Kikwete unatudhihaki Watanzania kwa kauli zako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete unatudhihaki Watanzania kwa kauli zako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo80, Jun 7, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kikwete amekuwa mtu wa dhihaka hata sehemu zisizokuwa za dhihaka unafanya dhihaka.

  Watanzania tunatakiwa tujilaumu sisi wenye kwa kumchagua Kikwete 2005 kutokana na sura yake sio upigaji wa kazi. Tulilamba Garasa badala ya Mzungu. Kwani hata Baba Wa Taifa ( Mungu Amlaze mahala pema) alituonya kuwa rais hachaguliwi kwa sura yake bali kwa matendo.

  Huwezi kuwaambi Waalifu kuwa warudishe pesa za EPA halafu watasemehewa, Kauli ya Jana kuhusu Mapadri kuwa waache kuwatumia vijana kuuza madawa ni kauli ya Dhihaka, Kama wapo waalifu wacha sharia iichukuwe mkondo wake sio kuwatisha watu wazima NYAU. Tangu lini Kikwete ukawa msemaji wa Polisi, Wizara? Kauli zako ni za kejeli na unatudhihaki Kikwete.

  Utawatisha watu mpaka lini Kikwete wakati Kitengo cha kuzuia Madawa ya Kulevya kipo, Jeshi la Polisi lipo, Sheria Zipo, Mahakama Zipo lakini mbona kila kitu unataka kukizungumzia wewe? Je hao uliwaajiri wanakazi gani?

  Mwaka 2005 tuliramba Garasa, 2010 tukarambishwa Garasa tena kinguvu na Tendwa tukabisha mwisho tutakubali. Sasa Madhara yake tunayaona yanaathiri Maisha yetu na Taifa kwa Ujumla. Mikataba ya Kuifisadi nchi yetu wanatilia Nyumbani kwetu Magogoni kwa miaka 100, Je hapo watoto, wajukuu, vitukuu vyetu watakuwa na maisha? Tumewaandalia maisha gani hao wanaokuja ikiwa baadhi yenu wakina Kikwete na wenzako mnaifisadi nchi kwa manufaa yenu, si watatuona sisi wapumbavu?

  Kikwete kama umeshindwa nasi tunaomba nchi yetu utuachie kwa nia nzuri sio kutuharibia kwa Manufaa yako

  Nawasilisha
  Garasa linatupeleka pabaya
   
 2. u

  umtwale Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwan kuna mashindano ya kuanzisha threads? Kitu hii si imezungumzwa kwny threads kibao kwann usiweke post yako huko_unataka tukujue au ? Mods msaidien kijana _wanatuwekea utitir wa threads
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,136
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Kazi anayo mh. Rais hebu tuone kama atawataja katika altimutum ya masaa 48 aliyopewa.
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Crap Crap Crap unatujazia thread za upupu tu humu JF, njoo usiku nikufundishe jinsi ya kuandika thread za maana !:majani7::majani7::majani7:
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kaka kama wewe ni msemaji wa Magogoni basi unahaki ya kulalamika Nikiangalai Profile umejiunga juzi tu leo ndio uanjifanya unazijuwa threads zote? au unatafuta umaarufu kama Kikwete?
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Upupu uanujua au unausikia? Ngoja nikuitei ambulance ya Bajaji ikupeleke Muhimbili kabla hujaanza kutembea barabarani
   
 7. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  Jamaa mbona kaongea kitu cha maana tu, ndio tulichgua usaha badala ya raisi...
  Anzisha thread yako usikatishe tamaa watu!
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Duhhh, hata leo katudhihaki aliposema kazi yetu kusema tuu halafu kuingia mitaani kufanya maandamano. Au sio?
   
Loading...