Kikwete mjanja sana!

Kikwete mjanja sana!

Hapa ni kazi tu

Hii kauli inawahusu Wajapan ila waswahili bado miaka 100 ndo unaweza kusema. Mtu kurura tu kuanzia asubui hadi jion, na bado unaimba hapa kazi! Hizo kazi ziko wapi? Au nini maana ya hii kauli?
 
hapa ni kazi tu
hapa. Kazi wakati kazi umepewa unalilia nyongeza ya mishahara .chunga sana kauli yako ndio maana walimu wameamua kuto kuisapoti cccm maana inajali kazi hata kama watu wana njaa,huwezi fanya kazi ukiwa mgonjwa, hujala ,hujalala .wew unatoka wapi jimbo la mtama au na nape kaisha kule
 
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?

Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kusema huyu bwana amevumilia kweli kweli huku akichagiza kauli yake hiyo na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."

Alafu atamalizia kwa kusema, "jamani msinune ndio Demokrasia."

IT CAN HAPPEN,JMK IS SO HONEST /
ANAWEZA USHANGAZA ULIMWENGU KWA NAMNA HIYO,NAMWAMINI SANA!
ii
 
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?

Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kusema huyu bwana amevumilia kweli kweli huku akichagiza kauli yake hiyo na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."

Alafu atamalizia kwa kusema, "jamani msinune ndio Demokrasia."

hii kitu nimeiwaza siku nyinhgi nikaamua kuuchuna,ila nikadokeza tu kuwa inawezekana kuna wataalamu wa chess wameplan kitu hapa
 
hapa. Kazi wakati kazi umepewa unalilia nyongeza ya mishahara .chunga sana kauli yako ndio maana walimu wameamua kuto kuisapoti cccm maana inajali kazi hata kama watu wana njaa,huwezi fanya kazi ukiwa mgonjwa, hujala ,hujalala .wew unatoka wapi jimbo la mtama au na nape kaisha kule

Acha uongo walimu wa wapi hao!
 
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?

Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kusema huyu bwana amevumilia kweli kweli huku akichagiza kauli yake hiyo na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."

Alafu atamalizia kwa kusema, "jamani msinune ndio Demokrasia."

Salary sleep nimewaza kama wiki tatu zilizopita kuwa inawezEkana ilikua hatari kumuAchia Lowasa ndani ya Ccm ila ni heri nje ya Ccm mkubwa Heshima kwako
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?

Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kusema huyu bwana amevumilia kweli kweli huku akichagiza kauli yake hiyo na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."

Alafu atamalizia kwa kusema, "jamani msinune ndio Demokrasia."

Lowassa akishinda kihalali basi apongezwe tu..hakuna namna nyingine.
Na magufuli akishinda kihalali apongezwe tu...hakuna namna.

"Jamani msinune ndo demokrasia"
 
Wiki iliyopita niliwaza kuwa pengine JK alivyoona upepo wa kisiasa hauendi vizuri ccm pengine alimshauri rafiki yake ahamie meza ya pili ulipo ushindi.Kwenye siasa inawezekana
 
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?

Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kusema huyu bwana amevumilia kweli kweli huku akichagiza kauli yake hiyo na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."

Alafu atamalizia kwa kusema, "jamani msinune ndio Demokrasia."
Unatuletea hadithi za kitoto hapa. Unafikili hii ni mipasho? ----- kweli wewe. IQ yako ya kitoto sana kuandika kitu cha kitoto na kipuuzi kama hiki. Kukatwa amekatwa, tulia usijitekenye ikuingie sawa sawa, kushindwa atashindwa hapo sasa jitekenye cz itakua imekuingia sawa sawa baada ya October 25.
 
Huyu bila shaka ni Nape!!
 
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?

Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kuwataka wana-CCM wenzake kukubali kushindwa huku akiwaambia hawana sababu ya kutafuta mchawi na anaweza hata kumsifu Lowassa kwa uvumiluvu huku akichagiza kauli yake na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."

Anaweza hata kuwambia, "jamani msinune ndio demokrasia."

Ukichumnguza Kikwete kwa makini utagundua yuko makini sana katika kauli zake na anajua kabisa kuna maisha baada ya uchaguzi tofauti kabisa na wasaidizi wake ambao wanaoonekana kujisahau kupita kiasi na huenda hawakemei ili tu asionekane kuwakatisha tamaa(ndumilakuwili).

NB:kwa wenye kumbukumbu nzuri,mtakumbuka ni Kikwete huyu huyu aliewaambia wana-CCM wenzake kule Dodoma kuwa,"zile zama za kudhani eti mtu akishapitishwa kuwa mgombea wa CCM basi ndio amekuwa mshindi(raisi), zimepitwa na wakati."

Mmi nasema hivi.

Wewe jamaa ilifaa uwe mwana upako kwa kweli yani uma maono ya mbali sana mkuu.

Watu kama nyinyi mko wachache sana katika jamii MUNGU kakupa kipawa cha hali ya juu kiongozi.

Heshima kwako mkuu.

Cc Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
Mmi nasema hivi.

Wewe jamaa ilifaa uwe mwana upako kwa kweli yani uma maono ya mbali sana mkuu.

Watu kama nyinyi mko wachache sana katika jamii MUNGU kakupa kipawa cha hali ya juu kiongozi.

Heshima kwako mkuu.

Cc Mzee Mwanakijiji
Nashukuru sana kamanda.Be blessed!
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?

Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kuwataka wana-CCM wenzake kukubali kushindwa huku akiwaambia hawana sababu ya kutafuta mchawi na anaweza hata kumsifu Lowassa kwa uvumiluvu huku akichagiza kauli yake na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."

Anaweza hata kuwambia, "jamani msinune ndio demokrasia."

Ukichumnguza Kikwete kwa makini utagundua yuko makini sana katika kauli zake na anajua kabisa kuna maisha baada ya uchaguzi tofauti kabisa na wasaidizi wake ambao wanaoonekana kujisahau kupita kiasi na huenda hawakemei ili tu asionekane kuwakatisha tamaa(ndumilakuwili).

NB:kwa wenye kumbukumbu nzuri,mtakumbuka ni Kikwete huyu huyu aliewaambia wana-CCM wenzake kule Dodoma kuwa,"zile zama za kudhani eti mtu akishapitishwa kuwa mgombea wa CCM basi ndio amekuwa mshindi(raisi), zimepitwa na wakati."
Nakubaliana na wewe moja!Kuondoa takrima,pili katiba japo walimzidi nguvu bungeni,tatu alipo washambulia wanaccm wenzake nakusema sasa kazeni buti sasa hivi hakuna kusema ccm itashinda na mkabweteka!
 
Mjanja sana ja ndo maana walianza wote na baadaye akamkataaa kwa shoka bila huruma
 
Back
Top Bottom