Kikwete on WEF Panel (Video)

Last time I revisited my archives about JK i had this

JK ni chaguo la Mungu- Askofu Kilaini RC

So wale ambao mnaopinga pinga mjue mnapinga askofu wenu hasa nyie wana kondoo

JK anachofanya sasa ni kujipendekeza hasa huko kanisani..poleni, atafanya uteuzi wa wajinga wenzake kutoka huko huko
 


Watu hatuamini mungu, let alone askofu.
 
Prez. Mkapa kanifurahisha saaana!, very articulate and with no notes on his hands.

(Mh!, hebu nikazane kusoma mieee!, seeing this, make me want to finish my current read this weekend and start another one by monday)
 


Mazee mbona unachangia tofauti vipi?Kujipendekeza kanisani na kuchemsha kwenye mijadala ya kimataifa wapi na wapi?
 
Mazee mbona unachangia tofauti vipi?Kujipendekeza kanisani na kuchemsha kwenye mijadala ya kimataifa wapi na wapi?

Mkuu kwani wewe mgeni hapa JF! Huyo jamaa ndiyo zake hizo mvumilie tu....!
 
Mazee mbona unachangia tofauti vipi?Kujipendekeza kanisani na kuchemsha kwenye mijadala ya kimataifa wapi na wapi?

Chaguo la Mungu huyo mvumilie hivyo hivyo askofu wenu kashasema sasa mnalalamika nini?
 
People are funny in here. I doubt very much that if a handful of you can even spit in English proficiently. But when it comes to Monday morning quarterbacking (about someone's language skills) you are always there on the frontline.

u dont have to be fluent to answer the questions, I have seen a lot of arabs, chinese and other nationals who answer the questions with confidence than mkwere.
Mkwere cant answer questions in swahili let alone english. He needs to come out of the cave and allow local journalist to ask him all sorts of questions, this will equip him with the skills necessary to answer the questions quickly and effectively.
 
Nashangaa alikuwa rais peke yake.
 
Jamani kweli JK anamatatizo, embu ona kitu alichosema mwanzo "I am not sure if am the best person to start".
If you are not sure, then why are you there??, sends somebody else
 
Jamani kweli JK anamatatizo, embu ona kitu alichosema mwanzo "I am not sure if am the best person to start".
If you are not sure, then why are you there??, sends somebody else

Anatutia aibu tu, baada ya kongamano kama hizi watu hukaa na kuulizana hivi Tanzania ndio waliona huyu ni best kuja kutueleza huu utumbo?
 
Mkuu 2main nitakusomea "albadil" unaharibu jukwaa, jadili kilichopo

Askofu kilaini ataacha kuwafuta zambi zenu kabisa mkianza kuleta maasi yenu...JK chaguo la Mungu Bana!
 
 
 

Ben, very true. Wewe umesema.
 
2010!

Dakota Native American tribal wisdom, passed on from generation togeneration, says: "When you discover that you are riding a dead horse, the best strategy is to dismount and get a different horse."

However, in educative, corporate and governmental Tanzania , more
advanced strategies are often employed, such as:

1. Buying a stronger whip.
2. Changing riders.
3. Appointing a committee to study the horse.
4. Arranging to visit other countries to see how other cultures ride dead
horses.
5. Lowering the standards so that the dead horse can be included.
6. Reclassifying the dead horse as 'living impaired'.
7. Hiring outside contractors to ride the dead horse.
8. Harnessing several dead horses together to increase speed.
9. Providing additional funding and / or training to increase dead horse's
performance.
10. Doing a productivity study to see if lighter riders would improve the
dead horse's performance.
11. Declaring that as the dead horse does not have to be fed, it is less
costly, carries lower overheads and therefore contributes substantially moreto the bottom line of the economy than do some other horses.
12. Rewriting the expected performance requirements for all horses.

And of course ...

13. Promoting the dead horse to a supervisory position!

If you understand the above, then you are obviously a Tanzanian.
 
Jamani kweli JK anamatatizo, embu ona kitu alichosema mwanzo "I am not sure if am the best person to start".
If you are not sure, then why are you there??, sends somebody else

Yea?!, what was up with that??!!!, kwanini alisema hivo yeye as a President??!!!, na wengine waseme nini?
 
Well done Mr President, people take issues lightly in this forum but they forget there is no a master of foreign languages, you represented yourself absolutely right on this panel. Keep it up

Nishasema language kila mtu ambaye si yake anapata pass, mbona Kikwete kaongea kiingereza relatively better than huyo mchina? Language si issue kihivyo, issue mchango.

Nimeainisha vitu lukuki kuhusu udhaifu wa Kikwete contextually hapo juu, una kitu cha kumtetea?

Hiivi unaweza kutetea hata upuuzi wa Kikwete kuwa anachat na moderator wakati msemaji mwingine anaongea na podium rasmi? Kikwete si tu hana akili ya kujua nini cha kuongea, hana staha na adabu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…