Kikwete: Muda wa kampeni ya katiba bado

Kikwete: Muda wa kampeni ya katiba bado

Mh ! nawashauri watanzania wapigie katiba "ndiyoooooooo" Lkn wengine msiseme waipigie "hapanaaaa" muda wenu bado! Ni tz tu yapo haya
 
UKAWA at al hatujaanza kampeni ya katiba bali tuko kwenye mijadala na midahalo kujadili rasimu ya katiba iliyobeba maoni yetu wananchi na kuwasilishwa na Jaji wariba pamoja na Rasimu ya katiba iliyowasilishwa na Chenge chini ya usimamizi wa Sitta.

Nimekusoma, Sitta kaungana na kikosi cha Majambazi akina Chenge

 
Kwa Wanaosema kura ya NDIYO muda wao umefika, kwa Wanaosema HAPANA Muda wao haujafika
 
Habari hii iwafikie UKAWA hasa CHADEMA,wananaharakati,na iliyokuwa tume ya Warioba ambao ni vinara wa kutozingatia sheria kabisa NA KUHESHIMU UTAWALA WA SHERIA.

Hii habari imekaa vizuri sana,lakini ni vyema kwa viongozi waandamizi wa serikari,CCM na wale wanajiita UKAWA katika kuhimiza maendeleo wasifanye kampeni juu ya katiba au kuzumgumzia chochote kuhusu Katiba.
Wao kazi yao imeisha,kazi iliyobaki si yao.
Hakuna dhambi kubwa kama ya kuwaona wengine wajinga alafu eti wewe ni mwerevu sana kuwapita wao na huu ndio ubinafsi unaoliangamiza taifa pole pole.
 
Haiwezekani akawa mchezaji yeye, refa yeye na kamisaa yeye. Na mshabiki yeye huyo huyo. Ili apumzike kwa heshima inabidi atuachie wananchi mambo ya kuingilia mchakato atajiharibia jina na heshima yake. Amepoteza fursa adhimu ya kujijengea heshima na jina la kuwa Mwafrika wa Kwanza kuanzisha na kusimamia uandikaji wa Katiba ya wananchi kwa asilimia mia moja. Nampa pole sana maana sasa ameshachelewa hiyo fursa hairudi tena.
 
Nafikiri Rais ameshindwa kuiongoza nchi kabisa. Hajui wapi anakwenda na nini kinatakiwa kufanywa...Very sad
 
Mh ! nawashauri watanzania wapigie katiba "ndiyoooooooo" Lkn wengine msiseme waipigie "hapanaaaa" muda wenu bado! Ni tz tu yapo haya

!
!
nimemshangaa mno huyu Profesa...... Wakati yeye anaendelea kusema watu waipigie kura ya ndiyo na ni katiba nzuri wanaosema mbaya na inatakiwa kupigiwa kura ya hapana muda wao bado. Dah....... Mr. Dk. Hon. Profesa Jinga Kubwa.
 
huyu dhaifu ameshajua kwanini tanzania ni maskini,naona amegundua marais waliopita hawakutembeza bakuli sana.sasa yuko mzigoni
 
alisema akiwa wap? china,usa,franch,au namtumbo
 
WARYOBA sasa atulie MIKOCHENI na SIGARA zake.
baba yako nae atule aache kunywa MATAPTAPU na viroba
Mbinga1.jpg
 
Back
Top Bottom