demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
Anasoma kwenye vifaa vinaitwa 'teleprompter'
Duh! sasa Mkuu na ukubwa wa hiko kifaa kitakaa wapi hapo Bungeni...?
Anasoma kwenye vifaa vinaitwa 'teleprompter'
Wadau naomba kufahamu Mkulu wa Nchi anatumia kifaa gani kusoma hotuba yake hapa Bungeni, au ndio kameza maana naona kama hasomi popote pale....
Naombaa kujuzwa wanaTeknolojia.
Duh! sasa Mkuu na ukubwa wa hiko kifaa kitakaa wapi hapo Bungeni...?
Duh! sasa Mkuu na ukubwa wa hiko kifaa kitakaa wapi hapo Bungeni...?
Kama unaangalia hotuba ya sasa angalia kuna kifaa kama kioo mbele kidogo kushoto kwa raisi kinaonekana
Ahsante Mkuu nimekiona
Shida ni pale teleprompter ikikorofisha , kama ilivyomtokeaga raisi Obama !!!
Hiyo tisa kumi zaidi ya masaa 2 upowima hata maji! hatakama anasoma jamaa sikama kina MUNGUMTU DJ
Anasoma kwenye vifaa vinaitwa 'teleprompter'
A teleprompter is a display device that prompts the person speaking with an electronic visual text of a speech or script.
Da nilikiona hcho kidude jana ila ckuelewa...du thnxx sana mkuu kunifungua majicho
Usijali mkuu unaweza google pia kupata maelezo kiundani zaidi na kujielimisha
acha uongo wewe