Kikwete: Tanganyika ina Rasilimali nyingi

Kikwete: Tanganyika ina Rasilimali nyingi

Hapa kuna red card inafuata sio muda mrefu!
 
Mi yangu macho tu...hizi siasa zimekuwa taiti sana siku hizi. Sio rahisi kama watu walivyotegemea.Matarajio yetu ni kupata katiba bora...ngoja tuyape muda mambo yanayojiri tuone kama hilo litawezekana.
 
Faida za kuvunja muungano.
1.mzigo wa misumari(znz)tutatua.
2.deni la taifa trl 30 zilizoliwa na wahuni zitakuwa batili.
3.mikataba feki ya kina chifu mangungo itaenda na tanzania.
4.laana ya kutumia jina bandia itatutoka.
Kumbuka nje ya muungano hakuna ZANZIBAR bali kuna PEMBA na UNGUJA! Take note of that, and it's for really!
 
Kama ni wazito wa kufahamu ,itakuwa tabu vilevie kuelewa mistari mingine, Hivi mlimsikiliza Mheshimiwa Kikwete kwa kituo ,mstari kwa mstari,(betweenZeline) ? Mheshimiwa amevuruga vibaya sana kiasi ya habari iliyopo ni kwa Waziri mkuu Mh.Pinda kumuomba Raisi alahirishe hilo BMK ,unafikiri ni kwa nini ? Si kweli kuwa sababu ni bunge la bajeti na shughuli zingine ,Pinda machale yameshamcheza kwani hakuna tena heshima na ni kuwa ukumbi umeshachafuka ,kwani Kikwete amezungumza direct na amevuta upande zaidi wa CCM,amejivutia upande wake,Kikwete amekwenda kuzungumzia maoni yake na ya Chama chake,Je mheshimiwa alishasahau kuwa wakati na muda wa kuwakilisha maoni umeshapita ? Na alichotakiwa ni kutamka kuwa bunge amelifungua rasmi,Mheshimiwa hakulitamka hilo labda alighafilika au alizama katika kulazimisha kile anachokitaka yeye na chama chake. ?

Jingine Mheshimiwa amekwenda pale kwa style ya kishetani ,kivipi ? Ipo habari katika din ya kiislamu,ambayo Shetani anamruka mtu kwa kusema kuwa hakukushika mkono kukuvuta kwenye kutenda dhambi ,kama mtakumbuka Mheshimiwa mwanzo mwanzo alisema wajumbe wasiwe wenye kulazimishwa au kuambiwa afanye kitu gani ,ila mwisho Kikwete alikuwa akiwaeleza nini cha kufanya kiasi ya kufikia kusema serikali tatu hazitafanikiwa akakandamiza sanasana.Aipoteza lengo lililompeleka pale na akapotea.
 
Back
Top Bottom