Kikwete ni muongo nilikuwa sijui

Kikwete ni muongo nilikuwa sijui

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
646
Reaction score
1,225
Katika nchi yoyote ile Rais wa nchi lazima awe mkweli kwa kila anachokisema, hapa TZ imekuwa tofauti kabisa baada ya Rais Kikwete kuwadanganya Watanzania ndani ya chama chake tawala cha CCM na wakati akiwa ndiye mwenyekiti wa chama ambapo aliwaahidi watanzania na wanaCCM kuwa baada ya siku 90 mafisadi (magamba) yatakuwa yamevuliwa ndani ya CCM ili chama kiwe kisafi kama alivyodai.

Leo ni siku ya 89 na kesho ndiyo hitimisho la siku 90 na hakuna hata gamba lililong'oka<<<
Hiii ni aibu ya nani?

Ya wananchi?
Ya NNAPE?
Ya MKAMA?
Ya KIKWETE? au
Ya CCM kwa ujumla?

BC.JPG

Ama kweli usimumthaminishe mtu kwa kumuangalia machoni!!!
 
Ccm ni kusanyiko la wanafiki, wazandiki na waongo
 
Umesahau alivyosea wakati ule ili Mtera ijae zinahitajika vua za elnino majira tatu!!!!
 
Katika nchi yoyote ile Rais wa nchi lazima awe mkweli kwa kila anachokisema, hapa TZ imekuwa tofauti kabisa baada ya Rais Kikwete kuwadanganya Watanzania ndani ya chama chake tawala cha CCM na wakati akiwa ndiye mwenyekiti wa chama ambapo aliwaahidi watanzania na wanaCCM kuwa baada ya siku 90 mafisadi (magamba) yatakuwa yamevuliwa ndani ya CCM ili chama kiwe kisafi kama alivyodai.

Leo ni siku ya 89 na kesho ndiyo hitimisho la siku 90 na hakuna hata gamba lililong'oka<<<
Hiii ni aibu ya nani?

Ya wananchi?
Ya NNAPE?
Ya MKAMA?
Ya KIKWETE? au
Ya CCM kwa ujumla?

BC.JPG

Hapo Kwenye RED sisi wananchi hatuwezi kuipata hiyo aibu, sisi sio wanachama wa magamba. Tena omba msamaha kwa watanzania
 
Leo ni siku ya 89 na kesho ndiyo hitimisho la siku 90 na hakuna hata gamba lililong'oka<<<
Hiii ni aibu ya nani?

Ya wananchi?
Ya NNAPE?
Ya MKAMA?
Ya KIKWETE? au
Ya CCM kwa ujumla?
Ni aibu yao kwa wananchi hatutawaamini tena

Gamba limegoma Nape's Workdone=Zero
 
Hakika hatuna viongozi hapa tz,wote ni wasanii,waongo,wanafiki nawenye kujinufaisha na kujifaidisha wenyew,tuna mifano ya viongozi,wasiojua matatizo ya watz wala kuyajali kwa kuyatatua,wamewaongopea wananchi na wanamagamba,hayawezi vulika yale hata kwa maji ya moto!Aibu kwa wana ccm!
 
huyu jamaa ansubiri tu kodi iishe pale magogoni asepe hana jipya..
 
Hakika hatuna viongozi hapa tz,wote ni wasanii,waongo,wanafiki nawenye kujinufaisha na kujifaidisha wenyew,tuna mifano ya viongozi,wasiojua matatizo ya watz wala kuyajali kwa kuyatatua,wamewaongopea wananchi na wanamagamba,hayawezi vulika yale hata kwa maji ya moto!Aibu kwa wana ccm!
Nitashangaa kama kuna watu bado wanamuamini huyo kubwa J.I.N.G.A (kikwete). Huyo jamaa ni muongo tangu utoto wake na hata hacha uongo mpaka mwisho wa maisha yake.
 
Tuachane na magamba. Mimi binafsi nimeshuhudia mara kadhaa Kikwete akiongopa live. Ntasema moja. Ninakumbuka wakati wa kampeni za urais 2010 Kikwete akiwa ULYANKULU Tabora, ktk wilaya ya Urambo, aliwadanganya wananchi kuwa kabla Julai 1, 2011 ataanzisha jimbo la uchaguzi la ULYANKULU na kutakuwa na uchaguzi kwa ajili ya jimbo hilo kabla Julai 2011. UONGO MTUPU. Wananchi walipigia makofi UONGO HUO, naamini kwa kutokujua Katiba ya 1977. Kwa mujibu wa Katiba Ibara 74 na 75 kuna aina mbili tu za uchaguzi wa wabunge: (1) wakati wa uchaguzi MKUU na (2) uchaguzi mdogo kwa ajili ya kuzimba nafasi iliyoachwa wazi baada ya Mbunge [a] kufariki au kujiuzulu au [c] kwa sababu nyingine yoyote (tazama Ibara 71 ya Katiba).

Kwa mujibu wa Katiba hakuna mtu yeyote au taasisi yoyote yenye mamlaka ya kuanzisha jimbo la uchaguzi kwa Mbunge na kisha kuitisha uchaguzi kwa ajili yake. HAKUNA KITU HICHO.
 
Aibu haiwezi kuwa ya wananchi hiyo ni ya aibu ya gamba kuu jk,ni mwongo na mchonganishi kwenye chama chake akimwambia nape sema hivi na lowasa waambie hivi hafai tena huyo.
 
Hakika hatuna viongozi hapa tz,wote ni wasanii,waongo,wanafiki nawenye kujinufaisha na kujifaidisha wenyew,tuna mifano ya viongozi,wasiojua matatizo ya watz wala kuyajali kwa kuyatatua,wamewaongopea wananchi na wanamagamba,hayawezi vulika yale hata kwa maji ya moto!Aibu kwa wana ccm!

kinachonishangaza wengi wao ni wasomi wazuri wenye degree na masters akiwemo huyo brazamen wa bagamoyo
 
Hapo hata sie wanachama hatuna cha kujibu,
mna haki ya kutunyanyasa na kutuzodoa kwa hili la kujivua gamba ktk siku 90,
atakae wabishia huyo kazidi UNAFKI
Jamaa zetu waongo
 
ASANTE MUNGU KWA KIFO CHA SISIEMU HAKIKA UMESIKIA KILIO CHANGU. Amen
 
si kweli banaah!kuna watu safi ndani ya ccm...mbona cdm ni ukabila kwenda mbele lakini kimya?
Bora nife maskini, bora nikafanye harakat na chausta, kulko kuwa mwanachama/mfuasi na fikra za sisiemu.
 
Kwanini hisiwe aibu kwetu sisi tunadanganywa kila siku na hatukomi kudanganywa? au mnataka kuniambia kuwa sasa tumekoma kudanganywa na CCM wajue hilo!
 
Tuachane na magamba. Mimi binafsi nimeshuhudia mara kadhaa Kikwete akiongopa live. Ntasema moja. Ninakumbuka wakati wa kampeni za urais 2010 Kikwete akiwa ULYANKULU Tabora, ktk wilaya ya Urambo, aliwadanganya wananchi kuwa kabla Julai 1, 2011 ataanzisha jimbo la uchaguzi la ULYANKULU na kutakuwa na uchaguzi kwa ajili ya jimbo hilo kabla Julai 2011. UONGO MTUPU. Wananchi walipigia makofi UONGO HUO, naamini kwa kutokujua Katiba ya 1977. Kwa mujibu wa Katiba Ibara 74 na 75 kuna aina mbili tu za uchaguzi wa wabunge: (1) wakati wa uchaguzi MKUU na (2) uchaguzi mdogo kwa ajili ya kuzimba nafasi iliyoachwa wazi baada ya Mbunge [a] kufariki au kujiuzulu au [c] kwa sababu nyingine yoyote (tazama Ibara 71 ya Katiba).

Kwa mujibu wa Katiba hakuna mtu yeyote au taasisi yoyote yenye mamlaka ya kuanzisha jimbo la uchaguzi kwa Mbunge na kisha kuitisha uchaguzi kwa ajili yake. HAKUNA KITU HICHO.

Watanzania kwanini tunapenda porojo sana, tangu watu waeanza kusema ktk jamvi hili je nini kilicho badilika. Kwa vile watuhumiwa wamezoea maneneo yasiyovunja mifupa sasa imekuwa ni msemoo wa "wache waseme usiku watalala".
 
Back
Top Bottom