Kikwete unatuachaje baada ya utawala wako 2015

Kikwete unatuachaje baada ya utawala wako 2015

Katika mahubili ya Fadher mmoja . Alitufundisha katika kutenda tufanye mambo yanagusa maisha ya watu kwa maana ya kuyajenga bila yakuyaharibu. Nitamkubuka Rais Kikwete kwa kuyagusa maisha yangu kupitia kwa Waziri wake Lukuvi pamoja Na Halima mdee .Mungu Awazidishieeee

Mkuu kuna watu watakupinga aisee, we subiri tu wanakuja!lakini najua utawashinda tu!
 
Kwa furaha uliyonayo sahizi hata akikwambia njoo unifulie boxer utaenda mbiombio.

Daa huyu nae eti unategemea aone mazuri ya Rais wake? Hata huu ujinga anaopost huenda asiweze tena baada ya Oktoba,daa mzigo kwa Cdm huu!
 
Kinjekitile bwana! Wambie wana jf legacy ya rais wetu usitukane humu, wakumbushe ili waendelee kua na imani na chama chetu, kutukana kunakuonyesha hujastaarabika na hujui mantiki ya hii mijadala ya kijamii, toa hoja tujadili si kuita watu wajinga.
 
Mkuu kwa bahati mbaya huu uzi uliukwapuansehemu ukauanzisha, kwa bahati mbaya wakakuunganishia huku kwa hiyo tulia aisee! Usiulize Tanzania Imekufanyia nini,Jiulize umeifanyia nini Tanzania! Ukiuliza Rais anakuachaje jibu unalo mwenyewe atakuacha hivyo hivyo ulivyo!!
 
Hiyo avatar yako inaonyesha kupoteza matumaini ya kuishi hata huna la kukumbuka!

jk.jpg

Kumbe upo mkuu, tangu ulipopewa jukumu la kubeba kiti chake cha uganga, hukosekani hapa jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom