Kikwete na mipicha kibao facebook

Hata mimi huwa nashangaa mpk zingine za dhuhaka.wnatoa kichwa cha mwanamke mrembo na kupachika kichwa chake kwa huyo demu.nadhani watu wameiona na hiyo pia....
 
Ingependeza zaidi kama maoni hayo ungeyaelekeza kwake moja kwa moja, mtumie message kwe FB yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…