Kikwete: We are not such fools | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete: We are not such fools

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jibaba Bonge, Aug 26, 2010.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  JK: No going back on anti-graft fight

  President Jakaya Kikwete said yesterday,
  that the war against corruption must be intensified, promising that if elected he would further empower the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in fighting the scourge.

  "In a period of three to four years PCCB will be more powerful in the execution of its duties,' Kikwete declared during a string of Chama Cha Mapinduzi (CCM) campaign rallies in Kagera Region.

  The CCM flag-bearer said the fact that many government leaders, politicians and businessmen had been arraigned over corruption charges was significant advance in the country's anti-corruption crusade.

  He rubbished opposition claims that his government had done nothing in fighting graft in the country, saying there were a lot of positive steps made including amendment of Prevention and Combating of Corruption Act and enacting of the Election Expenses Act.

  Kikwete pledged that the government would leave no stone unturned against corrupt practices.

  He said the government had set aside about 9.9bn/- for power distribution in Bukoba rural and Karagwe districts, and that the project would be implemented through the Rural Electrification Agency.

  He told party members and supporters at Rubale grounds in Bukoba rural district that the electricity project would take off this year using taxpayers' money.

  Kikwete told the cheering crowd that the project would cover the area from Kanazi to Kafunjo, where there would be two lines one heading to Ibwera and Rubale townships and another one via Izimbya to cover Nyinganyakibumbi and Katoro.

  The president also promised to complete the second phase of the construction of Bukoba airport by constructing a modern passenger lounge.

  He said his frequent trips abroad during his first term in office had yielded positive results.

  "If you are accepted by a superpower such as the United States of America (USA), the whole world rallies behind you," Kikwete said, adding: "But if you are dismissed by USA you will be discriminated against by the whole world."


  He told a rally at Muleba that he would avail farmers the necessary inputs and urged coffee farmers to put more efforts into growing the crop now that it was fetching a reasonable price ranging between 700/-and 1,300/- per kilogramme.

  Kikwete appealed to farmers in the region to make sure that the Kagera Cooperative Union (KCU) had a strong management team and avoid placing such a vital institution in the hands of corrupt people who ended up buying crops from farmers on loan, thus plunging the union deeper into debt.

  The CCM flag bearer said the government would within the next five years make good it's earlier promise to launch a new passenger vessel to replace MV Bukoba that capsised in Lake Victoria 14 years ago, in a move to solve transport woes in Lake Victoria.

  He reiterated his earlier call to the law and security organs to improve the security situation in the lake to curb pirates and cases of lawlessness.

  He pledged to build on achievements registered in the health, education and infrastructure sectors with more zeal, more speed and more strength.

  President Kikwete yesterday toured five constituencies of Geita (Katoro), Bukoba Urban, Bukoba Rural, Muleba North and Muleba South.

  Source: Guardian, 25th August 2010


  my take;

  What does anti-graft fight mean?

  Could you begin by fighting yourself and your mtandao group on this?

  Where are the chenges, kagodas, Meremetas, and the like?

  Would leave no stone unturned?!!! what a joke!!
   
 2. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  kwe!kwe!kwe!kwe!
   
 3. D

  Dick JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yetu macho!:playball:
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  "my take;
  What does anti-graft fight mean?
  Could you begin by fighting yourself and your mtandao group on this?
  Where are the chenges, kagodas, Meremetas, and the like?
  Would leave no stone unturned?!!! what a joke!!"

  Pamoja na kazi nzuri aliyoinzisha JK , hili la watuhumiwa wa RICHMOND kutochukuliwa hatua litapunguza umaarufu wake kwa muda mrefu sana ujao.History will definately not take him kindly on this, and it puts a question mark on his conviction to end graft.
  Otherwise the Mrambas' and Yonas' are where they deserve to be.
   
 5. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Gwakisa, hakuna zuri aliloanzisha huyu! Anasema MANY GOVT LEADERS, yaani hao watatu (Mkamba, Yona na Mgonja) wamekuwa wengi katika Cabinet ya zaidi ya 40? Au anataka kusema na wale wa BOT ni Political leaders? Kuna maeneo mengi tumeona rushwa ya waziwazi, licha ya kesi za Richmonduli na Meremeta:
  1. Uuzaji wa zile nyumba sio za serikali tu hata zile za National Housing Corporation-muulizeni zile nyumba zetu kule Ada Estate, pale Oysterbay, Msasani, na hata Kinondoni, kwa nini amewapa wenzie kwenye siasa kwa bei poa. Watetezi wake watakuja hapa na kusema hata yeye hakukubaliana na uuzwaji wa nyumba za serikali! UONGO Mtupu. Yeye mwenyewe kwa kipindi cha uongozi wake ameidhinisha nyumba kuuzwa kwa jamaa zake serikalini, anafahamu hili, muulizeni mwenyekiti wa kampeni zake Kinana
  2. Utoaji madaraka kwa watu wasio na sifa, wenye kuhusiana naye kijamii, kirika au kiimani! Hii ni rushwa kubwa kuliko yote maana inanyima fursa sawa kwa wote, lakini inaleta utekelezaji mbofu mbofu, nenda Temeke Wilaya uone utamu wa uongozi, hakuna maamuzi na mahali pengine
  3. Naweza kuendelea lakini acha tu; angalia sekta ya madini bado ni wageni wanatufaidi, ameleta kiinimacho kingine kinaitwa Kilimo Kwanza, wanaoleta vile vitrekta vya bustani ni nani, nani anavinunua? hata EPZ ya Bagamoyo ni graft, huwezi ukaduplicate resources za nchi maskini kama Tanzania katika maeneo jirani namna ile, kule Mtwara bado kunahitaji maendeleo, lakini kwa kuwa Baga ni kwake, licha ya umbali na Dar kuwa karibu, tunaenda kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege!?, tunaweka EPZ MBILI, kwa nini serikali isingewekeza EPZ nyngine hapo Mtwara , baga wakabakia na hio ya Wahindi,,,,,,yaanniiiiiiii
   
 6. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyu mtu anafurahia sana matunda ya ujinga na non agressiveness ya watanzania kwa sababu kama PCCB ameshaianzisha, what makes it weak kama siyo ujinga wao na uhuni wao wa kuwaingilia kazi. Maana in a real sence PCCB does not work independently bu with solid guidance from Serikali as to what should be dealt with and who should be caught.

  Kama unavyoona kesi za uwongo na za kubambiokwa huku ksesi kamili zikiachwa kimya.
  Tujiulize kama Jerry Murro, Wale Polisi waliomulikwa na ile kamera walipelekwa wapi,

  na yeye Jerry ambaye hata mpango wenyewe (kama ulikuwepo) haukuwa umekamilika na pengine waliona hautafikiwa nahivyo bora waudakemapema. Yuko wapi.
  Haya ndo mambo ambayo lazima tujue kuwa huyu msela noma anafurahia upungufu wa uelewa wetu.
  He is Nothing, maana anazungumzia kuongeza Bajeti ya Takukuru na siyo impact, ukweli na utendaji wa uwazi
  suala la kiujua nani akla rushwa hata watoto wadogo wanaweza kujua, Inabaki kuwa Je, serikali ina maanisha kuchukia rushwa au kuzuia baadhi ya watu wasifanye hivyo.
   
 7. M

  Masauni JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What kikwete said about corruption is a total lie, kama ameshindwa kuwatia hatiani mkapa, lowasa,na mafisadi wengine wakubwa husitegemee akafanya mambo makubwa katika hilo, watanzania mbona mnadanganyika kwa haraka sana. Dr. Slaa na wenzake walitoa ushahidi wa wazi kabisa kuhusu tuhuma za ufisadi wa richmond na n.k CCM kila siku inasema tunashughulikia, nadhani ni zaidi ya miaka mitatu sasa. Naomba ufikirie kidogo tu, kweli watu hao(CCM)wana dhamira ya kweli ya kuondoa corruption?. Unajua CCM ina take advantage ya kwamba watanzania wengi si wasomaji na wafuatiliaji wa mambo kwa undani. Ninashangaa sana kuona bado watu wana mshabikia Kikwete. Wakati mwingine inanipa kufikiri kuwa ubinafsi umetutawala sana watanzania kuanzia mkuu wa nchi mpaka mtu wa chini kabisa kule kijijini,ndo maana hatujali hatima ya taifa letu bali matumbo yetu. Katika nchi zinazojali utaifa swala kama hili la raisi kuwakingia kifua mafisadi(corruption) lisingempa raisi jeuri ya kusema tutaendelea kutawala tu. Ni malizie kwa kusema kwamba watanzania mlioko huko tanzania msikubali kudanganywa kama watoto kwa kuaambia usiliee nitakuletea pipi, then unanyamaza.
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tunalalama mno
  Tusababishe mabadiliko kwa sanduku la kura
   
 9. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mimi siku ya kura lazima niwe katika watuwa kwanzakwanza kupigia kura mabadiliko na kupinga ufisadi. Hata kama hamtaki, Kura yangu kwa DR SLAA!!!
  Nimechoka maisha haya yasiyokuwa na ukweli na ya upendeleo kwa wachache tena mbaya zaidi wageni!
  jamani Inauma sana. Lakini tuwaeleze wengine wapige kura hasa sisi tuaomiliki compyuter na tuanaadika. Huwa hatutaki foleni eti!
  CHANGE STARTS FROM YOU!
   
 10. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  my God! give us ability overshadow these crook. "' Mkinichagua ntanunua meli mpya kwa ajili ya kanda ya ziwa!!!!!!! Yaani jana ndo kikwete amegundua kuwa kuna ziwa victoria It is shame

  Mungu tunaomba mapigo yaongezeke kwa hawa wezi
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hivi hivi vyombo vya IPP ni vile vile vilivyokuwa vinapinga ufisadi na Mwenyekiti wake kuwa katika lile kundi la wabunge maarufu. Mbona napata kizungu mkuti hapa!! Au tuseme editors mhhhhhhhh!! Salva alishawawahi au!!! Kweli ukiona vyaelea vimeundwa!!
   
 12. b

  bobishimkali Member

  #12
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnyoge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Nashindwa kuelewa unaposema hakuna zuri alilofanya kikwete,kwanza uelewe kwamba concept ya maendeleo ni pana na kwa maana hiyo maendeleo yanaweza kuwa ya kiuchumi,kiteknolojia,kijamii,kisiasa nk.katika hali hiyo unataka kuniambia kikwete hajafanya lolote zuri katika nyanja zote za maendeleo?

  Yapo mengi mazuri aliyofanya kikwete,leo hii demokrasia nchini mwetu imekua na sasahivi tunaweza kuchallenge hata serikari bila kuchukuliwa hatua yeyote kama hapo awali.mimi na wewe leo tunauhuru wa kutoa maoni yetu kama tunanyotoa sasa ni kwa sababu ya juhudi za kikwete za kuruhusu demokrasia kukua.Ni kiongozi yupi kama siyo kikwete peke yake aliyewahi kuwapeleka mahakamani viongozi waandamizi wa serikali.

  Aidha,kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali kikwete hahusika kwani ziliuzwa katika awamu ya tatu ya uongozi ambapo yeye hakuwa mkuu wa nchi.Halikadhalika katika sekta ya madini KIKWETE hakuhusika katika mikataba mibovu iliyopo na kwa msingi huo,alipoingia tu madarakani aliunda tume ya kuchunguza mikataba ya madini(tume ya bomani) ambayo iliwashirikisha wadau mbalimbali ,lengo likiwa ni kuliwezesha taifa letu kunufaika na madini.

  Watanzani wenzangu tujenge utamaduni wa kuwa wakweli.yale mazuri aliyofanya kikwete tuyaseme pia ili tuepukane na dhambi ya uwongo na unafiki kama walinyokuwa mafalisayo
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine huwa namkumbuka sana Mchungaji Mtikila pale anaposema sisi watanzania ni WADANGANYIKA.
   
 14. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  bobishimkali, Hapo kwenye nyekundu mbona hujamalizia?!!
  Ni kweli ni kikwete peke yake aliyewahi kuwapeleka mahakamani viongozi waandamizi wa serikali na kuwaruhusu wagombee uongozi wa ubunge majimboni mwao!!!! unafikiri kuna kesi hapo? Ni kiini macho tu. Au kwako hiyo ni demokrasia?
   
 15. MANI

  MANI Platinum Member

  #15
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Uteuzi ndani ya chama chake ulitawaliwa na rushwa hata viongozi wakuu wa chama hicho wamekaririwa wakisema sasa kama yuko seriously kweli angemalizana na wanachama wake kwanza kwa wale ambao walikuwa na tuhuma na sio kusema ataendeleza vita wakati wahalifu wakubwa wa hilo ametajiwa na hakuna chochote alichofanya.
   
 16. b

  bobishimkali Member

  #16
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utawala bora ni pamoja nakufuata sheria za nchi.Takukuru ni taasisi inayoshughurika na masuala yote ya rushwa,hivyo suala la wanachama wa CCM waliotuhumiwa na rushwa wanapashwa kushughulikiwa na TAKUKURU na MAHAKAMA na siyo KIKWETE
   
 17. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nyerere: Alimpeleka Chifu Abdallah Fundikira mahakamani kwa rushwa wakati akiwa Waziri wa Sheria (na siyo baada ya kuachia u-waziri kama Kikwete anavyofanya).

  Mwinyi: Alimpeleka Maj Gen Muhidin Kimaryo mahakamani kwa kufuja hela za CDA wakati akiwa Mkurugenzi Mkuu wa CDA ( na siyo baada ya kuachia madaraka).

  Mwinyi: Aliwapiga ufagio wa chuma makamanda/makamishna 12 wa vyeo vya juu polisi na magereza kwa tuhuma za rushwa (tuhuma tu, wala hakutaka ushahidi kama Kikwete anavyodai kuwa kama tunao ushahidi tumpe, na anasema anayo majina 100 ya wala rushwa wakubwa)

  Mkapa: Aliwapeleka Nalaila Kiula (Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi) na Katibu Mkuu wa Wizara Dr. Charles kwa tuhuma za rushwa miradi ya barabara.

  Mkapa: Alimfukuza kazi someone Mapunda ofisi ya Waziri Mkuu kwa tuhuma za rushwa hela za wizara ya serikali za mitaa.


  Kikwete hajawahi na hatawahi kumpeleka 'kiongozi mwandamizi wa serikali' yoyote mahakamani kwa rushwa.

  Kina Mramba, Yona na Mgonja wameshitakiwa kwa 'kutumia madaraka vibaya yaliyosababisha serikali kuingia hasara' na siyo kwa rushwa au ufisadi.


  Just to set the record straight.................
   
 18. b

  bobishimkali Member

  #18
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KIKWETE anaongoza nchi kwa kufuata utawala wa sheria,kwa msingi huo hawezi kuwazuia kugombea uongozi wa ubunge majimboni mwao.yeye anaisubiri mahakama ili iweze kutenda haki kwa kutoa hukumu sahihi kwa watuhumiwa. Aidha ukumbuke kwamba hawa ni watuhumiwa tu bado hawajatiwa hatiani na mahakama ndiyo maana hata vyama vya upinzani vinashindwa kuwawekea pingamizi pomoja na milango ya mahakama kuwa wazi
   
 19. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Isipokuwa kwa Mwakalebela - Iringa ambaye alipigwa panga la CCM kwa rushwa kabla hata hajapelekwa mahakamani.

  Lakini Chenge pamoja na kuwepo mafaili lukuki ya ushahidi kuonyesha Rushwa za Radar, IPTL, TICTS, Ndege ya Rais, Helikopta za JWTZ, Kiwira, Meremeta, TanGold na kuua watu wawili juu, bado ni Mwenyekiti wa Kamati Ya Maadili Ya CCM na amepitishwa bila swali.

  Vile vile Bashe - Nzega ambaye pamoja na Uhamiaji (Idara ya Serikali ya Kikwete inayosimamia masuala ya uraia) kusema kuwa Bashe ni raia halali kwa utawala wa sheria, Kikwete na Makamba walimtema kuwa uraia wake una utata.

  Bobishimkali, bora ufuturu, lala subiri daku. La kuvunda halina ubani
   
 20. M

  Masauni JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu inaonekana uelewa wako mdogo, mikataba mibovu ya madini aliifanya kikwete akiwa waziri wa nishati na madini au ukumbuki hiyo?. Wale waliopolekwa mahakamani ni 'makalani' tu wa rushwa wahusika wenyewe wameachwa, na hata hao makalani wamepelekwa baada ya upinzani kufichua, kama ni raisi muadilifu kwa nini asubiri mpaka wapinzani waone wakati wao wako nje ya serikali? Kama mgeni anakuja katika nyumba yako na kuanza kukueleza udhaifu wako it means wewe si kiongozi mzuri katika nyumba yako mwenyewe. Ndo maana tunasema kikwete ni mdanganyifu na wananchi wengi huwa si wachambuzi wa mambo kwa undani, hivyo serikali ya kikwete ina take advantage hiyo ya udhaifu wa wataanzania. Kumbuka kuwa hakuna Raisi yeyote duniani ambaye haidhinishi maamuzi makubwa kama hayo ya rasilimali za taifa. Kikwete ndo aliyeidhinisha mambo hayo maana yeye ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri na mwenyekiti ndo mwenye final say katika vikao hivyo.
   
Loading...