Kikwete, Mwondoe MEMBE, mpe nafasi MAHIGA Foreign Affairs

Samvulachole

JF-Expert Member
Oct 22, 2006
413
117
Nadhani its about time BERNARD MEMBE akaendelea na shughuli zake binafsi kama za ID cards na kuwapangisha wabunge wanawake nyumba kule Dododma na nafasi yake nina suggest apewe adui wake mkubwa bwana AUGUSTINO MAHIGA ambaye kwa muda mrefu I have come to admire.

MAHIGA PROFILE:

CURRICULUM VITAE

DR. AUGUSTINE PHILIP MAHIGA - PERSONAL DATA

Name: Augustine Philip Mahiga
Date of Birth: 28 August 1945
Nationality: Tanzanian
Marital Status: Married

EDUCATION QUALIFICATIONS

1975 Doctor of Philosophy (PhD) in International Relations,
University of Toronto

1971 Master of Arts (M.A.), University of Toronto,

1970 Bachelor of Arts with Education (B.A. Ed.) Honors.
University of East Africa, Dar-es-Salaam

SUMMARY OF WORK EXPERIENCE

2005 Ambassador, Head of the Tanzania Delegation to the United Nations Security Council

September 2003 to Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary, present Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations

July 2002 - July 2003 UNHCR, Representative to Italy, Republic of Malta, Holy See and Republic of San Marino.

1998 - 2002 UNHCR, Chief of Mission (Representative) in New Delhi, India.

1994 - 1998 Coordinator and Deputy Director of the Great Lakes Region of Africa Refugee Emergency Operation based in Geneva.

1992 - 1994 UNHCR Chief of Mission (Representative) in Monrovia, Liberia.

1993 Appointed by the Government of the United Republic of Tanzania to the rank of Ambassador while on secondment to UNHCR.

1989 - 1992 Minister Plenipotentiary, Tanzania Permanent Mission to the United Nations in Geneva.

1983 - 1989 Minister Plenipotentiary, Tanzania High Commission, Ottawa, Canada.

Visiting Lecturer, School of Diplomacy and International Cooperation, Dar-es-Salaam, Tanzania

1980 - 1983 Acting Director General, President's Office, Dar-es-Salaam, Tanzania.

1977 - 1980 Director of Research and Training, President's Office, Dar-es-Salaam, Tanzania.

1975 - 1977 Senior Lecturer in International Affairs and Regional
Cooperation, University of Dar-es-Salaam, Tanzania

PUBLICATIONS AND INTERNATIONAL CONFERENCE PAPERS

- Empowerment of Women and Millennium Development Goals in Empowerment of Women, Partners in Population and Development Publication, New York, 2004

- Forward to Refugees and the State Practices of Asylum and Care in India, 1947-
2000, Edited by Ranabir Samaddar, New Delhi, Sage Publishing, 2003

- Water Resources, Human Displacement and International Security (Paper presented to the Gorbachev Foundation Peace Conference, Rome, Italy, November 2002

- Demography Strategic Imperatives and Displacements in South Asia (Lecture delivered to the National Military Academy, New Delhi, India, 2001)

- Reconciling Refugee Protection and National Security (Paper presented to the University of Pune, Pune, India and Habitat Centre, New Delhi, India, 2001)

- Globalization and Forced Migrations (Lecture at the Press Club, Madras, India)

- International Response to the Post-Genocide Rwanda Emergency - Reference document at Oxford University, Refugee Studies website

- Confidence Building Measures in Africa, published by the United Nations Institute for Disarmament Research (UNIDIR)

- Pitfalls and Promises of East African Integration, TAAMULI - Journal of Political Science, University of Dar-es-Salaam

- Disarmament and Development in Africa (Paper presented to the Palme Commission Conference on Disarmament and Development, New Delhi, India, 1986)

- Conflict Resolution and Security in Africa (Paper presented at a Conference on Conflict Resolution in Africa, Lome, Togo, 1989)MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI JAMBO FORUMS
 
Yap Yap Yap....mahiga For Presidency 2015!!!!!!!....hichi Ndio Kichwa..

Membe Kazi Yako Ya Kumfix Lowassa ..[pamoja Na Weakness Zake]..ili Uupate Urais 2015 ..inajulikana,..bora Ukae Kando Foregn ..aje Mtanzania Mwenye Akili Zake Augustine Mahiga..

Watu Mnaofanya Kazi Kwa Kuuota Urais Mapema Hii Mnatuharibia Nchi......wana Falsafa Wa Mwanzo Wanasema Kuwa Kiongozi Mzuri Ni Yule Mwenye Uwezo Wa Kutawala Lakini Hapendi..bali Watu Ndio Watamuona Anafaa Na Watamuomba Awatawale..

Shime Jk ...mteue Mahiga Ubunge [jimbo La Ikulu]..umpe Nafasi Ya Foregn..atakusaidia Sana Kwa Nafasi Yako Kama Rais Wa Au........hatakaa Akiuota Urais Na Kuwajengea Majungu Anaowahofu Kama Huyu Membe!!!!
 
kweli mzalendo jamaa CV imetulia na anaonekana hana papara,ila simjui na sijui ni mtu wa namna gani,hope sio mla rushwa na ni chapa kazi kwa haki.
 
1202740440.jpgI will be back na analysis ya kwa nini naunga mkono MEMBE aondolewe and I know THERE WILL BE BLOOD(not the movie)haiweze kani kuwa all of a sudden MEMBE amefall out of favour na watu wengi humu
 
GT,
Membe amerudishwa tena- je unasemaje?

Mahiga is too international na hana exposure na siasa za Bongo!

Hivi huyu jamaa sasa yuko wapi? Bado yupo UN?
 
Hivi inaonekana watu humu ndani itawachukua muda mrefu kuijua CCM. Ni hivi ukishakuwa na sifa na kichwa kama cha huyo ndugu yetu Mahiga basi wewe uongozi kupitia CCM usahau. Ili upate uongozi CCM sharti uwe mtu wa short cut, ubabaishaji kidogo, mizengwe. Kama ni Phd inabidi iwe ya kupika kama za akina fulani. Sasa nitajieni nchi ingine hapa duniani yenye kujaza watu katika baraza la mawaziri wenye kujichipachika maelimu makubwa zaidi ya TZ, nitajieni! Sasa Rais kama haoni shida kuwapatia uwaziri mabwana na mabibi ambao kila kona ya duniani wanajulikana kwamba PhD zao ni za kudaka, tena naye anathubutu kuwaita Dr., unataka kuniambia huyu ni mtu anayethamini mambo ya kichwani kweli?Guys wake up. Huyu kama anataka kufanya siasa clean ajisogeze zake chadema, basi atafanya makubwa not in CCM.

BTW: Nafikiri sasa tumeanza kuzidi kumpangia JK mawaziri, mwacheni tu Membe achape kazi maana ndiyo hivyo tena ndiyo Rais wetu amemwamini. Next cabinet subirini 2010-December, kwa sasa hii itakuwa imeshatoka.
 
kweli mzalendo jamaa CV imetulia na anaonekana hana papara,ila simjui na sijui ni mtu wa namna gani,hope sio mla rushwa na ni chapa kazi kwa haki.

"The best minds are not in government. If they were, business would hire them away." --- Ronald Reagan
 
mie nashangaa,si kila mtu mwenye Cv nzuri awe Kiongozi wa kisiasa,Kwanini usiseme aje kumsadidia Rais katika Masuala yanayohusu Mashaurioano na nchi za Nje,hasa kipindi hiki wakatiki Jk ni Mwenyeketi wa AU.

Acheni ksumba zenu,Au umetumwa na Mahiga ili uje Umsaidie Hapa,Tunamfahamu sana,na najua unapenda sana hili suala ili likusaidie,Tupo hapa kuangalia MAsuala ya yanayoliangamiz Taifa na Sio kumpigi a Mtu Kampeni,Kama Vipi kajiunge na kina Salva watakufundisha jinsi ya Kupiga kampeni.

Je Baada ya Lowassa Kung'oka Je Salva Atabaki?
 
Kidogo kidogo tunaigeuza JF kuwa kipeperushi cha watu kupata madaraka.

Gembe u spot it on! Hivi kila mwenyewe CV nzuri lazima awe waziri? or kushika post za juu ya kisiasa for that matter.

I can smell kuna plot ya kummaliza kisiasa Membe hapa, mara IDS mara sijui udaku gani... hivi are we sink that low jamani?

Tuambieni hayo makosa ya Membe basi kila siku U kept beating around the bush tutajieni hiyo kampuni mnayodai ni kwake kwenye sakata la Ids mpaka leo hakuna.

Mtu ahitaji kuwa rocket scientist kujua foreign minister hahusiki na mambo ya vitambulisho vya uraia. Kama mtu hawezi kutofautisha baina home and foreign ministry basi tuna kazi kubwa ya kuifikia Tanzania yenye neema!
 
Hivi inaonekana watu humu ndani itawachukua muda mrefu kuijua CCM. Ni hivi ukishakuwa na sifa na kichwa kama cha huyo ndugu yetu Mahiga basi wewe uongozi kupitia CCM usahau. Ili upate uongozi CCM sharti uwe mtu wa short cut, ubabaishaji kidogo, mizengwe. Kama ni Phd inabidi iwe ya kupika kama za akina fulani. Sasa nitajieni nchi ingine hapa duniani yenye kujaza watu katika baraza la mawaziri wenye kujichipachika maelimu makubwa zaidi ya TZ, nitajieni! Sasa Rais kama haoni shida kuwapatia uwaziri mabwana na mabibi ambao kila kona ya duniani wanajulikana kwamba PhD zao ni za kudaka, tena naye anathubutu kuwaita Dr., unataka kuniambia huyu ni mtu anayethamini mambo ya kichwani kweli?Guys wake up. Huyu kama anataka kufanya siasa clean ajisogeze zake chadema, basi atafanya makubwa not in CCM.

BTW: Nafikiri sasa tumeanza kuzidi kumpangia JK mawaziri, mwacheni tu Membe achape kazi maana ndiyo hivyo tena ndiyo Rais wetu amemwamini. Next cabinet subirini 2010-December, kwa sasa hii itakuwa imeshatoka.

Kitila Mkumbo,
Hivi wakati unaandika hayo hapo juu ulikuwa serious kweli au ulikuwa unafuata MKUMBO?

Nadhani hata mwenyekiti wa chama chako will admire you!
 
Kidogo kidogo tunaigeuza JF kuwa kipeperushi cha watu kupata madaraka.

Gembe u spot it on! Hivi kila mwenyewe CV nzuri lazima awe waziri? or kushika post za juu ya kisiasa for that matter.

I can smell kuna plot ya kummaliza kisiasa Membe hapa, mara IDS mara sijui udaku gani... hivi are we sink that low jamani?

Tuambieni hayo makosa ya Membe basi kila siku U kept beating around the bush tutajieni hiyo kampuni mnayodai ni kwake kwenye sakata la Ids mpaka leo hakuna.

Mtu ahitaji kuwa rocket scientist kujua foreign minister hahusiki na mambo ya vitambulisho vya uraia. Kama mtu hawezi kutofautisha baina home and foreign ministry basi tuna kazi kubwa ya kuifikia Tanzania yenye neema!

Naomba nikate Mzizi wa Fitina Kuhusu Suala la National ID ambalo limekuwa Mjadala mkubwa hapa JF na mmekuwa mkisubiri majibu kutoka kwa GT na ameshindwa kuwapa ukweli,nimemvumilia sana,nimeamua kuwapa ambacho nachokifahamu kuhusu National ID.

1.Kwa taarifa yenu tu,Hapa Mjini kila mtu anasema Dili la National ID ni la kampuni yake,na hawa ndio wamekuja hapa kuchafuana.Najua kuna watu wanenda kumuona Membe awasaidie ili walipate ila kwa njia moja au Nyingine Membe ahusiki na dili ambalo mnamhusisha na Gotham,labda Gotham Ampe asante.

2.Mie Mwenyewe nilishwawahi kufanya Consultation katika suala la National ID,ila baad ya kuona watu wengi wanalikurupukia na kulifanya suala la Kisisasa kwa kuchanganya Biashara na siasa nikaamua kujitoa,Mhe. Mungai naye inasemekana kua kampuni zinamtumia ili kupata hilo deal.

3.Nachokijua Muungwan ana taarifa na haya yote,Na kiusalama suala la National ID ni senstive sana,na lazima litakuwa chini ya Seriklai na naamini litafanywa na wataalam kutoka TISS pamoja na Wizara ya Utumishi ,labda kampuni zinaweza kushindana kutoa vifaa tu vitakavyotumika kutelekeza mradi huo.

4.Mwanakijiji anapenda sansa Speculation,ila Speculation za kusikia mjini na za Majungu tuache,Tuwe na data za kutosha.Mradi wenyewe bado sana mpaka May nadhani kama pesa ya wafadhili ikishatolewa.

5.Mie siko Kambi ya Membe,na nin a uhakika Membe hakumuangamiza Lowassa kama Wengine wanavyosema,Na ushabiki unaoneshwa na FMES.Lowassa kang'oka kwa Baraka Za Muungwana Mwenyewe baada ya Kuona Mambo yanaenda Kombo,Wafadhali walitaka kusiktisha baadhi ya Misaada kama Jk asingechukua hatua juu ya suala la BOT na RDC na ndio maana akaamua kumng'oa MMA Meghji pale sababu alishindwa kuhimili Vishindo vya Wafadhiri hasa katika usala la kuwashauri na kuwalelezea mipango ya serikai(inasemekana yule mama Zakhia ni mbovu katika kudeliver point hata kama zinaeleweka).

6.Ndugu wana JF wenzangu tukate ishu na tuachane na Majungu,Suala la Nationa ID ni la Muhimu na tusisababishe wakapewa watu wa ajabu kisa kufahamiana na Kiongozi Flani,Naomba niseme nahisi hii imetoka katika Kampuni moja ambayo huwa inapewa kila mara Tovuti za serikali na ni ya mtu ambaye huwa na ugomvi wa kibiashara na watu wengi hasa akisikia anataka kushindw.Nitamuamnika wazi hapa kama akiendelea na tabia yake sababu namjua na sitamvumilia.ndio haya haya ya "Wananchi Website".imefikia wapi??mnajua gharama zake??

7.Tunahitaji Watu makini na Kampuni za kizalendo zenye wataalam wa kutosha na sio wababaishaji kisa eti Uzalendo kwa kutumia MEDIA.

Tukate Ishu wazee!
 
so far hujatuambia unaendeleaje na maisha ya Bongo
 
Talk of speculations! Mkuu mbona wewe ndo umekuja na speculations hapa? Iam sorry to say lakini ukitaka kujenga hoja lazima uwe makini, humu JF watu wamo tofauti.....kwa mtu kusoma ataona kabisa wewe ulichokiandika humu juu..ni speculations. Kwa hiyo naamini kabisa, pamoja na nia njema, huna basis ya kumcriticize MM au FMES! Wewe hukuback up stament zako na solid evidence yoyote...We dont need to be University graduates to know that...

Harafu watu msitake kutudanganya hapa eti Foreign Minister hahusiki na vitambulisho! Yes it can be true, it is not in his portfolio, but mimi kama mwananchi experience yangu shows me a different game! Kwani Lowassa aliyoyafanya alikuwa anahusika? tangu lini Lowassa akahusika na TANESCO? BOT..Iam mean he was a PM lakini hayo mambo yako kwenye docket nyingine kabisa. Kwa hiyo Membe ni kweli hahusiki, lakini kwa ufisadi uliokithiri TZ..sitashangaa..maana uzoefu unaonyesha hivyo.

Swala la Usalama wa Taifa, yes, you got it right that they might be involved in making these IDs, but again what we have seen, ni kwamba this usalama`s have been a conduit of corruption deals in Tanzania-big time! Talk of BOT, KAGODA et al! So what makes you think kwamba ikija IDs issue watakuwa clean?

Kifupi, hapa watu tuna akili zetu, tunaweza kuchambua mchele na pumba! Tusigeuzwe mazuzu hapa!
 
asante kwa mchango wako,ila nimetoa na nimetumia haki yangu kikatiba kuelezea kile nachokijua.na nimetumia ibara ya 27 ya katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania

27
.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda mali asilia ya Jamhuri ya Muungano, mali ya
Mamlaka ya Nchi na mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia
kuiheshimu mali ya mtu mwingine.
(2) Watu wote watatakiwa na sheria kutunza vizuri mali ya mamlaka ya nchi na ya
pamoja, kupiga vita aina zote za uharibifu na ubadhilifu, na kuendesha uchumi wa taifa
kwa makini kama watu ambao ndio waamuzi wa hali ya baadaye ya taifa lao.

[quote]

Kifupi, hapa watu tuna akili zetu, tunaweza kuchambua mchele na pumba! Tusigeuzwe mazuzu hapa!

[/quote]

unatamani kugeuzwa??ili uwe zuzu??Nimetumia haki yangu kikatiba kukujibu

18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na
kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia
chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake
kutoingiliwa kati.
(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali
nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia
juu ya masuala muhimu kwa jamii.
 
Mkuu wala sikuwa na nia ya malumbano mpaka uanze ku-quote misahafu! Iam sure you are above such fray.

I just wanted you to be fair and objective. Cant we agree to disagree without name calling? My point is dont accuse people what you exactly do!

I certainly respect your right as rightly indicated in the constitution, but again you have to respect my right to disagree with you!. Si ndo uhuru wa mawazo wenyewe au?

Thanks
 
Nami napinga mtazamo kuwa mwenye good academic CV anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa? Mnamkumbuka Tutemeke Sanga? Je mnaikumbuka CV yake? Je mnaijua CV ya makamu wa rais Mh. Shein? inaenda na anacho deliver? Na Je, huyo Mahiga, mnajua perfomance yake huko, na watu aliyo waongoza katika nafasi mbalimbali mpaka sasa wanamzungumziaje? Je, ni Mahiga pekee (kwa TZ yote), ndio anafaa zaidi kumpisha Membe? - Je, ulisha pata CV yake ya mtaani kuhusu issue za kifisadi na kujilimbikizia mali?

''DON'T JUDGE A BOOK BY LOOKING AT ITS COVER''
 
Back
Top Bottom