chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Rais wa awamu ya nne Jakaya kikwete amesema nchi zilizoendelea ni lazima zisisaidie nchi masikini kutokana na uchumi wa nchi masikini kukabiliwa na changamoto nyingi za kimaendeleo, ameyasema hayo alipokuwa anajibu maswali mbalimbali kutoka kwa wawakilishi kutoka nchi mbalimbali za Afrika zinazojadili umuhimu wa utawala bora na wa sheria katika kufikia malengo mapya ya milenia