kwa nini isiwe Kagme aongee na Kikwete ila kKikwete aongee na Kagame hii haiwezekani Kagame kama ni mwanamme ushauri aliopewa angejibu palepale asingesubiri akacheze zeze nyumbani kwake tena kwa kutoa maneno ya kejeli na matusi pamoja na kutumia vyombo mbalimbali vya habari kumkashifu raisi wetu. Hicho alichofanya Kagame kinadhihirisha kuwa ni mwoga na mnafiki anayependa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Huku akiitumia Genocide aliyoianzisha mwenyewe kama chambo.
Kagame ndio anapaswa aongee na Kikwete maana yeye ndiye kaanzisha ugonvi wa mawe kwenye nyumba ya vioo.
Inashangaza sana, na inasikitisha sana kwamba Rais wetu Mheshimiwa Jakaya Kikwete, anayeamini katika mazungumzo zaidi kuliko nguvu, ameingia kwenye mkumbo uleule wa kufanya yaleyale ambayo amemshauri mwenzake Kagame aachane nayo.
Hivi kulikuwa na mantiki gani kwa Kikwete kuutangazia umma tofauti zake na Kagame ilihali anaamini katika kumaliza migogoro kwa mazungumzo? Hivi Kikwete haijui namba ya simu ya Kagame? Kwanini hajampigia simu Kagame ili wayamalize, kabla ya kutuhutubia sisi? Au kama anaona hataweza kuongea na Kagame moja kwa moja, ina maana haijui namba ya Mseveni au ya Uhuru? Ameshindwa nini kuwaomba hawa majirani wamuitie Kagame ili wapatanishwe?
Japo amejibu vema katika hotuba yake lakini maneno yake mbele ya mtusi yule yanaweza kuongeza chuki badala ya kumaliza hizo tofauti. Baada ya kutoa hotuba ile, Kikwete anadhani atakuwa amesaidiaje kumaliza tofauti zake na Kagame? Je wanaweza sasa kukaa chini na kuyamaliza kwa vile tu amesema anasikitishwa na kauli za Kagame?
Dalili zinaonyesha kwamba Kikwete ameanza kutengwa na marais wengine wa Africa mashariki. Ni dhahiri Rais wetu ni tatizo, inawezekana anaiponza nchi. Haiwezekani kwamba ushauri tu dhidi ya Kagame ndiyo uliosababisha haya yote. Lazima kuna mengine nyuma ya pazia, ambayo Kikwete hataki kuyaweka wazi.
Kwa hakika kama Kikwete anaamini katika mazungumzo tunamwomba basi atafute muafaka na Kagame kwa njia ya mazungumzo badala ya kuendelea kurushiana maneno kupitia kwenye mikutano na hotuba. Maana naamini baada ya haya, Kagame naye atajibu! What will be next. Watanzania hatutaki vita sasa hivi. Muyamalize kama mlivyoyaanzisha.
Sasa wewe Kiazi ushauri wako ni nini? Tunafanyaje kumaliza hizi tofauti zilizopo katika ya Kikwete na Kagame? Maana ni dhahiri kwamba Kagame hawezi kumuomba radhi Kikwete, je wewe unasemaje juu ya hilo?Wewe nia yako ni kumfutia Kagame unduli wake kwa eneo hili, kwani ufahamu kuwa Kagame ndiye Zimwi??!. Naona unajizunguuusha kama feni ya kichina. Nikuulize wewe kiazi, kati ya Kikwete na huyo bwana ako ni nani aliemtukana mwingine? na kumzalilisha kama vile Kikwete ni Rais wa TFF. Labda kama akikutanishwa lakini sio ajikutanishe mwenyewe!!. Kuna picha mnataka kucheza hapa.
Huyo Kagame ni mnafik, kwani Kikwete aliposema aongee na hao jamaa Kagame si alikuwepo hapo hapo na hakujibu chochote, kuondoka hapo ndio anajidai kusema alipofika kwao. Kama mwanamme kweli si angeongea mbele ya wanaume wenzake.
du sasa ulitaka Kagame ajibu nini ilihali ameambiwa ukweli na ukweli siku zote mchungu. Isitoshe hii sio Kombolela au mchezo wa pwagu na pwaguzi. Hivi na mwanzo ulisema hivyohivyo ukimya wa kikwete baada ya matusi na kejeli kutoka kwa kagame na mshikiwabo ni fedheha kwa Rwanda au uliona ni sawa tu. JISACHI.ukimya wa Kagame baada ya hotuba ya JK ni fedheha kwa Taifa
Mkuu Lukolo,husika na mstari wa mwisho wa maelezo yako,maamuzi ya vita hufanywa na mamlaka za juu kabisa katika nchi sasa je mwananchi wa kawaida vita itapotimuka unafanyaje???unakimbia au unashika spika na kusema mimi sipendiiiiiiiiii!!!!hilo ni moja lakini la pili kwa nini umlenge JK atafute suluhu na PK kama kwa hili jambo la kupewa ushauri reaction imekuwa hiyo unadhani JK ana hamu hata ya kunyanyua simu???hebu tuwe wakweli hata ungekuwa wewe Lukolo ungeweza kuwa na moyo huwo???nilishasema tena hapa PK alikuwa na mlundiko wa chuki moyoni dhidi ya JK akisubiri tu aingie kwenye kumi na nane zake akione na kweli amejifunua alivyo.ni kweli katika EAC wote tunategemeana japo kwa tofauti ya asilimia,Rwanda inaihitaji zaidi TZ kuliko sisi tunavyowahitaji wao,na ndio maana jana waziri wao wa mambo ya nje alisema kwa lugha ya upole kabla ya kuwatimua wananchi wa Rwanda yaani wahamiaji haramu TZ ingefanya mazungumzo Rwanda wakati ni siku chache zilizopita anasema JK ni symphasizer wa FDLR.Inashangaza sana, na inasikitisha sana kwamba Rais wetu Mheshimiwa Jakaya Kikwete, anayeamini katika mazungumzo zaidi kuliko nguvu, ameingia kwenye mkumbo uleule wa kufanya yaleyale ambayo amemshauri mwenzake Kagame aachane nayo.
Hivi kulikuwa na mantiki gani kwa Kikwete kuutangazia umma tofauti zake na Kagame ilihali anaamini katika kumaliza migogoro kwa mazungumzo? Hivi Kikwete haijui namba ya simu ya Kagame? Kwanini hajampigia simu Kagame ili wayamalize, kabla ya kutuhutubia sisi? Au kama anaona hataweza kuongea na Kagame moja kwa moja, ina maana haijui namba ya Mseveni au ya Uhuru? Ameshindwa nini kuwaomba hawa majirani wamuitie Kagame ili wapatanishwe?
Japo amejibu vema katika hotuba yake lakini maneno yake mbele ya mtusi yule yanaweza kuongeza chuki badala ya kumaliza hizo tofauti. Baada ya kutoa hotuba ile, Kikwete anadhani atakuwa amesaidiaje kumaliza tofauti zake na Kagame? Je wanaweza sasa kukaa chini na kuyamaliza kwa vile tu amesema anasikitishwa na kauli za Kagame?
Dalili zinaonyesha kwamba Kikwete ameanza kutengwa na marais wengine wa Africa mashariki. Ni dhahiri Rais wetu ni tatizo, inawezekana anaiponza nchi. Haiwezekani kwamba ushauri tu dhidi ya Kagame ndiyo uliosababisha haya yote. Lazima kuna mengine nyuma ya pazia, ambayo Kikwete hataki kuyaweka wazi.
Kwa hakika kama Kikwete anaamini katika mazungumzo tunamwomba basi atafute muafaka na Kagame kwa njia ya mazungumzo badala ya kuendelea kurushiana maneno kupitia kwenye mikutano na hotuba. Maana naamini baada ya haya, Kagame naye atajibu! What will be next. Watanzania hatutaki vita sasa hivi. Muyamalize kama mlivyoyaanzisha.
Nakubaliana na wewe kwamba maamuzi ya vita siku zote hufanywa na mamlaka za juu. Na pengine wananchi hatuna namana ya kupinga hilo. Lakini tuna nafasi ya kusema na uongozi wetu ili upunguze huo uwezekano wa nchi kuingia vitani. Bado hali yetu ya kiuchumi ni ngumu sana, hatustahili hata kuiota hiyo vita. kama tutaruhusu hizi chokochoko za maneno ziendelee tutaishia kupigana. Ndiyo ilivyokuwa kati ya Nyerere na Idd Amini, naona sasa inataka kutokea hivyohivyo na Rwanda. Wakati sisi tupo busy kupigana na kila jirani yetu wenzetu wa Kenya wanazidi kujenga uchumi imara. Kabla ya Vita na Idd Amini Tanzania ilikuwa ndiyo nchi imara kiuchumi AFrica Mashariki, lakini baada ya ile Vita tulishuka ghafla na kuanza kujishindwa kabisa. Tunataka tuwe wa mwisho kiuchumi katika Africa mashariki? Hatutaki vita sisi.Mkuu Lukolo,husika na mstari wa mwisho wa maelezo yako,maamuzi ya vita hufanywa na mamlaka za juu kabisa katika nchi sasa je mwananchi wa kawaida vita itapotimuka unafanyaje???unakimbia au unashika spika na kusema mimi sipendiiiiiiiiii!!!!hilo ni moja lakini la pili kwa nini umlenge JK atafute suluhu na PK kama kwa hili jambo la kupewa ushauri reaction imekuwa hiyo unadhani JK ana hamu hata ya kunyanyua simu???hebu tuwe wakweli hata ungekuwa wewe Lukolo ungeweza kuwa na moyo huwo???nilishasema tena hapa PK alikuwa na mlundiko wa chuki moyoni dhidi ya JK akisubiri tu aingie kwenye kumi na nane zake akione na kweli amejifunua alivyo.ni kweli katika EAC wote tunategemeana japo kwa tofauti ya asilimia,Rwanda inaihitaji zaidi TZ kuliko sisi tunavyowahitaji wao,na ndio maana jana waziri wao wa mambo ya nje alisema kwa lugha ya upole kabla ya kuwatimua wananchi wa Rwanda yaani wahamiaji haramu TZ ingefanya mazungumzo Rwanda wakati ni siku chache zilizopita anasema JK ni symphasizer wa FDLR.
Kwani diwani ndiyo haombwi msamaha? Hata mwenyekiti wa kijiji anastahili kuombwa msamaha kama amekosewa. huo ndiyo ubinadamu. Mbona mimi huwa namwomba msamaha mwanangu wa miaka mitatu?Kikwete kumwomba msamaha Kagame ni sawa na Kikwete kumwomba msamaha Diwani.
Inashangaza sana, na inasikitisha sana kwamba Rais wetu Mheshimiwa Jakaya Kikwete, anayeamini katika mazungumzo zaidi kuliko nguvu, ameingia kwenye mkumbo uleule wa kufanya yaleyale ambayo amemshauri mwenzake Kagame aachane nayo. Hivi kulikuwa na mantiki gani kwa Kikwete kuutangazia umma tofauti zake na Kagame ilihali anaamini katika kumaliza migogoro kwa mazungumzo? Hivi Kikwete haijui namba ya simu ya Kagame? Kwanini hajampigia simu Kagame ili wayamalize, kabla ya kutuhutubia sisi? Au kama anaona hataweza kuongea na Kagame moja kwa moja, ina maana haijui namba ya Mseveni au ya Uhuru? Ameshindwa nini kuwaomba hawa majirani wamuitie Kagame ili wapatanishwe? Japo amejibu vema katika hotuba yake lakini maneno yake mbele ya mtusi yule yanaweza kuongeza chuki badala ya kumaliza hizo tofauti. Baada ya kutoa hotuba ile, Kikwete anadhani atakuwa amesaidiaje kumaliza tofauti zake na Kagame? Je wanaweza sasa kukaa chini na kuyamaliza kwa vile tu amesema anasikitishwa na kauli za Kagame? Dalili zinaonyesha kwamba Kikwete ameanza kutengwa na marais wengine wa Africa mashariki. Ni dhahiri Rais wetu ni tatizo, inawezekana anaiponza nchi. Haiwezekani kwamba ushauri tu dhidi ya Kagame ndiyo uliosababisha haya yote. Lazima kuna mengine nyuma ya pazia, ambayo Kikwete hataki kuyaweka wazi. Kwa hakika kama Kikwete anaamini katika mazungumzo tunamwomba basi atafute muafaka na Kagame kwa njia ya mazungumzo badala ya kuendelea kurushiana maneno kupitia kwenye mikutano na hotuba. Maana naamini baada ya haya, Kagame naye atajibu! What will be next. Watanzania hatutaki vita sasa hivi. Muyamalize kama mlivyoyaanzisha.
.... Kama mwanamme kweli si angeongea mbele ya wanaume wenzake.
Kagame pia ameamua kutumia hiyo approach ya dawa ya moto ni moto, ili kupambana na waasi wa FDRL kule Congo, lakini Kikwete, amemchalenge kwamba dawa ya moto ni kumwagia maji. Kama Kikwete anaamini katika kupooza moto kwa kumwagia maji, basi aonyeshe kwa vitendo kauli yake kwa kumuomba radhi Kagame ili asiingize nchi vitani.Dawa ya moto ni moto; watu kama hao ukiwapa kidole watakuvuta mkono mzima.
Kagame hajui diplomacy, kwa hiyo ukisema utumie diplomacy kwake utakuwa unatwanga maji kwenye kinu; iwapo diplomacy ingekuwa inafanya kazi kwa Kagame asingetamka maneno aliyosema dhidi ya Kikwete, na yeye angetafuta njia za kidplomasia kumwonyesha Kikwete kutoridhishwa na ushauri uliotolewa na huyo Kikwete.
Huna Jipya... JK nijanga ,elewahilo..Raisi wetu sio tatizo ila hao wengine kwa vile walitaka kumtumia kuwasaliti watanzania kwa kuwaachia rasilimali zao. Mimi siku zote nitamheshimu sana J. Kikwete kwa uzalendo wake.
Ili neno la kuudhi...hapa uliaribu mfungo...lazima ulipe mfugo huu.
Nikirudi kwenye mada
FF...uanaume wa kweli...hauhalalishi kuongea bila kutafakari...ni busara tu ya Kagame iliyomuongoza asiseme chochote pale. Busara hiyo imuhakikishia kuwa kwa kuwa mtoa hoja "hatabiriki" basi akisema chochote wanaweza kukunjana kwenye nchi ya kigeni...na kuleta aibu ya mwaka ugaibuni (kumbuka wote ni maaskari).
Niliwahi kujaribu kushauri hili kwa mtindo huu...>>>>https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-awaombe-radhi-wanyarwanda-3.html#post6966888.....basi aonyeshe kwa vitendo kauli yake kwa kumuomba radhi Kagame ili asiingize nchi vitani.