singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Ameniboa sana alipotoa hotuba yake ya kulaani mapinduzi haya kwa lugha ya KIINGEREZA wakati wanasema wanataka lugha ya kutumika kwa EAC iwe ni kiswahili.
Ni heri mama yako angezaa mkate tukanywea chai kuliko kuwa na mtu mwenye akili kama yako.
Heri baba yake hilo bao lililomtoa yeye angelipigia Puri chooni au bafuni pia!
Mbona mr. Dj kachezea katiba hapa zitto kapiga kelele mkamwita msaliti. Kuna tofati gani kati yao wawili.
Sizani kama kuna kiongozi afrika mwenye akili timamu.sasa huyu nae anaongea nini,au anafikiri hii nchi Ni ya familia yake?
hivii,, ni kweli hawa viongozi wetu wana akili kwenye bongo zao?? Eti
wanapinga mapinduzi ya wajeda hapo burundi. Kwahiyo inamaana wanaunga mkono machafuko yaliyokuwa yanaendelea na kusababisha vifo vya wananchi wa burundi.? Wajeda wameamua kuzima jaribio la uvunjwaji wa sheria uliotaka kufanywa na huyu kijana piere. Kwa njia waliyotumia imesaidia na wananchi wameshukuru na amani itarejea. Lakni namshanga huyu mwenyekiti wa kikao cha jana cha marais kujadili kutokukubali mapinduzi yaliyosaidia kufuta fikra potofu za kutaka kuvunja sheria halali.
Napata mashaka yaliyotokea burundi huenda nasi hapa tujiandae kwa kutokana na usanii unaofanywa na serikali hii wajeda wanaweza kufanya yao kama walivyofanya wajeda wa burundi.
hujitambui kafie act yenu
siungi mkono mapinduzi lakini kwa mazingira ya burundi naunga mkono kwa asilimia zote,tena ingekuwa vizuri kama wangemkamata ili ajibu mashtaka ya machafuko na mauwaji ya raia wasio na hatia!inatia hasira sanaa!!
Hii jumuia inatia aibu sana.....
hisia huharibu akili ya kuutafuta ukweli halisi&tena nkuruzinza alitakiwa auwawe kabisa kwa upuuzi alioufanya.yaani anataabisha malaki ya watu kwa interest zake binafsi.
ikiwa awali walikuwa laki mbili seuze elfu kumi na tisa??wakimbizi walio sajiliwa kigoma wamefika elf 19 na bado wengine wako nyarugusu! Sasa kupinga haya mapinduzi unahitaji uwe fisadi na element za kigaidi! Otherwise haya mapinduzi ni ya kurejesha amani burundi sioni tatizo hapo