Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Tanganyika ina rasilimali ina gesi ina dhahabu ina mihogo ina mtama,mbaazi,ina ng'ombe ina mbuzi, ....asie na kitu kinyama mwitu,
Hayo hapo juu ni maneno ya Mheshimiwa Kikwete Raisi wa Tanzania ,hapo alikuwa akipiga dongo ,kama hujawahi kusikia mtu kupoteza mwelekeo wa anayosema basi msikilize Kikwete baada ya maneno hayo ni jinsi gani anavyoanza kubabaika na kusema mambo ambayo hakupaswa kusema ,mimi nilifikiria na kumuhofia kuwa anataka kuanguka ,kama utakumbuka mheshimiwa alipoishiwa nguvu na kuanguka jukwani wakati akihutubia ,maneno yake yalikuwa yanakwenda haraka haraka na hapa alikuwa kama ameanza dalili,ila alivuka salama ,ila alichokisema hakikufaa kusemwa na yeye kama Raisi ,
Baada ya kauli hiyo hakuzungumza kama Raisi wa Nchi bali alizungumza kama mkereketwa wa serikali mbili,mkereketwa wa CCM na zaidi aliposema watu wafanye uamuzi wa serikali wakati yeye hayupo ,alikusudia akishakufa au akishamaliza kuchukua chake mapema ,siku alipoanguka jukwaani nilitoka machozi lakini leo akianguka naweza kusema anastahili ,lakini mimi ni Muislamu Mwenyezi Mungu asinijaalie kufika kusema hayo.