tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,532
- 1,484
Influence gani ? mbona lowassa alikuwa na influence kubwa kuliko magu lakini aliondolewa uwaziri mkuu, watu(system) wakitaka kukupoteza wanakupoteza tuAngemtema angeanguka mapema, hakuwa na influence km aliyonayo Magu
Angeangukaje mapema wakati uchaguzi mkuu ulishafanyika, mbona hakuna logic hapo ?Angemtema angeanguka mapema, hakuwa na influence km aliyonayo Magu
Sema hapo magu amekuwa mkweli hakutaka kupepesa macho, wasaliti wanaosemwa ndani ya chama ni huyo madabida , Sophia simba etc, na alichosema magu ni cha maana na muhimu haiwezikani wasaliti waachiwe halafu wale wanaofuata sharia walaumiweAngemtema angeanguka mapema, hakuwa na influence km aliyonayo Magu
Kabisa kabisa.kutofautiana ni kawaida, na hiyo ndo siasa..mmoja ni mwanadiplomasia na mwingine ni mtendaji.
wote ni CCM...hapa kazi tu
Kulikuwa na mawaziri wachapakazi wazuri tu huko nyuma lakini baada ya kuachwa kwenye mabaraza ya mawaziri wamepotea kabisa,naamini kwa magufuli ingekuwa hivyohivyo
Influence gani ? mbona lowassa alikuwa na influence kubwa kuliko magu lakini aliondolewa uwaziri mkuu, watu(system) wakitaka kukupoteza wanakupoteza tu
Hivi ukiambiwa utoe ushahidi wa hizi porojo zako utaweza? kahawa bwanaHawa watu hawajawahi kuwa pamoja siku zote za umaarufu wao. Kumbuka wakati JK alipoingia madarakani alimfanya nini Magufuli. Pamoja na malalamiko kama si maombi anuai ya watu kwamba apewe wizara ya ujenzi ama uwaziri mkuu, ndivyo kasi,ari na nguvu zaidi ya kumdidimiza kwa lengo la kumpotezea kabisa ilivyoshika kasi ingawa jamaa alikomaa kila alikosukumiwa.
Kumrudisha wizara ya miundombinu ilikuwa ni aibu tu kutokana na fedheha zilizokuwa zikifanywa na wateule wa jk.
Kwenye uchaguzi wa mgombea wa ccm kila mtu anajua hata hawa wawili wanajua kwamba JPM hakuwahi kuwa chaguo la Jk hata katika tatu bora hakuwemo. Upepo wa anguko la kishindo la ccm ndio uliomsukumia embe JPM lakini hakuna asiyefahamu kwamba hakuwa mlengwa.
Tofauti zilionekana wazi hata wakati wa kampeni. Morogoro wakati JK akijisifia kwamba amelitoa taifa mbali na hadi kulifikisha hapa kafany akazi kubwa, mgombea uraisi alisimama na Ku crush kwa nguvu kwamba tumefika hapa sababu ya ufisadi tu!.
Anachokifanya JK kwa sasa ni unafiki kama asili ilivyo ili kujaribu kujivalisha kinga ya kutumbuliwa kwake, familia yake na watu wake wa karibu kitu ambacho naona kama kinatoa harufu ya kufanikiwa. Lakini leo ikitokea Mkwere au mmoja wa watu wake akawa raisi, mtaona JPM atakavyofanywa!. Msisahau jamaa anaendeshwa na utashi wa visasi na vinyongo, vikipaliliwa na ubaguzi na upendeleo. Kama Saddam vile!.
Kusema wameanza leo kutofautiana ni kujaribu kufupisha historia kwa kuondoa mizizi.
Filamu ndiyo inaanza. Hapa niutangulizi. Kwa undani zaidi, stay connected!
Ciao!.
=atafukuzaSofia Simba si mmoja ya wasaliti mbona bado yupo tu. JK alisema HATAFUKUZA wasaliti mbona ameshindwa kuwafukuza. Sasa naamini kazi ya kutumbua majibu inawatu wake si kila mtu anaweza kwani jibu alitumbui jipu.
Sjakupata mkuukingenuka angelaumiwa JPM na serikali yake na siyo KIKWETE. Maelezo yake yako sahihi 100%.
Ninamaanisha lile zengwe la uchaguzi wa meya dar ungefanyika kama vile Tanga na kuhatarisha amani magufuri ndiye angelaumiwa na si Kikwete pamoja ya kuwa Kikwete kama mwenyekiti wa CCM kwa maneno haya ndiye alikuwa anainjinia ubakaji ule wa demokrasia.Sjakupata mkuu
Zile nanii fekiHivi huyu mbana kacheleweshwa sana.....Katika ile kashfa mzito ya MSD?
Naaaum sheheee....Haswa....Cha ajabu kila ntu kajikausha.......Zile nanii feki