Kikwete na familia yako na Kamati ya Maadili hamtaikimbia aibu hii mliyoitengeneza

Hahaha bado wapo tu?hawajakatwa kichwa nn bado...maana ukitaka kumuua nyoka kata kichwa kabisa...
 
Sijajuaga km jamaa ana roho mbaya kiasi kile hv Wakwere ndo roho zao zilivyo kuanzia Leo ntakuwa nawaogopa sana.

mkuu yule mkwere ni hatareee sana,na yeye na lowassa walikuwa marafiki wa kitambo na hadi lowassa anakubali kujiuzulu uwaziri mkuu ilikuwa ni agenda ya kumsave jakaya ile,hivyo lowassa sio mhusika wa lile swala la RICHMOND,ila tuanze kuconnect matukio yaliyomfanya kikwete kumchukia lowassa....ni hivi jamaa alimchukia lowassa kwenye kikao cha kujivua "GAMBA LA UFISADI" kile,maana lowassa alitema cheche sana kwa kuwaeleza watu wote waliokuwepo pale akiwa jukwaani kuongea baada ya chenge kumaliza,alisema mikataba yote ya Richmond rais anaijua na ndo aloweka sahihii yake kwenye kila mkataba na lowassa alitaja siku na saa rais aliyoweka sahihii pia akamaliza kwa kusema "SASA NASHANGAA ASCHOKIJUA JAKAYA NI NINI HAPA?"... kwa kweli kikwete alinywea sana ile siku na baada ya hayo maneno rais mstaafu.mkapa na mzee kingunge walivunja kikao faster...sasa inavyoonekana kikwete alihifadhi kinyongo na atakuja kummaliza mahali fulani ambapo ndo ile jana mkuu,ukija kuunganisha na ile KAULI yake aliyokuwa anaisema akihutubia kwamba "MSICHAGUE MTU ANAYELETA SIASA KWENYE NYUMBA ZA IBADA" ambapo alimlenga lowassa bila kificho maana jamaa ndo alikuwa anatabia ya kutoa misaada ya kifedha kwaajili ya utekelezaji wa miradi husika akialikwa kwenye sherehe za makanisa na miskiti ili linafahamika,pia kwanini kwenye hotuba yake ya kuvunja bunge juzi katoa shukrani zake kwa lowassa mwishoni wakati ilitakiwa aanze kumshukuru lowassa maana ndo alianza kufanya nae kazi alafu aje uyo pinda aliyempokea lowassa mwaka 2008,kwa hayo machache unapata picha ya harakaharaka tatizo la huyu mkwere kwa lowassa liko wapi mkuu!!!
 
Nasikia waandishi wengi leo wamenyong'onyea maana mgawo umeisha khe khe khe khe he khe kuna wengi leo mambo hayakwenda sawa. kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Bahasha Za kaki hakuna tenaa.. Hehehe
 

Lowassa anachukiwa sana na Nape na Jk
 

Aibu ni yenu na MANVI wenu kumbukeni kauli yake JK kuwa uraisi wake hauna MBIA aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, yen..... .. ...
 

Maneno ya MFA maji hayo haishi kutapatapa. Unasema kuwa kikwete ni msaliti kwa marafiki zake? Ama kweli we siyo mzalendo wa nchi hii. Kwa mawazo yako ulitaka Kikwete afanye maamuzi ya upendeleo kea marafiki zake hats kama wanasifa mbaya ya wizi na ufisadi kama wa huyo unayompigia debe? Mambo ya uongozi wa nchi hayana urafiki Bali yanaangalia sifa na vigezo na uadilifu wa MTU. Acha kutapatapa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…