Mwaipaja ima
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 404
- 76
Hivi ni kweli hawa viongozi wetu wana akili kwenye bongo zao? Eti wanapinga mapinduzi ya wajeda hapo BURUNDI. Kwahiyo inamaana wanaunga mkono machafuko yaliyokuwa yanaendelea na kusababisha vifo vya wananchi wa Burundi? Wajeda wameamua kuzima jaribio la uvunjwaji wa sheria uliotaka kufanywa na huyu kijana PIERE.
Kwa njia waliyotumia imesaidia na wananchi wameshukuru na amani itarejea. lakni namshanga huyu mwenyekiti wa kikao cha jana cha marais kujadili kutokukubali mapinduzi yaliyosaidia kufuta fikra potofu za kutaka kuvunja sheria halali.
Napata mashaka yaliyotokea BURUNDI huenda nasi hapa tujiandae kwa kutokana na usanii unaofanywa na serikali hii wajeda wanaweza kufanya yao kama walivyofanya wajeda wa BURUNDI.
kikinuka kwa haki sina kinyongo .endelea kusimama hivohivo
usubiri na huku nako muda si mrefu kitanuka
we kichwa maji jibu hoja usipelekwe tu kama mlevi,katiba ya chadema ni uhuni mtupu
Tena nkuruzinza alitakiwa auwawe kabisa kwa upuuzi alioufanya.yaani anataabisha malaki ya watu kwa interest zake binafsi.
Kibonzo kinatoa ujumbe fulani, kinaonyesha kwamba yeye na mwenzake wa nchi jirani sana na sisi wanatafakari na 'kutamani' kama angalau na wao wangepata one more 4 the road.
Hao wengine wawili, ni kama tayari 'weshajitwalia' u-life President!
Wananchi wameridhia lakini au zilezile za kutaka madaraka?Apinduliwe Tu
ikiwa awali walikuwa laki mbili seuze elfu kumi na tisa??
-wananchi wa burundi wengi wakati wanapelekwa 2010 walikuwa ving'ang'anizi hawakupenda kwenda kwao kwa malengo ya kupewa uraia wa hapa nchini au wapelekwe nchi za nje#!?
**hivyo baada ya kurudishwa makwao baada ya kutokea vurugu kidogo bujumbura hata walio mikoa ya luyigi na nyanza lake wakamiminika nchini.maana huko ndiko waliko rudishwa wakimbizi wengi kipindi cha awali.
##kwa taarifa yako tu hata jana nilikuwa mkoa wa luyigi burundi lakini amani ipo tena sana tatizo ni *watusi *wa bujumbura.
Hajaenda kusikojulikana, kwani wewe hujui kuwa alirejea 'nyumbani' kwake Dar jana ile ile usiku, baada ya 'wajeda' wa nchini kwake kumtilia ngumu kutua kwenye uwanja wa nfege wa Bujumbura?ndio maana akaogopa kutua bujumbura akaenda kusikojulikana.angejaribu kutua tu lazima ndege yake ingelipuliwa
Ni heri mama yako angezaa mkate tukanywea chai kuliko kuwa na mtu mwenye akili kama yako.
Mkuu mambo haya hata wafanye wana chadema waendelee kumchagua Mbowe Kuwa mwenyekiti wao maana uenyekiti wa Mbowe kuwaumiza zaidi wanaccm kuliko wana chadema,inawafanya wanachadema wanaamini Kuwa kwenye kampani zetu za kupinga uenyekiti wa Mbowe kuna jambo limejificha nyuma ya paziaMbona mr. Dj kachezea katiba hapa zitto kapiga kelele mkamwita msaliti. Kuna tofati gani kati yao wawili.