Anyway, pamoja na kutokumuelewa vizuri. MIMI jukumu nalomvisha rais wetu mpendwa mstaarabu ni kule kushindwa kuwasimamia wateule wake, wither ni kwa ustaarabu wake au kwa sababu zingine. Sijaona mtu alieteuliwa nae akiwajibishwa straight bila mizengwe, tume zinaundwa kila siku.
Anyway udini au dini zilikuwapo siku nyingi, migogoro ilikuwapo siku nyingi ila uchaguzi uliopita ccm kutumia karata ya udini kwenye siasa kumefungua ukurasa mpya. Hio ni mzigo wa rais wetu mpendwa.
Nadhani akiweza kuutumia uungwana wake kwa vitendo na kuangalia watanzania wote kwa macho ya kiungwana bila pazia la madeni ya uarafiki tunaweza kutoka hapa,
god bless tanzania