Kisiya Jr.
Senior Member
- Nov 21, 2011
- 102
- 29
Katika hali isiyokua ya kawaida UDSM imepoteza power of self determination ilihali inaongozwa na magwiji walobobea katika fani mbali mbali za kitaaluma. Maamuzi yanayotolewa hayazingatii tena uchambuzi makini unaolenga kutatua migogoro kisomi.
Ikumbukwe kwamba ni hivi majuzi tu mapach watutu i.e Mukandala, Maboko na Magaya wamepata ofa nyingine ya kuendelea na nafasi zao kwa miaka mitano zaidi.
Sina shaka na hili kwamba katika mikataba yao mipya imewekewa rundo la masharti ya kutofanya maamuzi yao binafsi yanayoendana na taaluma zao, bali kutekeleza ujuha unatoka magogoni kwa mh. JK.
Ndiyo maana kichwa changu nimekipa jina la kikwete VC mpya udsm maana ndiyo anashinikiza maamuzi ya kufukuza wanafunzi ovyo hasawale wanasimamia haki za wanyonge. pamoja na mambo mengine huyu mh. alizomewa alipoytembelea udsm kwenye maazisho ya miaka 50 hapo ndo kabisa akajenga chuki.
Hofu yangu ni kwa hawa wanataaluma,tena paprofesa wanashikwaje masikio na Kikwete?