mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
hilo Wandugu hayo ni kawaida si Rais anashajiisha viwanda vya nchini Tanzania ni jambo la kujivunia kwa wote!! Maendeleo na uchumi bora..... Tujipendelee wenyewe kwanza!!Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
Mkuu hakuna shida wala utata madamu kiwanda ni chetu na unga ni wetu na koti ni letu na walaaji ni wetu....No sweat at all !! Presidente Jk akitembelea mradi wanchini lakini akivaa kofia ya maEngineer wa kichina ndo nomaa? au udhalilishaji? acha kuchambua na kuchunguza sana..... ukimchunguza kuku hutomlaa !! Since mambo ni yetu tuchape kazi na tujenge Ona Bakharessa anajenga!Sasa nadhani hii ni too much.