Mnaounga mkono Military coup ya Burundi, mnatumia mawazo mafupi sana kutafakari hali iliyopo. Sasa Nkurunzinza amepewa audacity ya ku-supress katiba kwa kuiweka Burundi, kwenye military rule, kama atafanikiwa kurudi madarakani. Na kama akishindwa kurudi madarakani, mtegemee Kagame kuendelea kuua wapinzani kwa pre-text ya ku-plot kumpindua. Mpinzani katika karne ya 21 hutakiwi kutumia njia za kijima kama wanayotaka kutumia wanajeshi wa burundi walioasi. Mara nyingi hawa majenerali wanaopindua viongozi waliochaguliwa kikatiba huishia kuwa madikteta kuliko waliowapindua.mifano hai afrika imejaa tele.
Napata aibu kuwa afrika miaka zaidi ya 60 tangia tuanze kupjitawala wenyewe bado tunaishi kikarne ya 19. Nkuruzinza,alitaka kujiongezea madaraka kwa kutumia kalamu,wapinzani nao walitakiwa ku-mobilize kalamu zao na ku-fight back. sasa muda si mrefu huyu Nkurunzinza na ushenzi wake wote wa uroho wa madaraka ataanza kupata public sympathy kwa kufanya crackdowns pindi akirudi Burundi. Uhuru wa vyombo vya habari Burundi nao ndio bye bye.maana wameshaanza kupiga mabomu vituo vya private pamoja na kuviondoa hewani vilivyobakia.
I do not see this situation as a win-win.
Between, EAC policy yao inasemaje kuhusu coup presidents? will they work with eth new general should Nkurunzinza lose power for good?