Je huyu mbunge wako utamnyonga?RAIS Jakaya Kikwete amesema, tangu aingie madarakani Desemba 2005, hajawahi kuidhinisha kunyongwa kwa mtu yeyote.
Kikwete amesema, atatoa uamuzi wa kunyongwa au la kwa watu waliotiwa hatiani kwa kuua albino, suala hilo likifika mezani kwake.
ameshanyonga,kuua mara nyingi na tena anaendelea kufanya hivyo kila siku,kitendo cha kila baada ya dakika 5 mtoto 1 anakufa kwa malaria si kunynga huko?kila wakina mama laki moja wanaojifungua 520 wanakufa sio aina nyingine ya unyongaji ya kikwete?kima cha chini dhaifu cha mishahara kwa wafanyakazi kinachowapelekea kuwa na maisha kama ya popo si kuwanyonga wafanyakazi na familia zao?
Babu Seya na Mseminari Liyumba ni kama umewanyonga tu!
Suala ili linaonyesha wazi kuwa nchi hii ipo chini ya utawala bora na utawala wa sheria..,kudhaniwa au kushukiwa kwamba umetenda kosa haina maana kwamba unastahiki kuukumiwa kwa kufanya kosa.,kuna tofauti kubwa kati ya kushukiwa na kutenda kosa..,haiwezekani mtu akanyimwa haki zake za kikatiba eti kwa kuwa anadhaniwa kutenda kosa fulani. Suala la kunyonga ni hukumu ya mwisho baada ya hukumu zote kuonekana hazikidhi kulingana na ukubwa wa kosa.,wapo wanaoona kuwa hukumu hiyo haina tija kwa jamii hasa ukizingatia mtu hapatiwi muda wa kutubia na kutumika kiuzalishaji,ingawa siungani nao sana katika hilo. kikwete anamamlaka ya mwisho kisheria kuidhinisha ikiwa mtu ameshahukumiwa kunywongwa mahakamani.,tujaribu kuwa waelevu wa mambo jaman....!
fafanua kuhusu hili mkubwa Kamuulize Mange Kimambi kilichompata baba yake. Hata Erick Shingongo alitaka kuandika lakini AKADUMA (akala kona).Nafikiri wengi wamekufa INDIRECT.
Kuku wa siku hizi bana, pamoja na ugeni, hawataki kabisa kamba mguuni.
Kuna wengine utajua tu ni viji-babu vya JF.
Umepiga hodi kwanza kwenye jukwaa la utambulisho au wewe ni mzoefu hapa?Suala ili linaonyesha wazi kuwa nchi hii ipo chini ya utawala bora na utawala wa sheria..,kudhaniwa au kushukiwa kwamba umetenda kosa haina maana kwamba unastahiki kuukumiwa kwa kufanya kosa.,kuna tofauti kubwa kati ya kushukiwa na kutenda kosa..,haiwezekani mtu akanyimwa haki zake za kikatiba eti kwa kuwa anadhaniwa kutenda kosa fulani. Suala la kunyonga ni hukumu ya mwisho baada ya hukumu zote kuonekana hazikidhi kulingana na ukubwa wa kosa.,wapo wanaoona kuwa hukumu hiyo haina tija kwa jamii hasa ukizingatia mtu hapatiwi muda wa kutubia na kutumika kiuzalishaji,ingawa siungani nao sana katika hilo. kikwete anamamlaka ya mwisho kisheria kuidhinisha ikiwa mtu ameshahukumiwa kunywongwa mahakamani.,tujaribu kuwa waelevu wa mambo jaman....!
:becky::becky::becky::welcome: !1Kuku wa siku hizi bana, pamoja na ugeni, hawataki kabisa kamba mguuni.
Kuna wengine utajua tu ni viji-babu vya JF.