Kikwete vs Kagame Kufa kufaana!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete vs Kagame Kufa kufaana!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kivyako, Sep 5, 2013.

 1. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2013
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 7,331
  Likes Received: 2,706
  Trophy Points: 280
  Tangu huu mgogoro wa kiplomasia kati ya Tanzania na Rwanda ukiwahusisha hasa viongozi wa nchi hizi uanze kumekuwepo na maoni tofauti kutoka kwa wananchi wa hizi nchi mbili. Kinachonishangaza ni jinsi vyombo vyetu (Tanzania) vya habari hasahasa magazeti yanavyochagiza huu mgogoro kwa kuibuka na vichwa vikubwa vikubwa vya habari vinavyoihusu Rwanda na raisi wake. Nahisi magazeti yanafanya hivyo ili kuuza, hivyo wananufaika na huu mgogoro lakini kwa upande mwingine wanachochea moto katika huu mgogoro badala ya kuupoza.
   
Loading...