Kikwete, Mwondoe MEMBE, mpe nafasi MAHIGA Foreign Affairs

Jamani tukubali, enzi zile wote tulikuwa tunaimba hata mtu hatumjui. Pundit huyo dissident wako alimshtukia Mwinyi mwaka 1985?

Mchungaji na wewe uliimba?

Tunaiamani na Nyerere hoya hoya hoya, tuna imani naye Jumbe hoya hoya hoya,

Usipowajibika ole wako utakumbwa na fagio la chuma...

Tumeziimba sana!
 
Mchungaji, kuna watu Jumbe hawakumkuta humu. Umenikumbusha mbali sana.

Fagio la Chuma! Duh! Hivi limeenda wapi? Ndio limemkuta Chenge...
 
Jamani tukubali, enzi zile wote tulikuwa tunaimba hata mtu hatumjui. Pundit huyo dissident wako alimshtukia Mwinyi mwaka 1985?

Mchungaji na wewe uliimba?


Alikuwa mtoto wa kihuni anakuwa anti-social tu wala alikuwa haelewi ki hivyo wala nini, ila akaona mbona tunaimbishwa imbishwa kama kanisani, something is not right here.
 
Mchungaji, kuna watu Jumbe hawakumkuta humu. Umenikumbusha mbali sana.

Fagio la Chuma! Duh! Hivi limeenda wapi? Ndio limemkuta Chenge...

Mwinyi alikuja na fagio la chuma, tukaimba nyimbo akapewa na fagio, kilichotokea ni mazingaombwe ambayo yalipata shahada ya falsafa ya ulaji Zanzibar 1992!
 
Mwinyi alikuja na fagio la chuma, tukaimba nyimbo akapewa na fagio, kilichotokea ni mazingaombwe ambayo yalipata shahada ya falsafa ya ulaji Zanzibar 1992!

Yani sina mbavu, hata kidogo.

Alifanya mazingaombwe kama ya Ndulu BOT?
 
Kwa qualification alizonazo huyu bwana hastahili kuwa Waziri wa Mambo ya nje; Kumuweka hapo ni kumrudisha nyuma... tunatakiwa tumuuze ile apate vyeo vikubwa kwenye UN!

Mawazo yangu tu.
 
Kwa siasa za Tanzania kwa yule ambaye hazijui kiongozi ambaye atakuja kuwa waziri au rais anakuwa anajulikana tangu hapo mwanzo (shuleni na vyuoni). Mwelekeo wa kuwa kiongozi huanzia huko. Je huyu jamaa anamuelekeo huo? Angalia Mkapa, Kikwete hawa walionekana tangu huko nyuma kuwa ni wanasiasa. Huyu jamaa pamoja na kuwa na CV nzuri ya kazi kama mpaka wakati huu hakuwa ameonyesha mwelekeo wowote wa siasa basi si vyema kumuweka ktk position kubwa mojakwamoja. Tujue ktk siasa kuna mengi, kuna kutukanwa je kuna sehemu ameonyesha kuhimili haya ktk kazi zake? Siasa ni ngumu na ni mwiba kuuhimili yahitaji moyo
 
Kwani Mtu akiwa mzuri lazma awe waziri!!! Mahigo si anatumikia Taifa UN??? Amesema amechoka??? Au mnataka nae apate nafasi afanye ufisadi!!!!

Kuwa na CV bomba, shule ya nguvu haimaanishi anaweza kuwa mzuri kwa kila kitu!! kwakuwa huko aliko anafanya vizuri, basi ndio nafasi anayostahili hiyo!!!! Vinginevyo yatakuwa yaleyale ya prof. sarungi!!!! Ndio tatizo letu waTZ!!!!

Hizi kampeni (campaign) za chini chini lazima tuziangalie, kwani kina Balali hawakua na cv zilizotulia?
 
Kwa qualification alizonazo huyu bwana hastahili kuwa Waziri wa Mambo ya nje; Kumuweka hapo ni kumrudisha nyuma... tunatakiwa tumuuze ile apate vyeo vikubwa kwenye UN!

Mawazo yangu tu.

Kuwa Rais inabidi uwe na vigezo vipi ambavyo unaona Membe hana.??tumpeleke UN ili tumrudishe Mahiga hapa??

Kasheshe,tafakari fikiri!
 
Kwa siasa za Tanzania kwa yule ambaye hazijui kiongozi ambaye atakuja kuwa waziri au rais anakuwa anajulikana tangu hapo mwanzo (shuleni na vyuoni). Mwelekeo wa kuwa kiongozi huanzia huko. Je huyu jamaa anamuelekeo huo? Angalia Mkapa, Kikwete hawa walionekana tangu huko nyuma kuwa ni wanasiasa.

Kwanini tusiwe na viongozi wapya??wenye damu changa na ambao hawajalewa madaraka??Camilius is among them and i think we need New Generation for now.
 
Kidogo kidogo tunaigeuza JF kuwa kipeperushi cha watu kupata madaraka.

Gembe u spot it on! Hivi kila mwenyewe CV nzuri lazima awe waziri? or kushika post za juu ya kisiasa for that matter.

I can smell kuna plot ya kummaliza kisiasa Membe hapa, mara IDS mara sijui udaku gani... hivi are we sink that low jamani?

Tuambieni hayo makosa ya Membe basi kila siku U kept beating around the bush tutajieni hiyo kampuni mnayodai ni kwake kwenye sakata la Ids mpaka leo hakuna.

Mtu ahitaji kuwa rocket scientist kujua foreign minister hahusiki na mambo ya vitambulisho vya uraia. Kama mtu hawezi kutofautisha baina home and foreign ministry basi tuna kazi kubwa ya kuifikia Tanzania yenye neema!

Kaka braza i support your comments. Nchi yetu imefikia hapa ilipo kwa sababu ya kupachikana vyeo. Ukipata mtu wa kukupigia debe ndani ya cctm, unaukwaa ulaji bila kujali una nini cha kudeliver katika kuwaletea maendeleo watanzania. Mtu kukaa nje kwa muda mrefu ni kielelezo tosha kabisa kutojua wananchi wa "IGEKEMAJA" wana shida gani. Pia kuwa na kiwango cha elimu cha juu sio kielelezo cha uwezo wa kuwatatulia matatizo walio nayo watanzania na Tanzania yao. Tumeshuhudia madr. na maprof. wengi tu walioprove failure walipopewa vyeo. Kwa mfano Prof. fulani aliyeishia kuanzisha kamradi ka bendi ya Nzawisa ameisaidia nini nchi yetu licha ya kuwa kwenye uongozi kwa karibu miongo miwili. Nadhani ni wakati muafaka kumhukumu mtu kwa makosa yake na kumpa shavu kwa deliveries zake.
 
Dr. Mahiga ni msomi mwenye hoja zilizopangika na mnyenyekevu haswaa, ana exposure ya kutosha na anajua sera za mambo ya nje kwa TZ kwa sasa sina wa kumlinganisha na Dr. Mahiga kwa Tanzania katika Diplomasia. Juyu mzee anastahili bado kuwatumikia Watanzania.
 
Kwa huyu mzee kupelekwa Foreign Affairs tumeanza kuvuna matunda yake. Hongera Rais wetu. Uliona mbali.
 
Back
Top Bottom