Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

Hoja ya jk nyepesi sana subiri mda wake uishe ndipo umjaji kwa sasa utakuwa mnafiki kama lisu make mda wake haujaisha bado anatekeleza,
kwa sasa unakwama wapi wakati kila sehemu lami tupu ila manyago ya lisu mpaka aibu.
Una matatizo, kwetu BUNDA aliahidi lami na maji tangu 2005 alafu unaniambia nimpe muda. CCM wote ni waongo, wanafiki na wazandiki wakubwa waliojibadili hawana akili wakati wanaju uovu wanaoufanya. HATA WEWE NI MNAFIKI MAANA UNATETEA UNAFIKI. Sababu ya JK kuwaita ikulu ni nini kama sio kutafuta hisani
 
Siyo hoja yangu au nawewe umeanza unafiki na uzushi kama lisu?

Toka lini magamba mkawa na hoja. Nyinyi vijana wa Lumumba nawahurumia sana. Iko siku ukombozi wa nchi utapatikana na mtaimba viva viva... Mnatetea mambo ya ajabu ilhali ndugu zetu wanaoza miguu kwa funza! Kijana mzalendo na mwenye fikra mpya hata siku moja hawezi shabikia serikali ambayo hata rais anaamua kuwa muimba taarabu. Hakuna tofauti ya Komba, Nkamia na JK! Poor you!
 
Lisu ni mnafiki,mzushi,muongo na uongo wake wa mchana kweupe tena hauna kichwa wala miguu.

Kama ni mwongo mbona sasa wanaitwa kukutana na JK . kama ni mwongo mbona sasa wanaambiwa waende Zanzibar, watz mna akili gani ? Lisu mnasema ni mwongo alafu aliyosema mnayafanyia kazi ! mbona siwaelewi ?
 
Mahakama ipo chini ya nani? vyombo vya dola vyote vipo chini ya nani? Tundu Lisu ni raia wa nchi gani? Rais wa nchi hiyo ni nani? kama Tundu Lisu ana tabia ulizotaja hapo juu kwa nini rais wa nchi asimchukulie hatua za kisheria kwa kupotosha taifa?!! Shirikisha akili zako japo ni ndogo sana kabla ya kupoteza muda wako kupost upuuzi wako hapa. sisi hatutaki vijembe vya taarabu hapa. tunachohitaji ni facts za kutusaidia kupata katiba mpya yenye manufaa kwa taifa kwa ujumla wake. kama kuna raia yeyote anayesema uongo kuhusu utendaji wa serikali then achukuliwe hatua stahiki kwa mujibu wa sheria zilizopo na uwezo huo tumeipa serikali na sio serikali kushindwa kufanya kazi yake halafu mnatuletea ngonjera hapa. shame on u!!!!!!!!!!!!!!

Hajua asemalo mtoa mada....
 
Wewe uanesema Lisu aliwahi kuugua kichaa ni kweli, tena alilazwa Mirembe wodi moja na mama yako ndio maana yule mdogo wako wa mwisho anafanana sana na Lisu!
 
Toka lini magamba mkawa na hoja. Nyinyi vijana wa Lumumba nawahurumia sana. Iko siku ukombozi wa nchi utapatikana na mtaimba viva viva... Mnatetea mambo ya ajabu ilhali ndugu zetu wanaoza miguu kwa funza! Kijana mzalendo na mwenye fikra mpya hata siku moja hawezi shabikia serikali ambayo hata rais anaamua kuwa muimba taarabu. Hakuna tofauti ya Komba, Nkamia na JK! Poor you!
Bavicha bana acha unafiki wa lisu hii nchi ni huru wanasiasa wanafiki ndiyo wanataka kutuharibia nchi yetu.
 
Kama huna la kufanya lala

akalale kwanini? huyu bwana simiyu yetu ninavyoona anauelawa mzuri sana. nasema hivyo baada ya kumufatilia kwamakini. kwanza majibu yake pamoja na hoja na ushauli wake anaoutoaga kupitia kwenye huu mtadao wa kijamii yote huwa yamejaa busara na hekima. sasa wewe unamwambia aede kulala ili wanajamii tubaki na hakili za akina lisu na wewe. mimi nachotakakukua mushauli huyo mmeo lisu abadilike kama akishidwa kufanya hivyo! yeye diyo anayefaa kulala huu muda siyo wakulopokalopoka bwana.
 
Kama ni mwongo mbona sasa wanaitwa kukutana na JK . kama ni mwongo mbona sasa wanaambiwa waende Zanzibar, watz mna akili gani ? Lisu mnasema ni mwongo alafu aliyosema mnayafanyia kazi ! mbona siwaelewi ?
Wameitwa ili jk akawasute vizuri waache unafiki na uzandiki make pale kunawazee kama mbowe,slaa na lipumba akiwasuta mbele za watu watazalilika zaidi sasa anaenda kuwapa haki yao ikulu.
 
"Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."

Jiulize kwanini karudisha hii kitu bungeni ndo utapata majibu kama hayo matusi alitukanwa Lisu au alijitukana mwenyewe
 
Bavicha bana acha unafiki wa lisu hii nchi ni huru wanasiasa wanafiki ndiyo wanataka kutuharibia nchi yetu.

Hapo kwenye red nakubaliana na wewe kabisa.. Wanasiasa wanafiki wengi wako CCM tena wakiongozwa na mwenyekiti wao. Kama sio mnafiki anawaita wapinzani ikulu kufanya nini? Kama hoja zao ni za kizandiki anapoteza muda wa nini kukaa na wapinzani ikulu ilhali mnafiki mkubwa Wassira alishasema kuwa hawatawaita wapinzani tena Ikulu?

Simiyu yetu, naimani kabisa unatetea vitu usivyoviamini wewe mwenyewe, hii yote ni kutaka wanao waende shule kama alivyobainisha Nkamia...
 
Lisu ni mnafiki,mzushi,muongo na uongo wake wa mchana kweupe tena hauna kichwa wala miguu.
Huwajui wanafiki wewe ngoja nikutajie wachache, (1) Mkapa aliyeweka wazi mali zake wakati anaingia madarakani lakin akakataa kutaja wakati wa kutoka. (2) CCM wanaopamba kuwa Lowassa ni mstaafu kumbe kajiuzuru (3)Pinda anaesema ana mil 25 kwenye akaunti yake kumbe mshahara wake ni sh mil 26 n.k
 
Kitendo cha rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania jakaya kikwete kumweleza ndugu Lisu ukweli juu ya tabia yake mbaya ya :
-uongo
-uzushi
-uzandiki
-unafiki
Haya ni mambo ambayo lisu amekuwa akiyafanya kitambo kwenye ulingo wa siasa akiwa bungeni na kokote kwenye siasa ambapo tabia kama hizi zikiachwa huota sugu na kuchafua jamii na watu wake.
hali hii ibebidi rais aikemee ili iwe fundisho kwa Lisu na wanasiasa wengine wa namna hiyo wajue kuwa wanapotoka na kudanganya watu.
lakini pia kwa tabia hii ya lisu hata mimi ningeambiwa nimsaidie lisu juu ya hiyo tabia yake na mimi ningefanya alichofanya jk kumwambia ukweli lisu kwani amekuwa na tabia ya kupotosha jamii kwa kiwango kikubwa sana hivyo ni vema aelezwe ukweli ili aache tabia hiyo.

It is so unfortunate that wenye ueleww mdogo kama wa kwako ndiyo washauri wa rais ambao wanamfanya badala ya kujadili issues za kitaifa anamjadili raia mmoja out of 45m. Infact angeeleweka zaidi kama angeijadili kambi ya upinzani na siyo an individual. Halafu mbaya zaidi alizungumzia kitu ambacho hakuwa na uhakika nacho ndiyo maana akajikita kwenye kuambiwa, kuelezwa na kuarifiwa. Hakuwa na muda wa kudai hansard za bunge lakini alikuwa tayari kuwasikiliza washauri wake wachovu akina Wasira na Lukuvi na kuishia kujidhalilisha kama kiongozi wa nchi.
 
Rumours are carried by haters,spread by fools and accepted by idiot........
 
Hayo ni maoni yako ila watanzania wote wanajua kuwa Lisu ni mnafiki, mzandiki, mwongo na mzushi. Full stop. Uongo wake ni wa mchana kweupe. Hauna kichwa wala miguu

Count me out. Wewe hakuna adjective inayokufaa kulingana na uwezo wako wa kujenga hoja ulivyo mdogo.
 
akalale kwanini? huyu bwana simiyu yetu ninavyoona anauelawa mzuri sana. nasema hivyo baada ya kumufatilia kwamakini. kwanza majibu yake pamoja na hoja na ushauli wake anaoutoaga kupitia kwenye huu mtadao wa kijamii yote huwa yamejaa busara na hekima. sasa wewe unamwambia aede kulala ili wanajamii tubaki na hakili za akina lisu na wewe. mimi nachotakakukua mushauli huyo mmeo lisu abadilike kama akishidwa kufanya hivyo! yeye diyo anayefaa kulala huu muda siyo wakulopokalopoka bwana.

Kwa uandishi huu na wewe unajiita GT? Kiwango duni cha elimu yako ni kwa sababu ya sera mbovu za MaCCM, lakini leo bila aibu unasimama hapa kutetea ujinga. Shame on you...
 
Soma hansard.
Kwani kiwete yeye hajui Hansard zilipo mpaka aje na mambo ya niliambiwa? Acheni kukuaa kwenye mitandao na kupotosha umma uku mkilipwa hela ya wavuja jasho. (Lumumba Project)
 
Kitendo cha rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania jakaya kikwete kumweleza ndugu Lisu ukweli juu ya tabia yake mbaya ya :
-uongo
-uzushi
-uzandiki
-unafiki
Haya ni mambo ambayo lisu amekuwa akiyafanya kitambo kwenye ulingo wa siasa akiwa bungeni na kokote kwenye siasa ambapo tabia kama hizi zikiachwa huota sugu na kuchafua jamii na watu wake.
hali hii ibebidi rais aikemee ili iwe fundisho kwa Lisu na wanasiasa wengine wa namna hiyo wajue kuwa wanapotoka na kudanganya watu.
lakini pia kwa tabia hii ya lisu hata mimi ningeambiwa nimsaidie lisu juu ya hiyo tabia yake na mimi ningefanya alichofanya jk kumwambia ukweli lisu kwani amekuwa na tabia ya kupotosha jamii kwa kiwango kikubwa sana hivyo ni vema aelezwe ukweli ili aache tabia hiyo.

Hakuna hoja hapa ni Pumba tupu
 
Ebu angalia na soma hapa chini halafu useme nani Muongo, Mzushi, Mzandiki na mnafiki kati ya Kikwete na Lissu
Hizo ambazo nimeziwekea RED nina uhakika hazijatekelezwa ingawa kuna zingine nyingi tu ambazo sina uhakika nimeamua kutoziweke RED.

[h=2]Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015[/h]
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36. Kulinda haki za walemavu - Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
Back
Top Bottom