Rais jakaya mrisho kikwete ndie Rais pekee anayeleta maendeleo yanayoonekana kwa macho katika zote za maendeleo 1. Elimu. ameasisi amejenga kila kata secondari na ameboresha kwa kiasi kikubwa majengo ya shule, leo tunapoöngea watoto wanaoingia secondari leo imeongezeka ukitofautisha na huko nyuma leo watoto wa masikini wanapata fursa yakuendelea mbele. Leo amejenga chuo kikubwa kuliko vyote Afrika mashariki kilicho na uwezo wa kuchukua wanafunzi 40000, leo kuna vyuo vyuo vikuu zaidi ya 40. 2.Afya. amejenga vituo vya afya vingi tembea uone, leo hospitali ya afya muhimbili vitengo vingi mf. kitengo cha upasuaji wa moyo, ameziboresha hospitali za zamani na kuonekana ni za kisasa, mf. maweni kigoma. 3. Barabara. amejenga ba rabara nyingi nyingi mf. mmtwara-Lindi, na leo anaiunganisha kigoma kupitia mmto malagarasi ambapo kutajengwa daraja kubwa na barabara kwa kila upande kilometa 60 Leo yupo anahangaika huku na huku na kule kuhakikisha analimaliza tatizo la umeme ambapo si muda mrefu litakuwa historia, jamani mbona mnajifanya mmetia pamba masikioni na kuvaa miwani ya mbao? mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!!!
I am sorry to call you crazy,lakini wewe ndiye uliye nifikisha hapo.Kama uko JF kutetea uovu umegonga mwamba. Uovu wenu uko dhahiri kwa kila Mtanzania.