king mandela
Member
- Mar 30, 2014
- 21
- 3
Mm simo
Mkuu, ulimsikiliza kwenye hiyo hotuba yake bungeni wakati analifungua bunge la katiba?Uzuri wa jk ni mtu wa kuonesha njia halafu watu wachague baada ya yeye kuonesha njia.
Kwahiyo ameamua aanze kujirudishia matusi aliyomtukana Jaji Warioba, sasa kwanini akasemee mbali huko?
amedai tatizo wananch hawajui athari ya serikali3.moja inawez ikakwam hapo ndpo tatzo.narasimu imeonyesh athar y serikl3
...mm napendekeza serikali 4....ya Tanganyika...Unguja...Pemba...na Muungano....
Kama ni siasa tu, JK ni mwanasiasa asilia na siasa anaijulia !
Unajua, ukifika ulaya hata akili hubadilisha mbinu za kutambua mambo. Alipoingia tu pale London Heathrow Airport akajikuta anaanza kukomaa akili. Akirudi JKN Airpot tayari nazi zitaanza kuchukuwa nafasi. Wazungu wametunza mazingira yanaleta afya mpaka kwenye akili.JK yuko ugenini, wanawaeza kumrudisha haraka akienda tofauti na mapendekezo ya wananchi. Anaweza kunyimwa baadhi ya haki kama rais huko ugenini. Subiri akirudi, atakanusha kila kitu.
Inavyoonekana watu ama kwa kupotosha au kutojua wanachanganya issues.
Wakati anahutubia bunge la katiba aliweka bayana kwamba wenye wajibu juu ya muundo wa serikali upo kwa wabunge,alichofanya Kikwete ni kutaadharisha juu ya uwezo wa serikali ya tatu bila kuwa na vyanzo vya kuaminika vya mapato yake.
Pale BBC alikuwa anajibu maswali ya waandishi wa habari, hivyo alichosema pale ni kuwa IKIWA wananchi wataamua serikali tatu ,yeye atakuwa hana njia ye yote ya kuzuia, bali kutekeleza maamuzi ya wanachi. Sasa hapo undulumila kuwili wa Kikwete uko wapi.
Nazi mpaka ibanjuliwe ndo inaelewa kuna maji na nyamanyama nyeupe tu. Watu wa Mbeya unajua kwamba hawajui majina tofauti ya zao la mpunga? Mmea ukiwa shambani ni MPUNGA, wakivuna ni MPUNGA, wakikoboa ni MUNGA, wakiupika ni MPUNGA. Wewe ndiye ujuaye kuna mmea, tunda lake, mchele na ubwabwa, labda akelu kungisi.Na majaji wa tume zote tatu zilizopendekeza serikali tatu nao hawaelewi?
Kama yeye anaelewa mfumo unaotakiwa aliunda tume ya nini?!