hakuna lolote anatuletea mabo ya ajaabu kumbe hata za tandika may be anazimind wabongo hata chupi tukipewa ulaya ni ufahari just like pilipili inavowasha conquest
Ni bora mwenzake Sumaye baada ya kujiona kilaza na kadiploma kake ka kilimo akaamua kwenda kuongeza elimu kule Havard na atakuja kugombea uraisi siku za usoni