Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Raisi mstaafu Kikwete na Waziri Mkuu wake wa kwanza Lowasa aliyoendolewa kwa kashfa ya wizi wa mali zetu wanafanana sana, labda kuna sababu kwa nini walikuwa marafiki wakubwa!
Ninaposema wanafanana namaanisha kitabia, ukiangalia mambo ya Kikwete na Lowasa yanashabiana sana, wote ni wapenda sifa, wote wanapenda sana kuwa juu wakati wote yaani ni narzissts, wote wanapenda kuonekana kwamba wao ndiyo watu muhimu TZ na kwamba TZ haiwezi kuishi bila ya wao utafikiri Historia ya TZ imeanzia na wao!
Angalia kwa mfano Raisi mstaafu Kikwete haijawahi kutokea ukiondoa labda Nyerere sina uhakika hapa Raisi mstaafu akawa yuko kila mahali kama Raisi mstaafu Kikwete, haupiti mwezi unamsikia mahali, mara kajibu hili, mara kasema lile, utasikia katetea kile nakumbuka wakati Raisi Mwinyi anamkabdhi Raisi Mkapa basi mzee Mwinyi sikumsika tena na ilikuwa ni nadra sana kumsikia vivyo Mkapa alivyomkabidhi Kikwete alitoweka!
Ukija upande wa Lowasa ni vivyo hivyo ingawaje hana cheo chochote kile Upinzani au chadema lkn yeye ndiyo muhimu klk wote na kila afanyalo anataka Dunia nzima ijue, Bunge likianza anaenda Dodoma ni lazima itangazwe hata kama hana cha kufanya huko basi tu ili mradi aonekane yeye ndiye Boss wa chadema, akiwa njiani akasimama kujisaidia lazima apigwe picha tuonyeshwe, haya hivi majuzi kamuibua Balozi wa Ujapani akapigwa picha tukaonyeshwa, rejea alivyotuambia kwamba amepewa tuzo zaidi ya 1000 kwa kazi yake lkn mpaka leo hii sijawahi kumuona akipokea hata tuzo moja, anakwenda mbali zaidi na kutangaza kwamba Amani yetu TanZania yeye ndiye ameishika yaani tafsiri yake ni kwamba nchi yetu yenye miaka zaidi ya 50 tunaishi kwa Amani kwa sababu ya Lowasa na akiamua kesho basi tutaanza kuchinjana kama kuku ni mtu mwenye matatizo tu ya akili ndiyo anaweza kuwa na fikra kama hizi Wazungu wanawaita ,,psychopath"!
Na mambo mengine mengi ambayo yananifanya niulize hawa watu waliachania wapi? Mbona wanafanana sana? Na chini ya hawa watu nchi yetu ilikuwa ,,on Highway to Hell" kama wimbo mmoja usemavyo!