Kikwete sio dhaifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete sio dhaifu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nteko Vano, Jun 19, 2012.

 1. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namuona JK kuwa sio dhaifu kutokana na usimamizi wake madhubuti katika mambo yafuatayo:Wizi wa EPA, Suala la richmond, Kuzuia tozo za kodi kwa makampuni ya madini, Kuchakachua kura 2010, Kukua kwa umaskini wa watanznia kwa kasi n.k.

  Sasa mtu kama alisimamia mambo hayo kwa juhudi zake zote utamuita dhaifu? Mtu dhaifu anaweza kufanya hivyo?Labda hayo ndio yalikuwa malengo yake ya moyoni. Kwahiyo JK sio dhaifu.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,457
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  N afya yakhe bukheri kabisa.........wala haanguki hovyo
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Udhaifu ni weakness kwa kiingereza. Nakinyume cha weakness ni strength. Kila mtu ana weakness na thrength zake........ na laziba zibalance40/60, 50/50 or even 70/30. Sasa inategemea unapima katika jambo jipi. Sasa ngojeni Mnyika aje na kipimo chake then ttuone kama keli Rais na serikali yake wana weakness kwenye area flani flani.
   
 4. B

  Bidders Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikwete ni dhaifu mzembe na goigoi na anaongoza serikali ya ccm legelege
   
 5. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaaah This presendent is weak, poco convincente,d├ębil, flojo, ضعيف غير حكيم

  Neno dhaifu alitoshi kwa huyu bwana kumuelezea inabidi tutumie na lugha za wenzetu
   
 6. M

  Mwanandani Senior Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kakojoe ulale.
   
 7. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naendelea kusema kuwa JK siyo dhaifu tu bali ni janga kwa Tanzania. Anti-development president. Kwa lugha rahisi ni kuwa ikulu imekaa na mtu goigoi kwa miaka nane sasa.
   
 8. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  aaah!! kumbe! basi kweli si dhaifu bali JIZI KUU!
   
 9. R

  RUKAKA Senior Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wandugu tukubali tusikubali Kikwete si Dhaifu yeye mjanja sana na anacheza na gape, Katuona sisi ndo dhaifu na hivo anatumia udhaifu wetu kujinufaisha na wajanja wenzake. Ebu tutafakari kisha tuchukue hatua kuzidi kumwita dhaifu wakati ananeemeka na waliokaribu yake na mimi na wewe tunazidi kuionja joto ya jiwe huo ni udhaifu wa WaTZ kwa kushindwa kuwa na maono ya Kujikomboa. Unafikiri kama si kelele za chura kumwita dhaifu anapungukiwa nini? Wewe unakonda yeye anenepa! Tutajiju!
   
 10. B

  Blessing JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  money cannot burry a person --- kikwete and his gangs are not wise enough because they are buried in their own little stinking smelling world. Had they know and have the knowledge of death, they would rather invest the country and its people's stollen money in their people to leave a memory and legacy. Stupid they are african leaders ---- blinded. Tunataka jukumu lote ifanyike ili pesa yetu wanaoweka nchi za nje kwenye maswiss banks, london bank irudi nchini kwetu.

  I feel pity for them much as they have money but they are not happy. Masikini weeeee jamani.
   
 11. B

  Blessing JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikwetu ni 100% dhaifu ---- this is the fact which cannot be avoided. Ccm pia ni dhaifu alafu tunaona jinsi ccm walivyo hovyo bungeni----- no sense of humour ya wabunge wa ccm
   
 12. B

  Blessing JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :embarrassed: EMBARRASSMENT KWA BUDGET YA CCM --- KWANZA HIYO BUDGET INA MATATIZO KIBAO. PHILIP MPANGO AS AN ECONOMIST SHOULD KNOW BETTER. ANAPELEKWA NA CCM OTHERWISE MPANGO NI ECONOMIST MZURI YAKUSIFIWA KABISA. HAWA WAKUBWA NA KIKWETE NDIO WANA HARIBU NCHI NA BUDGET HII. KIKWETE AJALI WANANCHI KABISA WALA NCHI HII KABISA KWA SABABU ANAJUA UKO KUZOA PESA ZETU KABISA.
   
Loading...