
to assist the parties to deal with the current situation.

6. With regard to the situation in Malawi, the SADC Organ Troika Summit is
deeply concerned with the political standoff, and appeals to the Parties
concerned to refrain from inflaming the situation lest the situation worsens
further. The Summit urges the parties to use dialogue to resolve their
differences and offers to facilitate the dialogue at the earliest possible.

7. The Summit received a brief from the SADC Executive Secretary on the
political situation in Zimbabwe. The Executive Secretary recalled that
Summit, at its ExtraordinaryMeeting held on 13th April 2008, in Lusaka,
Zambia, commended the people of Zimbabwe for the peaceful and orderly manner in which they conducted themselves before, during and after the
harmonized elections of 29th March 2008. Summit had also commended
the Government of Zimbabwe for ensuring that elections were conducted ina peaceful environment.

8.

The Organ Summit also recalled that the SADC April 2008 Extra–Ordinary Summit had urged the Government that in the event of a need for a runoff election, it should ensure that the election is held in a secure and conducive environment and that SADC offered to send an Observer Mission.

9. The meeting noted with concern and disappointment that the opposition leader, Mr. Morgan Tsvangirai, has formally withdrawn from the
Presidential runoff election scheduled for Friday the 27th of June 2008.

10. The Summit concurs with the view of the Ministerial Troika of the Organ that, in the light of the violence and the charged political atmosphere, the political and security situation in Zimbabwe appears not to be permissive for holding the runoff election in a manner that would be deemed free and fair. It is the considered opinion of the Organ Summit that holding the elections under the current circumstances may undermine the credibility and legitimacy of its outcome.

11. The Organ Summit, therefore, appeals to the responsible authorities in
Zimbabwe to consider postponing the election to a later date. The Organ
Summit feels strongly that because of the current charged atmosphere the parties and people of Zimbabwe deserve a cooling off period. During the period of postponement of the election and before holding the next election, the parties should engage in talks with the aim of finding best possible ways of resolving their differences and creating a conducive environment for holding the election and managing the affairs of their country thereafter.

12. The Organ Troika Summit believes that the people of Zimbabwe are
capable of charting their country’s future in peace and harmony. SADC
avails its support whenever necessary as it has been doing to date.

13.

The Organ Troika Summit commends the 400 SADC Election Observers for the excellent job they have been doing of observing the elections in

Zimbabwe. The Organ Troika Summit urges them to stay the course. In the same vein, the Summit thanks and commends SADC Member States who volunteered to send observers.

14.

The SADC Organ, at all levels, will remain seized of the situation in

Zimbabwe and Malawi.

15.

His Excellency President Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, thanked His Majesty King Mswati III of the Kingdom of Swaziland for his leadership in this critical time for the SADC Region as well as for the warm reception and hospitality, and for availing excellent facilities for this important meeting.

Done at Lozitha Palace, Manzini,

Kingdom of Swaziland

25 June 2008
 
Back
Top Bottom