Kikwete unatuachaje baada ya utawala wako 2015

Kikwete unatuachaje baada ya utawala wako 2015

sasa hakuna ubishi tena kwamba rais wetu ataondoka madarakani mwishoni mwa mwaka huu, licha ya tetesi kwamba angejiongezea muda ili akamilishe mchakato wa katiba mpya aliouanzisha, tumeshindwa kujua ni kwa nini rais wetu alishindwa kusimama wima haswa mwishoni mwishoni kama alivyokua ameanza mwanzo kwa uteuzi makini wa wajumbe wa kukusanya maoni.eneo hili la katiba mpya ndilo lilionekana kumpa alama nyingi mh kikwete kama angefaulu kuwapatia watanzania katiba mpya waliyokuwa wanaingoja kwa hamu kubwa, lkn kwa bahati mbaya au nzuri rais wetu alishindwa kusimamia mchakato huu vizuri licha matamko yake mazuri aliyokua ameyatoa tangu mwanzo, mf rais alituambia wana ccm tujiandae kisaikolojia juu ya jambo hili kwa sababu watanzania wanaweza kuamua tofauti, sasa wakati huu rais wangu anapokwenda kuhitimisha ngwe yake watanzania tutamkumbuka kwa lipi kubwa kama rais wa nchi.

kwa kuanguka jukwaani mara kwa mara
 
kikwete tutamkumbuka sasa sana mabarabara umeme maji hadi vijijini maraisi waliotangulia sijaona walichofanya.big up kikwete
 

Raisi wa kwanza TanZania kuwekwa kwenye ze Utamu!

 
➡Mauaji ya albinos
➡Ufisadi uliokithiri.
➡Kuwapamba mafisadi
➡Wanafunzi kwenda sekondari wangali hawajui ➡kusoma na kuandika.
➡Rushwa kama jungu.
➡ wananchi kuuawa na police.
Kusafri mara nyingi zaidi nje ya nchi
KIONGOZI ALIEBORONGA KULIKO WENZAKE WOTE.
HATA MWINYI ALIFANYA VEMA KULIKO YEYE
 
Sasa hakuna ubishi tena kwamba rais wetu ataondoka madarakani mwishoni mwa mwaka huu, licha ya tetesi kwamba angejiongezea muda ili akamilishe mchakato wa katiba mpya aliouanzisha, tumeshindwa kujua ni kwa nini rais wetu alishindwa kusimama wima haswa mwishoni mwishoni kama alivyokua ameanza mwanzo kwa uteuzi makini wa wajumbe wa kukusanya maoni.Eneo hili la katiba mpya ndilo lilionekana kumpa alama nyingi mh kikwete kama angefaulu kuwapatia watanzania katiba mpya waliyokuwa wanaingoja kwa hamu kubwa, lkn kwa bahati mbaya au nzuri rais wetu alishindwa kusimamia mchakato huu vizuri licha matamko yake mazuri aliyokua ameyatoa tangu mwanzo, mf rais alituambia wana ccm tujiandae kisaikolojia juu ya jambo hili kwa sababu watanzania wanaweza kuamua tofauti, sasa wakati huu rais wangu anapokwenda kuhitimisha ngwe yake watanzania tutamkumbuka kwa lipi kubwa kama rais wa nchi.

Safari za nje zisizo na tija kwa taifa huku nyingine akiziita za kuaga wahisani.
 
Katika mahubili ya Fadher mmoja . Alitufundisha katika kutenda tufanye mambo yanagusa maisha ya watu kwa maana ya kuyajenga bila yakuyaharibu. Nitamkubuka Rais Kikwete kwa kuyagusa maisha yangu kupitia kwa Waziri wake Lukuvi pamoja Na Halima mdee .Mungu Awazidishieeee
 
mimi nitamkumbuka kwa kingereza chake cha kuunga unga.
 
Kenshi umenichekesha, matatizo yanaweza kujimaliza lkn nakubali hiyo ndio staili yake kwa sasa, yanakuja anayanyamazia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom