Wewe ni mtu wa hovyo na usie na busara hata kidogo! kwa hiyo huyo aliyetoa hilo tamko yuko juu ya sheria? au yeye ndie mwenye haki ya kuipigia kampeni katiba yake hiyo ya hovyoo! Tanzania ni yetu wote na tutabanana humuhum!Habari hii iwafikie UKAWA hasa CHADEMA,wananaharakati,na iliyokuwa tume ya Warioba ambao ni vinara wa kutozingatia sheria kabisa NA KUHESHIMU UTAWALA WA SHERIA.
Habari hii iwafikie UKAWA hasa CHADEMA,wananaharakati,na iliyokuwa tume ya Warioba ambao ni vinara wa kutozingatia sheria kabisa NA KUHESHIMU UTAWALA WA SHERIA.
Mbona yeye and Co wanasema katiba nzuri, hiyo siyo kampeni!? Anadhani wa Tz wajinga?
Hata TBC wanaendelea kupiga debe ati wanaelimisha!!! Kikwete hapo hana maana! Waache watu wajadili na kudadafua ili ustaafu kwa heshima lakini mpaka dk.hii nakuona kigeugeu na mzabizabina!!!mke wa Kikwete juzijuzi katika mikutano yake alikuwa anawaambia wanawake wenzake waipigie katiba inayopendekezwa kura ya ndio,mbona ameshindwa kumkemea mtu anaye kuwa nae nyumba moja? kwa kweli hila za ccm zimepitwa na miaka wale sio wakati
Kauli kama hizi ndizo zinazomfanya Kikwete adharaulike na kila mwenye akili. Siku anakabidhiwa alisema anawaomba watanzania waikubali. Akiwa Mwanza akarudia tena, na jana Dodoma tena amerudia hivyo hivyo.
Huyu Rais wetu huwa haelewi anachosema mwenyewe. Akitamka yeye na wahuni wengine wa CCM kama akina Makonda siyo kampeni ila akitamka Warioba, Maalim Seif, Lipumba inakuwa kampeni! Disgusting.
WARYOBA sasa atulie MIKOCHENI na SIGARA zake.
mke wa Kikwete juzijuzi katika mikutano yake alikuwa anawaambia wanawake wenzake waipigie katiba inayopendekezwa kura ya ndio,mbona ameshindwa kumkemea mtu anaye kuwa nae nyumba moja? kwa kweli hila za ccm zimepitwa na miaka wale sio wakati
Ninaogopa kutaja sifa halisi ya huyu mtu aitwaye kikwete nisije nikatukana.
Ila wanaojua alichosomea na passes zake naomba waziweke hapa ili pengine niweze kuelewa huyu ni kiumbe wa aina gani kichwani.
Sifahamu kama aliposema watanzania waisome katiba na wailewe ili wafahamu nini watakuwa wakikipigia kura, maneno haya yalikuwa ya kwake au ya mbayuwayu.
Anaposema muda wa kampeni bado wakati yeye tayari anafanya kampeni ya lazima na hata ameamrisha rushwa itumike kulazimisha katiba inapita anataka kuliaminisha taifa lifahamu lina raisi wa aina gani. Sijui kama alikuwa anasoma hotuba ambayo hakuipitia mapema au ndio upeo wake wa kufahamu na kumanage mambo uko chini kwango hicho.
Ninachelea napata mashaka na hata uwezo alio nao wa kuongoza familia yake.
Naogopa kusema zaidi nisije kunena yasiyonipasa.