Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
this is silly; amejuaje zinatosha? walikuwa na kiwango walichotaka kufikia au kulikuwa na kiasi ambacho kilikuwa kinaweza kuvumilika na sasa kimepitilizwa?
Kwa sababu kama gesi asilia inatakiwa kubakia na kunufaisha watu wa Mtwara tu, basi wenye haki zaidi ya kudai jambo hili siyo watu wa Mtwara bali ni watu wa Msimbati ambako ndiko ilipogunduliwa gesi ambako ni maili 60 kutoka Mtwara, kilomita 200 kutoka Newala.
I conquer with H.E Jakaya the govt should now flex its muscles and stem out all sorts of hooliganisms coming in the forms of religious and resources activism.
Hilo ni biti la mbu nje ya neti.
Kutokana na hili la gesi kuguswa nilijua asingekaa kimya. Si unajua ni mojawapo ya kilichobadilishwa na maisha ya Ridhiwani?
Mkuu amesha sema inatosha, uhuru alio wapa mliuchezea sasa ni wakati wa kuwapeleka ki mkapa mkapa, na hao wapinzani wanaoleta choko choko basi watakiona,hakuna cha nguvu ya umma wala mahakama za kimataifa, umefika wakati wa kuwa weka kwenye mstari.
Rais kaongea jambo zuri.rasilimali za taifa zinufaishe watu wote kama taifa na si kila mkoa udai rasilimali zake na kama ni suala la kila kwenye irasilimali zitumike palepale tu; sasa kwa nini tunafikiri katika level ya mkoa na isiwe level ya kata,kijiji au mtaa n.k bali mkoa?