Kikwete talks on EA members hypocrisy

Kikwete talks on EA members hypocrisy

Nothing new. This is what COW has always said too. Tanzania and Burundi can join the others at a later date when their fears have been dispelled. This is in order. Now let's move on.
 
Last edited by a moderator:
Nilikua na sababu zangu za kupinga kuanzishwa kwa Kenyan forum kwa kuwa nia yenyu kuu ya kufanya hivyo ilikuwa kututenga kwa sababu wakenya walikuwa wanachangia sana kwenye International forum wakati ule. Ndio maana mi binafsi sipendi kuchangia kwenye Kenyan forum. Kuongezea kwenye hii mada, Kikwete kama Raisi wa tanzania anatarajiwa alinde ajira ya wananchi wake kwa hiyo lazima vikwazo vidogo viwekwe kwenye kuajiri foreigners. Lakini anafaa kufahamu kuwa tukiendelea na Coallition of the Willing, Tanzania itabaki nyuma kimaendeleo, mikakati inawekwa ambayo itakuwa ngumu sana Tanzania kujiunga na nchi hizi zingine kwenye pace moja, itawachwa nyuma na hapo ndipo mtakubali kuwa EAC ilikuwa hapa for the greater good, not just for Kenya and Kenyans.

Mkuu
Za masiku, sometime ni vizuri kuwakumbusha wenzetu huko tulikotokea.....
Anyway, hayo mambo mengine ya CoW sijui, tunaachia wafugaji...🙂
 
Tanzania haijawahi kufukuza wageni bali genge la wahuni waliokuwa wanakaa nchini kinyume na taratibu.na tutaendelea kufanya hi vyo pale inapobidi..kumbuka kenya hivi sasa inafukuza wasomali kwa sababu za msingi kabisaaa.kwa hiyo kuna mambo yasiyohitaji ushabiki ndugu yangu

Kenya haikuwa na nia ya kumfukuza yeyote, ni hadi tuliposukumwa hadi ukutani kwa mabomu na hawa wageni. Tumewapa hifadhi wageni tokea nchi zote majirani zetu. Yupo hapa Mtanzania ninayemfahamu ana jengo kubwa sana na anazidi kufurahia ukarimu wetu. Hawa Wasomali wamekua na dharau kwa kutupiga mabomu, imebidi tuwapakie kwenye ndege na sio malori. Na tunafanya hivyo tu kwa wale kabisa wameshindwa kudhihirisha uraia wao, operation haifanywi kwa jazba kama mlivyofanya hadi ikasemekana mliwafukuza hadi Watanzania sahihi.
 
Mkuu
Za masiku, sometime ni vizuri kuwakumbusha wenzetu huko tulikotokea.....
Anyway, hayo mambo mengine ya CoW sijui, tunaachia wafugaji...🙂

mie mzima Alhamdulillah, siku nyingi kaka hauonekani huku.
 
Kenya haikuwa na nia ya kumfukuza yeyote, ni hadi tuliposukumwa hadi ukutani kwa mabomu na hawa wageni. Tumewapa hifadhi wageni tokea nchi zote majirani zetu. Yupo hapa Mtanzania ninayemfahamu ana jengo kubwa sana na anazidi kufurahia ukarimu wetu. Hawa Wasomali wamekua na dharau kwa kutupiga mabomu, imebidi tuwapakie kwenye ndege na sio malori. Na tunafanya hivyo tu kwa wale kabisa wameshindwa kudhihirisha uraia wao, operation haifanywi kwa jazba kama mlivyofanya hadi ikasemekana mliwafukuza hadi Watanzania sahihi.
koma. tz imebadilika, tumetumia miaka 40 ya kwanza kujenga usawa kwa ujamaa sasa tunajenga uchumi. miaka 30 tumepambana kujenga uhuru wa Africa nzima wakati CoW walikua makuwadi wa wakoloni. imeandikwa kenya ilishirikiana na makaburu huko Syshelles, Mozambique, na Sa. tunawajua enyi self seeker.
 
why kenyan are so keen on work permit and tourist visa????? so maendeleo ya east afrika ni wao kuja kufanya kazi huku tu au? stupid!!! fanyen kazi nchini kwenu!!! in short tunalinda ajira za ndani.

1. kwa nn kenya bia za tz haziuzwi ni tusker tu????
2. kwa nn hamuongelei tuwe na east africa airliner tudissolve airliner za member state??
3. tz tutafaidika vp na single tourist visa wakat sie ndio tuna almost all major attractions??

huyu muandishi kaja kuhoji mambo wanayoyataka wao tu kama mlivyoambiwa fanyen hayo mnayotaka then faida zake tukiziona na sie tutajiunga!!!
 
Wacha hadithi za alfa ulela, dunia imebadilika na kila mtu yuko kimaslahi sasa. Ninyi mmeshtuka juzi na kuanza mbio kiholela na ndio maana mnatajika kwa mafisadi, pembe za ndovu na madawa. Zamani za Nyerere Mtanzania alikua mtu wa kuheshimika lakini sasa nenda uwanja wowote wa ndege kimataifa, pindi utapobainika kuwa Mtanzania kwa paspoti yako jamaa wanakua makini hata hangover za jana zina waishia. Uchina sasa kuna foleni ya Wabongo wanaotazamiwa kunyongwa. Bado mnajidaganya na kuficha nyuso zenu kwenye mchanga na hadithi za ujamaa.

Sisi hapa Kenya tulishtuka zamani na ndio maana tupo mbele kiuchumi, maovu tushayazoea na hatujifichi wala kubisha.
 
Mbona unakurupuka na povu mdomoni. Kila nchi ina majukumu ya kulinda ajira zake na hakuna aliyeishutumu Tanzania kwa hilo. Tatizo ni kuwa Tanzania imekua ikidai kuwa ndani ya muungano huku ikifanya kila kitu kinyume na wengine, kama vile Wazanzibar hufanyia Watanganyika huku wakijiita Watanzania. Sasa ni afweni rais wenu ameruhusu sisi tufanye yetu na mtakaposhtuka basi mtaungana nasi. Sasa yaishe na hamna haja ya ubishi tena.
 
Wacha hadithi za alfa ulela, dunia imebadilika na kila mtu yuko kimaslahi sasa. Ninyi mmeshtuka juzi na kuanza mbio kiholela na ndio maana mnatajika kwa mafisadi, pembe za ndovu na madawa. Zamani za Nyerere Mtanzania alikua mtu wa kuheshimika lakini sasa nenda uwanja wowote wa ndege kimataifa, pindi utapobainika kuwa Mtanzania kwa paspoti yako jamaa wanakua makini hata hangover za jana zina waishia. Uchina sasa kuna foleni ya Wabongo wanaotazamiwa kunyongwa. Bado mnajidaganya na kuficha nyuso zenu kwenye mchanga na hadithi za ujamaa.

Sisi hapa Kenya tulishtuka zamani na ndio maana tupo mbele kiuchumi, maovu tushayazoea na hatujifichi wala kubisha.

haha, kweli mmeendelea mnanasambaza house girl na hause boy uarabuni. kama ndovu kenya na tz sioni tofauti wote kunamajangiri. kuendelea sioni tofauti kiuhalisia. kwa saa dunia nzima inajua Serengeti na Kilimanjaro ziko Tz na sekta nzima ya utalii in two years mtaisoma.
 
Kenya haikuwa na nia ya kumfukuza yeyote, ni hadi tuliposukumwa hadi ukutani kwa mabomu na hawa wageni. Tumewapa hifadhi wageni tokea nchi zote majirani zetu. Yupo hapa Mtanzania ninayemfahamu ana jengo kubwa sana na anazidi kufurahia ukarimu wetu. Hawa Wasomali wamekua na dharau kwa kutupiga mabomu, imebidi tuwapakie kwenye ndege na sio malori. Na tunafanya hivyo tu kwa wale kabisa wameshindwa kudhihirisha uraia wao, operation haifanywi kwa jazba kama mlivyofanya hadi ikasemekana mliwafukuza hadi Watanzania sahihi.
Kama kuna taifa limetoa hifadhi kwa wageni hasa katika vipindi vya matatizo katika mataifa yao ni Tanzania.Tangu enzi za kupigania uhuru hadi leo.Hii ilikuwa ni pamoja na kutoa rasilimali watu na fedha.Hilo nadhani walitambua.Tofauti ninayoiona hapa ni kwamba nyinyi mmekuwa reactive wakati Tanzania iliamua kuwa Pro-active katika kupambana na ugaidi na uhalifu mwingine wowote ule.Tuliliona hilo mapema na ndo maana tukaamua kuwaondoa mapema.Kama ni jaziba nadhani Tanzania haijatumia jazba hata kidogo.Mfano mwaka 2010 Wageni wote walipewa nafasi ya kuomba uraia kwa waliotaka. zaidi ya 100,000 waliomba wakapewa.aidha waliobaki waliambiwa wahalalishe ukaazi wao waliotaka wakafanya hivyo.La sivyo walishauriwa warudi makwao.....Mwaka 2013 wakakumbushwa kwa kupewa wiki mbili wafanye mojawapo ya yafuatayo:
1.Waombe uraia, au
2.Wahalalishe ukazi wao, au
3.Wahalalishe uwepo wa mifugo yao.
4.Warejee kwao wao na mifugo yao. Haya yafanyike kwa kufuata sheria na kwenye ofisi stahiki.

La sivyo wangerudishwa kwao kwa nguvu. Na hilo ndo lililotokea.
Kuhusu kuwarudisha watanzania sahihi...bahati mbaya umesema INASEMEKANA...samahani sitajibu hili kwani mambo ya kusadikika sadikika yana walakini.Ukiwa na uhakika sema tu nami ntakuja hapa tujuzane kwa nia njema tu.

Ahsante
 
Bado haupo sahihi kwa kusema mliwafukuza hao wahamiaji kama njia moja ya kuwa pro-active. Maana kwa mujibu wa taarifa za habari tokea kwenu
- Uamuzi huu mliufanya baada ya matukio ya uhalifu kuongezeka na kulaumiwa kwa hao wageni.
- Kuna Watanzania sahihi waliojikuta kukataliwa na Tanzania pamoja na Burundi, wakakwama mpakani. Iliwabidi wahongane ili warudi makwao.

Soma zaidi hapa allAfrica.com: Tanzania: Operation Kimbunga Challenged in Kigoma and Kagera, Despite Success (Page 1 of 2)
 
Hey, Hey, Hey! Stop talking bla bla. You guys you are all out of the thread ideas. I can see here problem is that Kenyans think that they have highly educated than Tanzania.
But logically is that most of them can talk good english........LOL
Our president KIKWETE is right. We are the great country with lots of resources.
 
Kenya haikuwa na nia ya kumfukuza yeyote, ni hadi tuliposukumwa hadi ukutani kwa mabomu na hawa wageni. Tumewapa hifadhi wageni tokea nchi zote majirani zetu. Yupo hapa Mtanzania ninayemfahamu ana jengo kubwa sana na anazidi kufurahia ukarimu wetu. Hawa Wasomali wamekua na dharau kwa kutupiga mabomu, imebidi tuwapakie kwenye ndege na sio malori. Na tunafanya hivyo tu kwa wale kabisa wameshindwa kudhihirisha uraia wao, operation haifanywi kwa jazba kama mlivyofanya hadi ikasemekana mliwafukuza hadi Watanzania sahihi.

Hey nauliza are u a guy or a lady?? Maana unapenda sana mashindano ya kike mno na Tanzania.

The king.
 
Hey, Hey, Hey! Stop talking bla bla. You guys you are all out of the thread ideas. I can see here problem is that Kenyans think that they have highly educated than Tanzania.
But logically is that most of them can talk good english........LOL
Our president KIKWETE is right. We are the great country with lots of resources.

Good, then use your resources wisely and stop circulating "Kibakuli". IMF is alarmed the way you're borrowing check here IMF warns Tanzania over borrowing spree - Business - www.theeastafrican.co.ke
 
Bado haupo sahihi kwa kusema mliwafukuza hao wahamiaji kama njia moja ya kuwa pro-active. Maana kwa mujibu wa taarifa za habari tokea kwenu
- Uamuzi huu mliufanya baada ya matukio ya uhalifu kuongezeka na kulaumiwa kwa hao wageni.
- Kuna Watanzania sahihi waliojikuta kukataliwa na Tanzania pamoja na Burundi, wakakwama mpakani. Iliwabidi wahongane ili warudi makwao.

Soma zaidi hapa allAfrica.com: Tanzania: Operation Kimbunga Challenged in Kigoma and Kagera, Despite Success (Page 1 of 2)
allAfrica.com...Vingekuwa vyanzo vingine sawa..lakini all Africa .com hapana....Baada ya kuona uhalifu unakuwa hivyo...tukaona tusisubiri makubwa zaidi..ndo ikawa ivyo...Hiyo ndo ilikuwa circumtancial basis ya mimi kutamka Pro active.......Lakini kwa vyovyote vile operation hiyo ilikuwa sahihi..by the way hata burundi wamefanya operation kama hiyo..lakini sikuona watu wakiifuatilia sana...ni operation za kawaida..ukienda ugenini fuata taratibu za mahali husika...utakuwa salama...kwa hiyo binafsi naunga mkono operation zote zinazolenga kuleta usalama na "order " katika mataifa au hata vitongoji ndani ya nchi...zikiwemo zile za Kenya,Burundi na hata ya Tanzania...ilimradi ifuate sheria
 
Kenya wanahangaika na Tanzania wakati wana marafiki zao Uganda, Rwanda na Burundi. Hatutaki urafiki na nyie, tumeshajua nyie ni matapeli.
 
Sidhani uko sahihi maana tumefungua milango na giant Ethiopia na Uhuru yuko anaanda ziara kubwa kuenda Nigeria kucheza biashara. Kuna mikataba tunataka ku-sign na Congo pamoja na Burundi. Waziri mkuu wa China anakuja ku-sign mikataba hamsini Afrika na Kenya ni mojawapo. Qatar wapo njiani kutengeneza viwanda pwani yetu. Makampuni ya Marekani wanakanyagana wakija kufungua viwanda. Hao ni baadhi tu.

Jameni biashara haina urafiki ama uadui wa kudumu bali maslahi, nyie mtoke kwa mambo hayo ya ujamaa na mkumbatie dunia ya sasa. Mkiendelea na kutegemea urafiki jamaa watazidi kuifanya nchi yenu shamba la bibi. Wachina na Afrika Kusini wakija kwetu huwa tunabanana nao na mikataba inaangaliwa kwa makini. Ujenzi wa reli mpya umezua mgogoro hadi kikaeleweka, makaratasi yalisomwa bungeni na makamati yakabuniwa kuhakikisha kila neno linasomwa tusije tukauza nchi.
 
Kenya wanahangaika na Tanzania wakati wana marafiki zao Uganda, Rwanda na Burundi. Hatutaki urafiki na nyie, tumeshajua nyie ni matapeli.

Tena wana njaa na ardhi kishenzi. Wanataka kuchukua maeneo yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom