Kikwete na madudu ya tanroads | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na madudu ya tanroads

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by king11, Apr 20, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Kwanini uteuzi wa chief tanroads umechelewa?
   
 2. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Bado anafikiria amweke nani, unaweza kuteuliwa hata wewe usiogope.
   
 3. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wacha majungu!! aplicants ndio kwanza wametangaziwa kuitwa kwenye usaili, na tume mpya ya ajira soma magazeti ya wiki hiii
   
 4. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Short list ya ma engineer 5 imetoka kwenye daily news and Daily news wiki hii
   
 5. k

  king11 JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sio majungu tumechoka na misongamano ya sasa nadhani watendaji wa sasa wameshindwa kazi watolewe waje wapya nao wajivue gamba
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa suala la kujivua gamba ambalo nape ametangaza kuwa sasa litaingia serikalini.....huyu bwana aliyekuwa tanroads,mrema angekuwa mmoja wa watu ambao angetoka kipindi hicho kweli ingemaanisha sasa kujivua gamba maana yake ni nini....! Ila kwa kuwa alishatoka kimya kimya glory be to god of tanzania
   
 7. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Daily news ya tarehe ngapi, be specific please
   
Loading...