Kuna watu mna vituko, et mwakyembe aliwapa hela mwanza kwa ajil ya meli. Mwakyembe ana pesa za namna hiyo???
Kwa hiyo mulitaka kutumia uwaziri wake kuwafavor ninyi coz ni jimbo lake??? Non sense
Ndi nkafu une! loli imbombo jilipo, abhandu bhakatele kukyela.
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,
Me wizara hizo nyingine siwezi sema mengi lakini hii ya mwakyembe ,nadhani kuna hira ba uvundo ndani yake yaaani kuna vitu mwakyembe haendani na kikwete yeye kama yeye au nawashauri wake wa karbu na pengine wakiwa wanahofia baadhi ya vitu,ukumbuke sita alitupwa huko EAC,baada ya kuwa anaikosoa sana safu ya uongozi wa juu na hasa reaction alizoonesha baada ta kukosa uspeaker.
Sasa basi makyembe amekuwa amejizolea umaarufu na alikuwa amepambana na uozo ulikuwa umejificha hko bandarini na kna watu hadi leo wanapga makofi na yamkini watardushwa tena kwani mwakyembe katoka!!!
Kama huijui Kyela nyamaza tafadhali
Kyela tuna bandari HAJAWAHI igusa hata kwa miundo mbinu kila siku tunaona anaimarisha bandai ya Dar,Mwanza na Tanga
Kyela tuna meli chakavu zinazo zima katikati ya ziwa kila siku lkn ni Mwakyembe aliyeipa Mwanza hela za meli mpya!
Mwakyembe ni mbunge wa hovyo hovyo kupata kutokea ktk Wilaya ya Kyela na hawezi shinda hata kura za maoni
achilia mbali kupambana na CHADEMA
Kushinda uchaguzi Mwakyembe Kyela "nialu emele lugili"
Huyu ni mzushi tu na mpiga porojo
Mwakyembe alikuwa waziri wa Tanzania au Kyela? Mlaumu Mwakyembe kwa ubunge wake na sio uwaziri wake. Kwanza ni makosa makubwa ya kiongozi wa kitaifa kama waziri kupendeelea kwake just because ni nyumbani bila kufata utaratibu.
ngafu fijo mkamu ghwangu.
Tubhaghile kutobhujisya kangi mu bunge 2015 akatumanya uswe
!
!
Pongafu loli mkamu ghwangu.
mim nina mtazamo tofauti kidogo naona jakaya amefanya mahamuzi sahihi,sababu kule afrca masharik kuna makubaliano mengi tutayofanya hasa ya mambo hayo ya uchukuzi na mambo mengine ,nadhani mwakyembe amefanya mazuri hapa ndani,kule afrca mashariki panahitaji mtu chakarmu like mwakyembe.welldone mr kikwete.
Hata mimi nimejaribu kuliangalia hili,nimeona kama kuna kupotezeana vile!!!!
Hivi umtoe Mwakyembe wizara ya uchukuzi halafu umlete msanii wa bongo muvi Sitta!!?
Huku si kuwatania watanzania!!?
Wanampoteza vipi? Ni katika utawala wa JK ndipo Mwakyembe aliacha kuwa mbunge tu na kuanza kuhudumu kama naibu waziri na hatimae waziri! Sasa kama lengo ilikuwa ni kumpoteza, alikuwa na haja gani ya kumteua naibu waziri na hatimae waziri? Tatizo watu mnaichukulia poa Wizara ya EA lakini ile wizara inatakiwa kuwa na watu strong kama Mwakyembe kwavile tumezungukukwa na nchi manyang'au ambao huwa wanataka kusukuma agenda zao! Na kosa atakalofanya rais ajae 2015 ni kuichukulia poa hii wizara na kuweka waziri yoyote... ikitokea hivyo, jua tumekwisha.Wanajitahidi sana kumpoteza kisiasa!!!, sijui wanamhofia nini!?!!!