Kikwete: Tanzania ipo katika mikono salama

Bila katiba mpya lolote linaweza kutokea
Siamini kama itakuja kutokea tena siku moja kuja kutawaliwa na Rais aina ya Magufuli!! Aisee Udikteta uusikie tu kwa wenzako!

Yaani ndani ya miaka michache tu ya utawala wake, alijigeuza kuwa Alfa na Omega! Mungu ni mwema sana. Ametupa funzo! Sidhani kama kuna mtu atakuja kuleta tena masihara kwenye uteuzi wa mgombea Urais!
 
Alisema ana uwezo wa kuongoza malaika....ngoja tutapata mrejesho
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Siamini kama itakuja kutokea tena siku moja kuja kutawaliwa na Rais aina ya Magufuli!! Aisee Udikteta uusikie tu kwa wenzako!

Yaani ndani ya miaka michache tu ya utawala wake, alijigeuza kuwa Alfa na Omega! Mungu ni mwema sana. Ametupa funzo! Sidhani kama kuna mtu atakuja kuleta tena masihara kwenye uteuzi wa mgombea Urais!
 
Jakaya ni msanii mzuri sana ila tunamshukuru kwa kutengeneza tatizo kisha akalitatua
 
Siamini kama itakuja kutokea tena siku moja kuja kutawaliwa na Rais aina ya Magufuli!! Aisee Udikteta uusikie tu kwa wenzako!

Yaani ndani ya miaka michache tu ya utawala wake, alijigeuza kuwa Alfa na Omega! Mungu ni mwema sana. Ametupa funzo! Sidhani kama kuna mtu atakuja kuleta tena masihara kwenye uteuzi wa mgombea Urais!
Maccm usiyaamini. Yanaweza lete mwingine aina ya JIWE
 
Back
Top Bottom